Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,342
- 5,536
Nitamshauri akalihutubie bunge kesho na aseme yafuatayo,
Mh. Spika,
Kwanza napenda kuwashukuru watz wote walionichagua mwaka 2005. Niliwaahidi mambo mengi niliyoamini ningeweza kuyafanya lakini yalinishinda. Nimeshindwa kuthibitisha imani yao kwangu.
Mh. Spika,
Kutokana na uwezo wangu mdogo wa kiuongozi na kifikra, watz hawakunichagua mwaka jana hivyo nikachakachua kura ili nirudi madarakani. Hii imeniletea shida kubwa ya kuongoza watu wasionitaka na kuishia kutumia nguvu nyingi iliyogharimu maisha ya wengi.
Mh. Spika,
Kutokana na hayo nimeshauriwa na nimeamua yafuatayo,
1) kulivunja bunge na kutangaza uchaguzi mpya ndani ya siku 90.
2) kujiuzulu nafasi ya uraisi na kutangaza uchaguzi sambamba na wa wabunge ili kuwapa nafasi watz kuchagua raisi mwenye uwezo wakuwasogeza mbele kimaendeleo ( i.e Dr Slaa!?).
3) Nawaomba radhi watz kwa yote yaliyotokea tangu mwaka '05 hadi leo na ninawaomba wanisamehe kwa dhati kabisa.
Mh. Spika,
Naomba kuwasilisha,