OK...Wasalaamu wakuu!
Katika pilika pilika za hapa na pale nilikutana na mkaka mmoja mtanashati
Wacha yule mkaka atake mazoea na mimi, alinikomalia sana aisee na kwa offer zake kiukweli ikawa ngumu kwangu kumchomolea ombi lake
Basi buana siku moja akaomba friendly game bila hiyana nikamkubalia tumefika sehemu husika mkaka kaandaa pombe kama zote, nikazitosa maana me huwaga sinywi pombe sehemu na wakati huo nina game naogopa kuzidisha nikaingiliwa kunako tigo
Baada ya kuzitosa pombe zake nikamkomandi kuwa awe shapu nina haraka, masikin yule mkaka akawa hajui pa kuanzia sijui maana tumekaa karibia masaa mawili mara apige simu, story sio story hizo nikaanza kuwa na mashaka
Ikabidi nimchokoze nikamsogelea nikamvua shati, kwa mbwembwe hukh namtomasa nikaanza kumuona kidogo anapandisha mzuka
Nikamvuta kitandani nikamtoa nguo zote, hapo ndo nilianza kuwa na mashaka kidudu chake kama cha mtoto wa darasa la tano vile, ila nikawa najisemea sio mbaya maana wapo wenye vidudu vidogo ila wanajua kuvitumia unakojozwa vilevile
Badaada ya mda kipyenga kikalia mmmh! yaani ile najiandaa nikikatikie kidushe jamaaa kamaliza, nikasema isiwe tabu vile vile wacha nikiamushe kama nusu saa vile kidudu la yuyu cha yule bwana hakiamuki
Nikawa nimejilaza pale nachat jamaa kimya mara apige simu mara anaumwa tumbo mwisho wa siku nikamwambia nina sehemu naenda nikaenda zangu kuoga kisha nikamuaga
Ila sasa jamaa anajua kuhudumia yaani pamoja na kwamba hajui mambo yetu yale ila siachi kumtafuta mkaka wa watu
Nawashauri wakaka mtafute hela,, wale sijui kina nani kina Dr. Mwaka wanawadanganya kuwa mtafute madawa ya nguvu za kiume uongo,, nguvu za kiume hela kaka zangu mtashinda sana gym mwisho muambulie kuwa mabaunsa wa watu
Tafuteni pesa, pesa ndo kila kitu mwanaume uwe hata na Toyota kluger jamani,, yaani mimi niendeshe IST na wewe mwanaume uendeshe hiyo hiyo IST ???
ha ha ha ha mungu hapendiNani kasema? Simba bora afe na njaa kuliko kula nyasi.
ha ha ha ya nini sasa wakati wote tumefurahiaNdo ukubali kumpa na hela sasa
Kwa jinsi alivyo toa mkasa wake ..ni kawaida kuhisiwa kuwa yeye ni Malaya ..na kama hana hizo tabia ni bora mwambie wata mwelewa tu ..lakini sio kutukana watu innocent ambao hata wengine hawajui hata maana ya jfSasa na wao wanavyomwambia dada wa watu kuwa anajiuza sijui ni malaya?
Ukiamua kuanzisha vita usimchagulie adui silaha ya kutumia dhidi yako.
Yaani wanaume ambacho hamjui ni kwamba unapofanya na mwanamke ambaye huna malengo ya kumuoa unakuwa unampotezea muda kumbuka akifika umri fulani hajaolewa jamii itaanza kumnyooshea vidole ila wewe ukifika umri huo aliofika yeye haujaoa hamna atakayekuunyooshea vidoleha ha ha ya nini sasa wakati wote tumefurahia
Amewaambia lakini hawamuelewi acha tu nimtetee maana baadhi ya wanaume wa jf wanatia hasira sana yaani wanapenda tu kubishana vitu visivyo na maana ili mradi na wao waonekane wamebishaKwa jinsi alivyo toa mkasa wake ..ni kawaida kuhisiwa kuwa yeye ni Malaya ..na kama hana hizo tabia ni bora mwambie wata mwelewa tu ..lakini sio kutukana watu innocent ambao hata wengine hawajui hata maana ya jf
Umeeleweka vizuriYaani wanaume ambacho hamjui ni kwamba unapofanya na mwanamke ambaye huna malengo ya kumuoa unakuwa unampotezea muda kumbuka akifika umri fulani hajaolewa jamii itaanza kumnyooshea vidole ila wewe ukifika umri huo aliofika yeye haujaoa hamna atakayekuunyooshea vidole
Kwahiyo hapo mwanamke anakuwa na cha kupoteza ila mwanaume unakuwa huna cha kupoteza sasa kwa sababu wanawake wamegundua hilo wameona na wao wawe wanawachuna pesa wanaume ili hata wewe unapokuwa unampotezea muda wake na yeye anakuwa anakupotezea pesa zako
Hilo tusi Kali aisee . mshauri mwanamke mwenzako ajizuie kidogoAmewaambia lakini hawamuelewi acha tu nimtetee maana baadhi ya wanaume wa jf wanatia hasira sana yaani wanapenda tu kubishana vitu visivyo na maana ili mradi na wao waonekane wamebisha
Kwa kweli hata ingekuwa mimi ningewajibu hivyo hivyo kama mtoa mada tu wala simshauri ajizuie chochote yaani hapa ni kama umepeleka kesi ya nyani kwa ngedere ukitegemea ngedere atakuwa upande wakoHilo tusi Kali aisee . mshauri mwanamke mwenzako ajizuie kidogo
Hahahh .mbona huwa hauna huruma na wanaume.. Huwa nasoma comment zako ni kuwa kosoa na kuwa kandamiza wanaume kwa nguvu zote ..kumbukuka wanaume ni kaka zako,wajomba, na baba yako ..so inabidi ututhamini ..na kutujali bintiKwa kweli hata ingekuwa mimi ningewajibu hivyo hivyo kama mtoa mada tu wala simshauri ajizuie chochote yaani hapa ni kama umepeleka kesi ya nyani kwa ngedere ukitegemea ngedere atakuwa upande wako
Kuuza na kununua uchi sio biashara ngeni, hakuna cha kushangaza
Kuna tofauti kubwa sana ya mwanamke na mwanamke malaya,
Katika kutafuta mwanamke omba sana ujue unachotafuta mana unaweza tafuta mwanamke ila ukakutana na mwanamke Malaya utajuta!
Ni vizuri sana kujua kuwatofautisha na ni kazi rahisi sana kuwagundua kama utaongozwa na akili na busara za wazee!