Ukikutana na kikwete, utamshauri nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukikutana na kikwete, utamshauri nini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sir R, May 27, 2011.

 1. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Naona hali ya utawala wa JK inazidi kuwa mbaya, mambo haendi, mfumuko wa bei uko juu, viongozi wanalipuka, askari wanaua, wanafunzi wanafeli masomo, mishahara inachelewa. wafanyakazi hawajitumi, rushwa inazidi kuota mizizi, viongozi ni waongo,

  Ikitokea ukapata nafasi ya kuonana na JK katika hali hii utamshauri nini.
   
 2. A

  Awo JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 790
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Resign
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  atekeleze uadilifu kuanzia ikulu hadi kwa vi0ngoz wangu wa mtaa
   
 4. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Mkuu uatamfanya aanguke.
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kwanini?
   
 6. Kiwi

  Kiwi JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2011
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Aachie ngazi haraka sana yeye na viongozi wake wakuu wote. Turudi kwenye drawing board tufanye uchaguzi mpya!!!
   
 7. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Asije akapendekeza mafisadi papa kugombea uraisi 2015 ataua chama kwani kiko icu
   
 8. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,613
  Trophy Points: 280
  ajihuzulu.Rais anashindwa hata kutoa pole kwa watz wenzake anaowaongoza wa tarime!.urais aliupata kwa bahati mbaya ndo maana hajui kwanini watz ni maskini.
   
 9. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Apunguze sifa, majivuno na kuuza sura. Nitamshauri pia akunje uso wa mbuzi achape kazi, ushwahiba sio deal then safari zake zisizo na tija kwa taifa aachane nazo! Watanzania tushapevuka, we don't need Artists in serious issues!
   
 10. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Si matarajio yake.
   
 11. T

  Twasila JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,913
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  East or West home is best and that be a statesman rather than a politician.
   
 12. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nasikia sasa hivi ana kichanga
   
 13. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #13
  May 27, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,419
  Likes Received: 3,767
  Trophy Points: 280
  Akae chini na apige hesabu ya gharama za ahadi zake zinafikia Tshs. ngapi na atueleze lipi linawezekana na lipi haliwezekani....................
   
 14. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #14
  May 27, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,419
  Likes Received: 3,767
  Trophy Points: 280
  WHO TOLD YOU...........??? Hili ni jina la sehemu anakokwenda kujirusha na KIMEGHJI kidogo na kutuacha matumaini ya ahadi zake................
   
 15. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #15
  May 27, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  nitamtemea mate usoni.
   
 16. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #16
  May 27, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  aendelee kupaa angani siku akitua nchi imekamatwa na chadema.
   
 17. K

  Kikwebo JF-Expert Member

  #17
  May 27, 2011
  Joined: Aug 25, 2006
  Messages: 352
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Jambo kubwa ambalo nitamshauri yeye akiwa kama amiri jeshi mkuu wa majeshi yote likiwemo jeshi letu la polisi amfukuze kazi IGP Mwema kwa kutowachukulia hatua viongozi wa kisiasa wanaovunja amani na kuhubiri siasa za chuki wakiwemo viongozi waandamizi wa CHADEMA.

  Ningemtolea mfano wa mwenzake Yoweri Kaguta Museveni anavyowashughulikia viongozi wakorofi kule Uganda.
   
 18. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #18
  May 27, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,471
  Trophy Points: 280
  nitamshauri ahachie ngazi/ang'atuke kuanzia kesho jioni. pia nitamueleza makosa yake ya kujibu the heague.
   
 19. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #19
  May 27, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Nitamshauri aache kukenyua
   
 20. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #20
  May 27, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Akisikia hapo penye red atachanganyikiwa.
   
Loading...