Username 20
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 741
- 1,513
kumi na mbili mkuuUna jinsia ngapi?
kumi na mbili mkuuUna jinsia ngapi?
Both. Tena kwa vitndo utaenjoy sana.Hahahaha labda kwa maneno ila siyo kwa vitendo
Eti enh? Lakini wewe si una mke na mtoto au watoto sijui?Both. Tena kwa vitndo utaenjoy sana.
Eti enh? Lakini wewe si una mke na mtoto au watoto sijui?
[/QUOT
sina.
yes. Nipo tayari kuthibitisha hilo ili uamini.Mmhh
Basi hakuna kuchezewa hapo ilihali umekubali mwenyewe..Haja za kibaiolojia? Kwahiyo unataka kusema kwamba sisi wanawake ni malaika tunaweza kukwepa kila kishawishi kinachokuja mbele yetu? Yaani unampa mwenzio vishawishi halafu unamlazimisha avikwepe kwanini wewe usiache kumpa hivyo vishawishi? Hata sisi ni binadamu na tuna mapungufu yetu hapa suluhisho ni jinsia zote kubadilika kwa nafasi yake
Unathibitishaje?yes. Nipo tayari kuthibitisha hilo ili uamini.
Ni hivi mwanaume anayetongoza hovyo na mwanamke anayekubali hovyo wote wana makosa fullstopBasi hakuna kuchezewa hapo ilihali umekubali mwenyewe..
Hapo sasa umeongea bila ya kuwa biased. Vipi nije pm tuchati zaidi. N:B Mimi sitongozitongozi hovyo.Ni hivi mwanaume anayetongoza hovyo na mwanamke anayekubali hovyo wote wana makosa fullstop
Sasa mbona ndo nilichokuwa namaanisha tangu mwanzo kwamba wote wanaume na wanawake tuna makosa? Hukuelewa?Hapo sasa umeongea bila ya kuwa biased. Vipi nije pm tuchati zaidi. N:B Mimi sitongozitongozi hovyo.
Hapana mwanzoni ulikuwa unawalaumu sana wanaume peke yao..Sasa mbona ndo nilichokuwa namaanisha tangu mwanzo kwamba wote wanaume na wanawake tuna makosa? Hukuelewa?
Hapana nilikuwa namaanisha wanaume waache kulaumu wanawake tu badala yake wote wanaume na wanawake wajilaumu maana wote wana makosaHapana mwanzoni ulikuwa unawalaumu sana wanaume peke yao..
aisee sawa ila usiwe au tusiwe na hayo mawazo hatukatai mambo si mazuri ila yasiendane na ya mtoa madaWanawake wengi wana imani hiyo kutokana na wanaume wenyewe wanaume ndo mmeshajiwekea kwamba kumsaidia mwanamke ni lazima akulipe mchezo
Mimi kuna kaka mmoja mpangaji mwenzangu niliwahi kumuomba aniazime hela nikamwambia nitamrudishia na nilikuwa nina shida sana siku hiyo na yeye ndo alikuwa mtu wa karibu ambaye alikuwa anaweza kunisaidia kwa muda huo lakini alikataa kunikopesa
Akaniambia nikubali kumpa mchezo kwanza ndo atanipa hiyo hela na hatanidai na alikuwa serious kabisa nilipomkatalia na yeye alikataa kata kata kunikopesha akasema eti yeye hawezi kukopesha mwanamke yaani mwanamke akitaka hela akubali kumpa mchezo na yeye ndo atampa hela na hatamdai
Sasa nimemtolea mfano huyo kwa sababu alinifanyia mimi ila nina mifano ya wanawake wengine wengi tu ambao walifanyiwa hayo na wanaume fulani sasa hapo lazima tujijengee akilini kuwa mkitusaidia lazima kuna kitu mnataka ambacho ni mchezo japo siyo wote ila wengi
😂😂😂😂😂 imekaa vyema. Mi nataka unipotezee pesa zangu mamii! Unasemaje kuhusu hilo?Yaani wanaume ambacho hamjui ni kwamba unapofanya na mwanamke ambaye huna malengo ya kumuoa unakuwa unampotezea muda kumbuka akifika umri fulani hajaolewa jamii itaanza kumnyooshea vidole ila wewe ukifika umri huo aliofika yeye haujaoa hamna atakayekuunyooshea vidole
Kwahiyo hapo mwanamke anakuwa na cha kupoteza ila mwanaume unakuwa huna cha kupoteza sasa kwa sababu wanawake wamegundua hilo wameona na wao wawe wanawachuna pesa wanaume ili hata wewe unapokuwa unampotezea muda wake na yeye anakuwa anakupotezea pesa zako
Unawazungumziaje wanawake wenzio ambao licha ya kufanyiwa yote hayo still wanabinuliwa matako na co-workers wenzao ama wakuu wa idara?Mwanaume anayependa na kujali mke na watoto wake, anayesimamia majukumu yake kama mwanaume yaani kutafuta pesa na kuhudumia mke na watoto wake,
Asiyemnyanyasa wala kumsaliti mkewe, mvumilivu na msikivu kwa mkewe na asiyewaza kumuacha mkewe wala kuoa mke mwingine yaani kwake mke mmoja tu anamtosha no matter what the circumstances
Now I know this is hard hasa kwa wanaume wa kiafrika kwa sababu kwenu nyie kufanya hivyo kwa wake zenu mnaona ni kujitesa au labda mnaona kama mnakuwa mnawafavour sana wake zenu
Na mnaona kuwa hawastahili hayo yote kutoka kwenu wakati kiuhalisia hata kwenye maandiko (ya biblia kwa sababu mimi ni mkristo) hayo mambo ni lazima mume amfanyie mke
Unajua hii claim yako iko sawa ila ime prove failure kuliko mafanikio kwenye mahusiano mengi. Most women preffer a bold man, mwanaume asiebembeleza anae claim authority kibabe,akitoa kauli moja tu imeisha hiyooo!!!Ofcourse na mwanamke anatakiwa aheshimu na ajali mume na watoto wake, atimize majukumu yake yote ikiwemo kufanya kazi za nyumbani (kama hana kazi wala biashara ya kumuingizia kipato) na kulea mume na watoto wake, mvumilivu na msikivu kwa mumewe,
Asiyemdharau wala kumsaliti mumewe no matter what the circumstances ila narudia tena haya anatakiwa afanyiwe mwanaume ambaye naye anafanya niliyoyaorodhesha hapo juu sasa siyo mwanaume hautaki kufanya hayo halafu unataka mwanamke anayefanya haya niliyoyataja hapa yaani hapo utakuwa unataka kumnyanyasa na kumtesa tu mtoto wa watu bure
Sasa si wakatae kama wanajiheshimuKuna wanawake wanajiheshimu lakini bado wanatongozwa na wanaume wakware haya hapo bado unaona tatizo ni mwanamke? Wanaume ambao wanatongozatongoza hovyo hata kama hawana nia ya dhati siyo tatizo?
Halafu mkiitwa dhaifu mnshupaza shingo, wote haki sawa..nyooo!!!Kwanini na wanaume nao watongoze hovyo? Mimi nakwambia hata wanawake wote duniani tukisema tujiheshimu bado kuna wanaume wataendelea kututongoza tu na kutaka mchezo kabla ya ndoa kama mnaona ninyi kutongoza hamuwezi kuacha basi fikirieni na sisi mnaotutongoza kwamba ndo tunawezaje kushindwa kukubali ukizingatia vishawishi ni vingi?