Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,494
Kwanini na nyie msiache kutongoza? Tuanzie hapo kwanza.Sasa hapo tatizo ni la wanawake. Ukitongozwa usikubali ..
Kwanini na nyie msiache kutongoza? Tuanzie hapo kwanza.Sasa hapo tatizo ni la wanawake. Ukitongozwa usikubali ..
Kwani kutongoza maana yake si ni kutuma maombi na ombi linakosa nguvu kama aliyeombwa atalikataa. Hivyo basi wenye dhamana ya kuzuia ni nyie.... Sisi hatuachi kutongoza kwasababu ya haja za kibaolojia..Kwanini na nyie msiache kutongoza? Tuanzie hapo kwanza.
Utanishinda tabia kwa kweli 🤣🤣🤣🤣🤣Mimi sio tapeli mkuu,, nafuata maandiko ya kitabu kitakatifu cha bible kuwa nitakula kwa jasho la mwanaume
🤣🤣🤣🤣🤣Wenye vibamia na hawana pesa utawajua tu![]()
halafu huyu mgeni ni wa kiume msije mkamshobokea bureMmmmh!! huyu mgeni amekuja na kasi balaa atakuwa ndugu yake Money Penny huyu
Tena dume shababi haswaaaaahalafu huyu mgeni ni wa kiume msije mkamshobokea bure
kabisa mkuu tatizo kubwa la wasichana hapa duniani asilimia kubwa wanajua kila kitu ukiwafanyia wewe kama mwanaume malipo ni kugawa uchi wao na ndio kosa kubwa na fikra mbaya zaidi mtu kama huyo kaa nae mbali na huwa siwezi hata msogeleaKuuza na kununua uchi sio biashara ngeni, hakuna cha kushangaza
*ingekua haufanyi biashara hyo haramu usingekua na uwezo wa kuandika haya matope
wapWrite your reply...
WeweeeeeeOhoooo mistari miwili ya mwisho.........
Subiri mashambulizi utakayoletewa
Kwani wewe ukoje??Na mjipange huyu mgeni ni mtoto wa mjini sio kama mie wa nanjirinji
Nyoooooo
Haja za kibaiolojia? Kwahiyo unataka kusema kwamba sisi wanawake ni malaika tunaweza kukwepa kila kishawishi kinachokuja mbele yetu? Yaani unampa mwenzio vishawishi halafu unamlazimisha avikwepe kwanini wewe usiache kumpa hivyo vishawishi? Hata sisi ni binadamu na tuna mapungufu yetu hapa suluhisho ni jinsia zote kubadilika kwa nafasi yakeKwani kutongoza maana yake si ni kutuma maombi na ombi linakosa nguvu kama aliyeombwa atalikataa. Hivyo basi wenye dhamana ya kuzuia ni nyie.... Sisi hatuachi kutongoza kwasababu ya haja za kibaolojia..
Hata hili unatetea??Yaani wanaume wangekuwa wanatambua thamani ya miili ya wanawake basi wasingekuwa wanawachezea
Kwani wewe ukoje??


Mie wa nanjirinji na ushamba wangu vya mjini navijuajeWanawake wengi wana imani hiyo kutokana na wanaume wenyewe wanaume ndo mmeshajiwekea kwamba kumsaidia mwanamke ni lazima akulipe mchezokabisa mkuu tatizo kubwa la wasichana hapa duniani asilimia kubwa wanajua kila kitu ukiwafanyia wewe kama mwanaume malipo ni kugawa uchi wao na ndio kosa kubwa na fikra mbaya zaidi mtu kama huyo kaa nae mbali na huwa siwezi hata msogelea
Sitetei tu bali natetea ukweli maana kuna wale wanaotetea hata vya uongo sasa mimi natetea vya ukweli tuHata hili unatetea??
Kwa hiyo hizo ni sifa za mwanamme anaejielewa according to you and bibleMwanaume anayependa na kujali mke na watoto wake, anayesimamia majukumu yake kama mwanaume yaani kutafuta pesa na kuhudumia mke na watoto wake,
Asiyemnyanyasa wala kumsaliti mkewe, mvumilivu na msikivu kwa mkewe na asiyewaza kumuacha mkewe wala kuoa mke mwingine yaani kwake mke mmoja tu anamtosha no matter what the circumstances
Now I know this is hard hasa kwa wanaume wa kiafrika kwa sababu kwenu nyie kufanya hivyo kwa wake zenu mnaona ni kujitesa au labda mnaona kama mnakuwa mnawafavour sana wake zenu
Na mnaona kuwa hawastahili hayo yote kutoka kwenu wakati kiuhalisia hata kwenye maandiko (ya biblia kwa sababu mimi ni mkristo) hayo mambo ni lazima mume amfanyie mke
Hii sio habari ya jamii ya wale wala ya wale, kuna mambo ni nature! Wewe unadhani ukifika miaka 40 una jipya??Mkuu hebu tuelewane kitu kimoja kwanza kutokana na mtazamo wa jamii yetu hii inayotuzunguka ambayo inaamini kwamba mwanaume hata afikishe miaka 60 hajaoa bado atapata mwanamke wa kuoa tu ila mwanamke akifikisha miaka 40 tu kupata mwanaume wa kuolewa naye inakuwa ni ishu naomba nikuulize hili swali hivi mwanaume na mwanamke wanapoachana nani kati yao anakuwa anapoteza muda wa kufikia ndoa? Kwani na wanaume kwenye mahusiano huwa mna cha kupoteza ukilinganisha na wanawake?
HahahahahahhaahhaNdio maana nikakwambia tulia ili uandike vitu vinavyoeleweka,umerukia sasa tuongelee watu walioachana!! bora nikuache tu.
Haya bhanaMie wa nanjirinji na ushamba wangu vya mjini navijuaje