Ukijua Mnyama anavyoteseka, bado utakula nyama?

Ukijua Mnyama anavyoteseka, bado utakula nyama?

Unajuaje kama hawana huo uwezo? Na ndiyo maana nikauliza swali laiti kama ukijua, Je bado utaendelea kula nyama yake?
Hebu tupe msimamo wako juu ya hili,je unahisi wanaumia au hawaumii kabla ya kuchinjwa?Je wewe una msimamo gani juu ya mambo hayo mawili[emoji102]
 
Unajuaje kama hawana huo uwezo? Na ndiyo maana nikauliza swali laiti kama ukijua, Je bado utaendelea kula nyama yake?
Hata nikijua bado nitaendelea kula nyama yake hebu nenda kwenye banda la nguruwe shika panga alafu uwe unawatishia alafu nenda kwenye kundi la watu na hilo panga ukawatishie kama ulivofanya kwenye banda la nguruwe nazani majibu utayapata
 
Wanyama hawana utashi huo binadamu ndio anayetambua kwamba hapa nimeshikiwa kisu nataka kuchinjwa.
Japo sina uhakika ngoja wataalamu wa mambo ya wanyama wapite hapa
Siku nenda pugu mnadan utaona au vingungut, wanatambua vzur mno, yaan had tamaa ya kuish hua wanakat, na ikifika zam yake wengine wanaishiwaga nguvu hata ku resist wanashindwa
 
Siku nenda pugu mnadan utaona au vingungut, wanatambua vzur mno, yaan had tamaa ya kuish hua wanakat, na ikifika zam yake wengine wanaishiwaga nguvu hata ku resist wanashindwa
Mkuu labda mazingira mageni ndio huwa yanawafanya wawe vile
 
Mkuu labda mazingira mageni ndio huwa yanawafanya wawe vile
Wewe ukitaka kujua ng'ombe wana akili au laa, chinja mmoja huku wengine wana ona, alafu nenda jarb Shika mwingne

ama hata mbuz, we chinja mmoja huku wengine wanaona, utapata jibu wanatambua au hawatambui, hata usipo chinja, waone pande la nyama tu
 
Hata nikijua bado nitaendelea kula nyama yake hebu nenda kwenye banda la nguruwe shika panga alafu uwe unawatishia alafu nenda kwenye kundi la watu na hilo panga ukawatishie kama ulivofanya kwenye banda la nguruwe nazani majibu utayapata


Lkn kwa kuwa tu Nguruwe hapigi kelele kama Binadamu haimaanishi kwamba haogopi, ni sawa na kusema kwenye msiba ambaye hatoi machozi hana uchungu kulinganisha na yule anayelia na kujigalagaza, tofauti ya huyu anayejigalagaza na yule ambaye halii ni jinsi tu hawili wanavyoweza kuyakabili machungu ndani yao, lkn huwezi kujua yupi ana machungu zaidi kwa kuangalia tu kwa macho!
 
Ukijua uchungu wa mwanamke kipindi cha kujifungua bado utataka kuwa mwanamke?
 
Wewe ukitaka kujua ng'ombe wana akili au laa, chinja mmoja huku wengine wana ona, alafu nenda jarb Shika mwingne

ama hata mbuz, we chinja mmoja huku wengine wanaona, utapata jibu wanatambua au hawatambui, hata usipo chinja, waone pande la nyama tu
Akili wanazo lakini binadamu tumewazidi utashi sizani kama wakiona panga wanaweza kutambua kama linaweza kumtoa uhai
 
Lkn kwa kuwa tu Nguruwe hapigi kelele kama Binadamu haimaanishi kwamba haogopi, ni sawa na kusema kwenye msiba ambaye hatoi machozi hana uchungu kulinganisha na yule anayelia na kujigalagaza, tofauti ya huyu anayejigalagaza na yule ambaye halii ni jinsi tu hawili wanavyoweza kuyakabili machungu ndani yao, lkn huwezi kujua yupi ana machungu zaidi kwa kuangalia tu kwa macho!
Hali ya kuogopa ni kawaida sana hasa viumbe hai wanapokutana na mazingira mageni.
Moyo wa mtu kichaka mkuu ni heri anayelia kwa kugalagala utaweza kutambua anajiskia vipi kushinda yule anayekaa kimya mana huwezi kujua anajua kinachoendelea?anafurahia?anahuzunika.
Na ndio mana hata mtoto mdogo akizaliwa bila kulia manesi lazima wahangaike naye huenda kuna tatizo mahali.
Sasa binadamu anapopiga kelele manaake ametambua kuna tatizo mnyama anabaki kutumbua macho tu
 
Kusikia Mnyama kauliwa au kapigwa shoka ni tofauti na kujua kinachoendelea ndani ya Mnyama punde kabla ya mauti kumfika, ni kama vile unasikia kila siku watu wanakufa lkn maisha yako yanaendelea lkn siku akifa mtu wako wa karibu ni tofauti kabisa, au kila siku unasikia watu wamekufa kwa ajali lkn siku ukisikia aliyehusika kwenye ajali ni mtu wako wa karibu kuna tofauti, sijui kama nimeweza kujielezea vizuri na kueleweka ninachotaka kusema!

KWA HYO UNA SHAURI NINI IKIWA MUNGU ALISHADHINISHA HILO? TUPE MAONI YAKO MOJA KWA MOJA USIZUNGUKE
 
Mkuu inaonekana we ni rastaman.
Hatumii vinywaji vyetu vya nyama.
 
Mkuu inaonekana we ni rastaman.
Hatumii vinywaji vyetu vya nyama.


Hapana, bado nakula Nyama kwa sababu tu nimezaliwa hapa na kukuta kila mtu anakula nyama, hivyo haukuwa uamuzi wangu, lkn nimeanza kuhoji hilo hivyo karibia nitafanya maamuzi yangu binfasi!
 
Inaumiza sana..tazama hii video..
Dah unsupported format..
 
ndicho kilicho mleta hapa dunia, n sawa na kuuliza haya mahind ukiyasaga huo unga utautumia?
Inategemea utautumia vipi.hata kuweka tu ndani ni matumizi na mnyama anaweza kufugwa tu sio lazima achinjwe
 
Back
Top Bottom