Ukijaa upepo ndo unaumia zaidi, heri unyweee tu.

Ukijaa upepo ndo unaumia zaidi, heri unyweee tu.

Sio kwamba ukijaa upepo ndio uchungu unapungua? Unahisi kama lile donge linalokaba koo linapotea hivi..labda watu tumetofautiana.
 
Sio kwamba ukijaa upepo ndio uchungu unapungua? Unahisi kama lile donge linalokaba koo linapotea hivi..labda watu tumetofautiana.

Sawa...
Lkn you'll lose great piece of you credibility, yule wa upande wa pili atakuona cheap tu, tena ukijifanya ww ndo nguli wa kuumuka afu mwenzio akaku-ignore utajiona mburura na nafsi yako. Na ndo utakua umempa go ahead justification.
 
Hi MMU...!

Maumivu niliyopitia jana leo yanakuwa darasa huru ktk maisha yangu. Jana nilipong'atwa na nyuki nikajitutumua kufikicha maumivu, kumbe maumivu ndo yanaongezeka na nundu ndo linavimba zaidi, leo nimeng'atwa, nimejikausha kimya, maumivu yamekatika wala hakuna nundu.

Wanadamu wote tuna mioyo ya nyama na damu, hakuna sugu/m'babe wa hisia, huyo hayupo. Lakini mtu makini ni yule mwenye uwezo wa kuControl hisia za maumivu moyoni mwake. Nioneshe mtu utakayemkera jambo, naye akameza mate na kufata njia yake, nami nitakuonesha Jembe.

Somo nililopata kwa kuumia pale 821 KJ Kanembwa leo linanifanya niwe strong

dizaini kama umetuibia chenji vile... Kanembwa ni 824KJ, lakini vipi mmeishamaliza kazi za watu huko?
 
Sawa...
Lkn you'll lose great piece of you credibility, yule wa upande wa pili atakuona cheap tu, tena ukijifanya ww ndo nguli wa kuumuka afu mwenzio akaku-ignore utajiona mburura na nafsi yako. Na ndo utakua umempa go ahead justification.

Nimekupata Mkuu. Kumbe bora ukafa na tai shingoni,Asante kwa somo.
 
dizaini kama umetuibia chenji vile... Kanembwa ni 824KJ, lakini vipi mmeishamaliza kazi za watu huko?

Si ajabu mimi ni senior wako...
OP: miaka 50 ya JKT
1st intake...
 
Hi MMU...!

Maumivu niliyopitia jana leo yanakuwa darasa huru ktk maisha yangu. Jana nilipong'atwa na nyuki nikajitutumua kufikicha maumivu, kumbe maumivu ndo yanaongezeka na nundu ndo linavimba zaidi, leo nimeng'atwa, nimejikausha kimya, maumivu yamekatika wala hakuna nundu.

Wanadamu wote tuna mioyo ya nyama na damu, hakuna sugu/m'babe wa hisia, huyo hayupo. Lakini mtu makini ni yule mwenye uwezo wa kuControl hisia za maumivu moyoni mwake. Nioneshe mtu utakayemkera jambo, naye akameza mate na kufata njia yake, nami nitakuonesha Jembe.

Somo nililopata kwa kuumia pale 821 KJ Kanembwa leo linanifanya niwe strong ktk kucontrol hisia za maumivu moyoni.

Atakuja Kamanda mbele yako, hujatenda kosa, huna hili wala lile.., akakwambia, piga magoti, lalia tumbo, ita kunguru, deki dunia, simika 2nakoz, hesabu #, beba dunia.
Yote haya ili mradi tu akukere, uumie moyoni, ukishakereka aone reactions zako. Kitendo cha ww kureact negatively ndo "kujaa upepo", ukijichanganya ukajaa upepo, ukajifanya ww ndio mwamba, ww ni undefeatable, basi utaumia zaidi, utakula mabuti, utatumikishwa siku nzima, hiyo siku imani itakua ndoto kwako. Lkn kamanda akikuprovoke, nawe ukaStand calm, ukawa mpole, ukaonesha kutokukereka, kutokuchukia, basi kamanda atakuacha, ataondoka zake, utabaki na amani tele rohoni na moyoni. Tena huyo kamanda atakukubali sana, atakuheshimu sana, na kukuona jembe.

Dr. Slaa kaumia sana, kafedheheka, kasononeka, maumivu yale makal mno... Moyo hauna kokoto ule, ata angekua King Solomon angesikia uchungu mkuu moyoni.
Nguvu zote, akili zote, nia yote, msoto wote, kila kitu alichokifanya ndani ya miaka7 kusafisha njia kwenda ikulu kinayeyuka ndani ya siku7 tu. Moyo unauma sana. Lkn akivyojaa upepo ndo akaumia zaidi.

Dr. Jana akajaa upepo, akawa mbogo, akajitutumua kufikicha maumivu, badala ya maumivu kuisha ndo yanaongezeka na nundu juu. Credibility na imani yote aliyojijengea kwa w/nchi for less not than 7 yrs zinaisha ndani ya masaa7 tu. Hapa ndipo Dr kaumia zaidi ya awali.

Heri Dr angenywea, angetulia tu, asingejifikicha, asingejitutumua, asingejaa upepo, angemeza mate na kufata njia zake... w/nchi wangemueka mioyoni mwao milele, wangemuheshimu daima, ningekuonesha Jembe.
Kwa response ya w/nchi (jana+leo) huko alipo Dr ndio unaumia zaidi, tena sanaa, anahisi dunia si mahali pake, moyo ndio unatamani upasuke, maumivu sasa ndo yamepenya zaidi.

