Galapagosi
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 2,848
- 2,640
Tupia video hiyoInaumiza sana..tazama hii video..
Dah unsupported format..
Tupia video hiyoInaumiza sana..tazama hii video..
Dah unsupported format..
Nikiwa na pc nita change format nitupie..AhsanteTupia video hiyo
huyo yakoInategemea utautumia vipi.hata kuweka tu ndani ni matumizi na mnyama anaweza kufugwa tu sio lazima achinjwe
Ila mdudu mtamu huyu...haijawahi kutokea.Nguruwe anapigwa na shoka bado analiwa
Kwahiyo hao wanyama wa Arusha nao utaenda kuwamalizia kwa shoka ili ufaidi utamu wa maumivu yao kama utafiti unavyoelekeza?Ateseke asiteseke lazima kitimoto nimle,tena utafiti umefanyika umeonesha kua kadri anavoteseka ndo anakua mtamu zaidi.
NB:kwa sasa hakuna wanyama wenye mateso kuzidi wananchi wa Arusha baada ya kupigwa rungu la rambirambi.
Mkuu hata mboga mboga zina uhai, angalau nazo uzitendee hakiSili nyama wala Sam ali wala ndege! Maulana Mola wangu nibariki mimi na kizazi changu na nchi yangu Tanzania katika jina la Yahushua ha Mashaich....AMUN RA
Ahhh wewe duh!Mkuu hata mboga mboga zina uhai, angalau nazo uzitendee haki
Nashukuru upande wa pili hawatumii huyu mdudu mana wangekua wanatumia naamini kiumbe anayeitwa nguruwe angekua ameshatoweka duniani na utamu wakeIla mdudu mtamu huyu...haijawahi kutokea.
Umenipa hamu...ngoja nijisogeze kwa ma Kamche kwanza
Nje ya saisa you are too logicalUkipata nafasi ya kujua mateso ambayo Mnyama anayapata au anapitia kabla hajachinjwa, Je, bado utaendelea kula nyama yake?
Ziaota tena sawa. Ila maumivu sizimepata??Ila mbona zinaota tena. Mnyama ndo kwishney
Wewe ukitaka kujua ng'ombe wana akili au laa, chinja mmoja huku wengine wana ona, alafu nenda jarb Shika mwingne
ama hata mbuz, we chinja mmoja huku wengine wanaona, utapata jibu wanatambua au hawatambui, hata usipo chinja, waone pande la nyama tu
Hay uau hay yodSili nyama wala Sam ali wala ndege! Maulana Mola wangu nibariki mimi na kizazi changu na nchi yangu Tanzania katika jina la Yahushua ha Mashaich....AMUN RA
Kisu ni kisu tu mkuu....Sisi waisilamu tuna utaratibu wa kuchinja wanyama bila ya kuwabana na milango.
Labda ili la Uchungu tuliweke ivi, kwanini wanawake pamoja na uchungu wanaoupata wakati wa kujifungua(labor) mbona wakishatoka wengi wanatamani wapate mtoto mwingine japokuwa njia yenyewe ya upatikanaji wake anakua amekwisha ijua vizuriUkijua uchungu wa mwanamke kipindi cha kujifungua bado utataka kuwa mwanamke?