Ukikataliwa Pm, hasira usilete Jukwaani

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ he kuna na kudislike tena! Ngoja nichungulie huko juu.

Ha ha haaa
Acha kuruka tuka kusoma yaliyo andikwa

Itakuwa Mr aka Mr dislike anamisiwa sana hadi kafunguliwa uzi.. Kamisiwa usumbufu wake..

Aendelee tu kusumbua aiseee

Ila pia wa Mada kasema asiangakie picha sasa sijui yeye ni wa kivipi.. πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
Acha uchoyo wewe
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€” duh
 
Duh
Nimeisoma Code yote, kwa asilimia 99.9 hapa kazungumziwa bwashee.
(Kwa uelewa wangu lakini)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…