Lesson...

Likewise kwenye mapenzi.
With your patner mnaeza mkawa mmefanya vingi vingi, mmejenga strong r/ship kwa muda mrf, mmepitia dhoruba nyingi, u've shared moments, mapenzi yamepamba moto, mmeshirikiana kila hatua ya maisha mema/mabaya / huzuni /furaha/majanga nk. Mpk ikafika kipindi ukawa na that huge hope in ur patnership. Lkn ikapita dhoruba kuu, huyo patner wako akakengeuka, akakuacha mataa kizembe zembe, akakudispose km tissue...

Usijae upepo kbs, usijitutumue, usifikiche maumivu. Usianze kumtukana, usianze kumtangaza, usimnenee mabaya, usimwongelee uongo, usimwoneshe kiburi, usiwe mbogo, usivujishe siri, usimfanyie vitimbi na vituko, usijibu mapigo,
Sinyaa moyo, nywea tu, jikaushe, be thankful for that time you had with him/her, usijibu mashambulizi, jikaushe tuliiii.. Tena ikiwezekana msifu kwa yale mlofanya pa1, kisha fata njia yako.

Utaumia lkn maumivu yatakata hrk sana, tena bila nundu. Utabaki na amani moyoni, utakua very free, hutokua na kinyongo kamwe.
Lkn yeye atakukumbuka milele daima, you'd have built a strong legacy in his/her soul, itamuuma sana, nafsi na dhamira itamsuta sana. And lastly atajiona ***** tu... AMANI KWENU.

[Long thread, avoid quoting]

Kuwa na busara ni jambo muhimu sana kuliko vingine vyote. Hiyo inasaida hata kutokukurupa na kujiweka katika sehemu ambayo utamsema mtu au kumhukumu mtu bila sababu.

Uchafu wa Lowassa unajulikana ndio maana kila mtu anamnyooshea kidole na kumhukumu na hata yeye mwenyewe anatambua.

Lakini sasa tujiulize, huyu mmoja kati ya waasisi wa CDM uchafu wake au kosa lake ni lipi??.Tangu ameanza harakati zake hadi leo ni chafu lipi au bay alipi hasa alilotenda??

Nadhani hata kama hayuko sahihi kwa kile alichokifany ailibidi msiseme kiasi hcho kwa kejeli juu.

Hivi tangu lini mtoto akamtukana mzazi hata kama amekosea???
 
Si ajabu mimi ni senior wako...
OP: miaka 50 ya JKT
1st intake...

hahaha uwe sinia sahani vyote vyombo haki sawa..
hiyo OP ndio ya mwaka huu? mi sijui kinachoendelea jkt saiz ila nataka tu nione hao makuruta walivyohenyeka...
kanembwa napapata kwa afande marwa katika ubora wake
 
Kuwa na busara ni jambo muhimu sana kuliko vingine vyote. Hiyo inasaida hata kutokukurupa na kujiweka katika sehemu ambayo utamsema mtu au kumhukumu mtu bila sababu.

Uchafu wa Lowassa unajulikana ndio maana kila mtu anamnyooshea kidole na kumhukumu na hata yeye mwenyewe anatambua.

Lakini sasa tujiulize, huyu mmoja kati ya waasisi wa CDM uchafu wake au kosa lake ni lipi??.Tangu ameanza harakati zake hadi leo ni chafu lipi au bay alipi hasa alilotenda??

Nadhani hata kama hayuko sahihi kwa kile alichokifany ailibidi msiseme kiasi hcho kwa kejeli juu.

Hivi tangu lini mtoto akamtukana mzazi hata kama amekosea???

Yawezekana upo ndan ya mada Mkuu,lakini nadhani hapa wanajadili mahusiano. Ukijenga hoja kama hizo hapa unawa turn off Wenzio. Ha ha
 
" It was good having you, thanks for everything"; unayachukua yale mazuri, mabaya yake unayaacha hapo hapo. Hamna haja ya kuachana kwa mbwembwe au maugomvi. Mnaachana tu kiustaarabu, Kila mtu anashika 50 zake.

Safi sanaaaaa.......
 
Somo zuri, mifano mizuri na halisi na presentation nzuri. Thanks.
Mimi nina character inayonisaidia sana ambayo ni negative ila nimeiturn into positive; dharau, waha wanaita kanyaro. Huwa sina mood wala nguvu ya kujifikirisha mtu mwingine hata nikipita mtu ananisema naignore. Hivyo wanaiweza nijazs upepo duniani hawafiki 4. I thank God for that maana I dont have to struggle to take a long breath ili kushusha upepo often.
 
Kumdharau/kumpuuza mtu aliyekukosea, afu nae akajua, utamwacha kwenye hali mbaya sana, hii ni adhabu tosha...
 
Natamani sana ungeelewa nilichokiandika, japo najua topics zangu nyingi hua zinachanganya watu.
Kumbe unajua zinachanganya watu mkuu?? Wenda utakua umesoma ma kemistiri na bailoji...ungekua wa hesabu usingechanganya watu!!! Am joking mkuu...fundisho tosha!!
Nimekuelewa sana ila sidhani kama mahali hapa ni sahihi

Hapa ni mahali sahihi, au kwasababu kaeka de slaa ndan? Soma uelewe!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom