Anonymous77
JF-Expert Member
- May 29, 2022
- 590
- 1,532
Hadithi yako inatufundisha nini ndugu malaya..
Heshima haiusiani hata kidogo na uchi wa mwanamke... kama unabisha toa definition ya heshima..Kitendo cha kumla tu mke wa mtu tayari umeshamvunjia heshima
HahaMke wa chupi[emoji16]
Kwako heshima inahusiana na niniHeshima haiusiani hata kidogo na uchi wa mwanamke... kama unabisha toa definition ya heshima..
NakaziaSio mke wa mtu tu , popote pale ,"kula nyama nyamaza".
👆 hilo ndio jibu la swali nililokuuliza?Kwako heshima inahusiana na nini
HakikaNakazia
Kuficha uchi ni sehemu ya heshima na sio mwili wako kuwa gazzet la mtaaHeshima haiusiani hata kidogo na uchi wa mwanamke... kama unabisha toa definition ya heshima..
Unakataa jibu alafu unaniuliza tena kitu kilekile, Unategemea nikupe jibu linaloafikiana na mtazamo wako👆 hilo ndio jibu la swali nililokuuliza?
Jeusi hapana, jeupe ni utamaduni wetu🙏🙏Tako mweusi je?
Sawa sawaikitokea umemla mke wa mtu,tafadhali mlindie heshima yake na aibu yake,na usimtangaze kabisa.nyamaza kabisa
Huijui dunia wewe😛Jeusi hapana, jeupe ni utamaduni wetu🙏🙏
KumbeSio mke wa mtu tu , popote pale ,"kula nyama nyamaza".
🤭🤭Kumbe
Miaka 8 iliyopita nikiwa kijana barubaru ndio naanza kuzishika Hela nilikula mke wa mwarabu Fulani.Kuvua mke wa chupi ni ujinga sana!!
Otherwise awee na tako alafu mweupe hv[emoji23]
mwache yeye aseme wewe kaa kimyaUmlindie nani yeye au mumewe? Wengine waume zao hawana charge na wake zao ndio wanasema.