mark girland
JF-Expert Member
- Feb 7, 2019
- 1,026
- 757
Didn't see it. I'm coming, and thank you so very much for granting my request..Haven't you seen that?
Didn't see it. I'm coming, and thank you so very much for granting my request..Haven't you seen that?
Najua kabisa umeelewa nilichomaanisha ila basi tu ujeuriKuna sehemu umeandika....haijalishi ana pesa AU HANA PESA...ndio maana nimeuliza mwanaume asie na pesa atahudumia vipi familia?
Wanauza kwa sababu wameshajua wanaume hamuwathamani yaani wanaume kuwadharau wanawake hawajaanza leo walianza tangu enzi za bibliaKama unauza unategemea kuna mwanaume atakuona wa thamani?
Hapana, wanauza kwa sababu zao ikiwemo tamaa. Sio wanaume wote wananunua au kuwadharau wanawake.Wanauza kwa sababu wameshajua wanaume hamuwathamani yaani wanaume kuwadharau wanawake hawajaanza leo walianza tangu enzi za biblia
Mkuu basi acheni kuwashawishi kwa hizo pesa zenu muone kama watakuwa na muda nazo tatizo wanaume hamtaki kukubali kwamba hata nyie pia mna tamaa na mnapenda uzinzi ila kila kitu mnasema chanzo ni wanawakeHapana, wanauza kwa sababu zao ikiwemo tamaa. Sio wanaume wote wananunua au kuwadharau wanawake.
Ha ha ha ungekuwa mwanaume ungenielewa. Wanawake wa siku hizi hawahitaji kushawishiwa, wanaweka mitego wenyewe.Mkuu basi acheni kuwashawishi kwa hizo pesa zenu muone kama watakuwa na muda nazo tatizo wanaume hamtaki kukubali kwamba hata nyie pia mna tamaa na mnapenda uzinzi ila kila kitu mnasema chanzo ni wanawake
Yaani kwa kifupi ni kwamba wote hapa wana makosa wanawake wanaouza na wanaume wanaonunua mnasema wanawake wana tamaa na pesa zenu wakati hata nyie mna tamaa na papuchi zao wote wana makosa hapo
OkayDidn't see it. I'm coming, and thank you so very much for granting my request..
Kuna mahala nilikuomba uwe lazizi wangu unakumbuka ulinijibu nini?Ni hivi wanaume wanaotongoza hivyo na wanawake wanaokubali hovyo wote wana makosa fullstop
Wala hata sihitaji kuwa mwanaume ili nijue hili najua wapo wanawake wanaojilengesha wenyewe lakini ni baadhi siyo wote na unajua sababu kwanini wanafanya hivyo? Ni kwa sababu mwanamke akifika umri fulani hana mpenzi au mume jamii inaanza kumnyooshea vidole na kumsema vibayaHa ha ha ungekuwa mwanaume ungenielewa. Wanawake wa siku hizi hawahitaji kushawishiwa, wanaweka mitego wenyewe.
Nilikujibu najua kuwa tayari una mpenzi kwahiyo mimi kwako nitakuwa mchepuko wako tu na sitaki kuwa mchepuko wa mwanaume yeyoteKuna mahala nilikuomba uwe lazizi wangu unakumbuka ulinijibu nini?
Njoo kwangu sina mpenzi....ha ha haNilikujibu najua kuwa tayari una mpenzi kwahiyo mimi kwako nitakuwa mchepuko wako tu na sitaki kuwa mchepuko wa mwanaume yeyote
Ah wapiNjoo kwangu sina mpenzi....ha ha ha
Ile kitu ulimaliza? Hujatoa mrejesho kwenye ule uziUkiona mwanaume maneno mengi ujue basi ni hewa sana, ... Mwanaume vitendo banah, maneno tuwaachie dada zetu
daah nimeecheka kufaaKuna wanao tafuta hela ila hawajui kuwa na hela, kuwa kibamia au kutokuwa kibamia inategemea umekutana na size namba ngap? kuna zingine unaweza weka hata ngumi ikapwaya!
paap kumbe na wewe ni ONTARIO