Ukijua Mnyama anavyoteseka, bado utakula nyama?

Ukijua Mnyama anavyoteseka, bado utakula nyama?

Watanzania wanateseka na maji, umeme na maisha duni lakini bado wewe upo ccm. Sasa nitajali mnyama anavyoteseka wakati ndio kitoweo changu cha kunifanya niishi duniani.



Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ukipata nafasi ya kujua mateso ambayo Mnyama anayapata au anapitia kabla hajachinjwa, Je, bado utaendelea kula nyama yake?
Mnyama ambaye ni halali kuliwa, aliumbwa na Mungu kwa ajili ya nini ?
 
Acha masihala wewe,

Umewahi kumuona Simba akimkamata mtu nakumla!?

Umewahi kumuona mamba akimkamata mtu kisha anamla!?

Tangia hapo, nilipoona matukio hayo hapo juu kamwe, sitakaa nimhurumie cha mnyama wala kitimoto au samaki.

Ni kula Kwa kwenda mbele chochote kinacholiwa masuala ya kusumbuka, kuteseka mnyama atajua mwenyewe.

Laiti, ungeuliza leo mtakula nyama au samaki, lakini huruma kwa mnyama hiyo ni ndoto za hadithi za alinacha.
 
siwapatii picha wale wanaokula nyama za watu Uganda sijui inakuaje maana mnyama tu ukimchinja hadi unamuhurumia.
 
ndomana wanadamu wengi tunaokula nyama tunahasira sana sababu ya kula damu
 
Na ww ungejua uchungu anaoupata mkeo wakati wa kujifungua usingempa MIMBA
 
Kwaiyo kitendo cha nguruwe kupigwa shoka kichwani hadi kufa wewe hujui nini kinaendelea ndani yake na bado analiwa kwa ndizi na ugali na pilipili ikibidi

hahahaahahhha, nimecheka kweli nilivyosoma hapo kwenye rangi sijui kwa nini hahahahahaha
 
Yaani mimi nimetazama zile video za Vegans wanazotuma kuhusu mateso ya wanyama.... Na bado nafakamia nyama vizuri tu! Yaani huu uzi umenitamanisha nyama ya mbuzi [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kama swali lilivyouliza kwamba nikijua mnyama anavyoteseka ntakula nyama?....Kwa kuanzia hapo hapo uwezo tuliopewa na mwenyezi mungu kuweza kujua kwamba mnyama anateseka ni highest level of blessing from our creator/GOD
pia hali hiyo hiyo ndiyo inatuwezesha kujua na kuchambua jambo lililo jema na baya/ judgement on what is right and what is wrong,

kimsingi binadamu tumeumbwa na tupo duniani kutimiza lengo kuu kubwa ambalo ni LOVE, kwa maana hiyo tunafanya kazi na mengine yote ili kutimiza lengo kuu kubwa tulilopewa na mwenyezi mungu kulifanya na kuanzia hapo kwenye love ndipo utakuta kuna kitu kinaitwa Compassion or the feeling of caring/ loving and sense of responsibility to our loved ones,
Imagine the feeling which you get when you saw your KID get beaten by someone,imagine the feeling which you get when you saw your mom crying, imagine the feeling which you get when you saw a brother or a sister is in pain or when your kids are playing with smile on their faces..All this am trying to explain how Compassion means to us as being..

NOW lets turns our head back and questioning our-self do the animals feel the same when their babies are taken away, or when their kids get attacked or when their families invaded.. am mean cows, pigs, gots dogs elephants and others?, If so is it our right to take that love and left them with pain?...if its your right does it make sense from your sub-conscious to conscious mind ?...
kama tukiwa tunajiuliza maswali kama hayo kwa usahihi kwa kutumia akili zetu na kuweka pembeni mapokeo ya Kidini na kiimani, kijamii na familia na masula ya kimazoea tunaweza kufikia katika muafaka mzuri wa jibu ambalo unalijua tayari...

ukiachana na suala la maumivu ambayo mnyama anapata matumizi ya nyama kama chakula yana athari katika nyanja za KIUCHUMI, KIMAZINGIRA, KIAFYA NA KIIMANI/ SPIRITUAL CONSCIOUS ila siyo maada yake haswa kama mleta maada alivyouliza,
Inshallah siku nyingine tutaweza kushare juu ya hayo pia.
 
Back
Top Bottom