Ukijua Mnyama anavyoteseka, bado utakula nyama?

Ukijua Mnyama anavyoteseka, bado utakula nyama?

Mmempiga TUNDU LISSU Risasi 38 anaTESEKA kwa mwaka sasa huku bado MNAMSHUGHULIKIA KWA CHUKII KALIII, HALAFU Mnajifanya na HURUMA na WANYAMA

MaCCM ya JIWE bana
 
Mimii hata kuku huwa ninawaonea huruma kuwachinja, ila akishachinjwa Siwezi kuacha KUMLAA
 
ukimchunguza bata, hutamla!

why unachunguza visivokuhusu
 
Mimi ningependa kila kiumbe aishi kwa amani!
Sipendi wanavyo kulana maporini na yote mengine!
Mola ndiye mjuaji wa vyote walahi!
 
Ukipata nafasi ya kujua mateso ambayo Mnyama anayapata au anapitia kabla hajachinjwa, Je, bado utaendelea kula nyama yake?
Haijalishi njia inayotumika kumuua. Lengo ni kupata nyama yake tamu na kuila. Kwani hao wanaouliwa kwa kuchinjwa hawateseki. Kwetu kiingiacho tumboni ni halali na kitokacho ndo haramu
 
Acha kabisa mkuu nakumbuka enzi hizo nyumbu wanavamia vijijini huko Mara nimejibanza kwenye mti namvizia nyumbu nikiwa na miaka 12 ghafla ulipita mkuki juu yangu ukampata yule nyumbu simuoni aliyerusha yule nyumbu alikimbia kama mita 80 akaanguka kuja kufika nyumbu hajafa lakini tayale watu washajikatia miguu na na washasepa ilibidi tumuonee huruma tumchinje kwanza maana alikuwa anateseka ndio tubebe kitoweo.
 
Ateseke asiteseke lazima kitimoto nimle,tena utafiti umefanyika umeonesha kua kadri anavoteseka ndo anakua mtamu zaidi.

NB:kwa sasa hakuna wanyama wenye mateso kuzidi wananchi wa Arusha baada ya kupigwa rungu la rambirambi.
Hahahaaaaa
 
Back
Top Bottom