Ukiitwa mwanaume tafuta pesa

Ukiitwa mwanaume tafuta pesa

Nilikujibu najua kuwa tayari una mpenzi kwahiyo mimi kwako nitakuwa mchepuko wako tu na sitaki kuwa mchepuko wa mwanaume yeyote
Sasa hilo jibu unashindwa vipi kuwajibu na wanaume wote ambao wanakufata bila mpango thabiti wa kukufanya mke kwanza. Badala ya kuwaita wanaotongoza ovyo ovyo!
 
Kwahiyo unataka wanaume waendelee kutongoza ila wanawake ndo tukatae? Hauwezi kuwa serious hapo suluhisho ni kila mtu aache anachofanya siyo mmoja aache halafu mwingine aendelee hicho kitu hakiwezekani yaani ni sawa useme watu waendelee kuua na wanaouliwa ndo wazembe wao ndo wanatakiwa wajizuie kuuliwa ila wanaoua hawana makosa kabisa

Hivi wanaume kwanini hamuwezi kukemea maovu yenu kutwa kukemea maovu ya wanawake na kusema kuwa wanawake ndo chanzo cha kila baya kwani wanawake tumewashika akili? Kila mtu abadilike kwa nafasi yake na siyo jinsia moja ibadilike kwa sababu ya jinsia nyingine acheni kutongoza wanawake wataacha kukubali nyie wenyewe tu hapo mlipo mkitongozwa na wanawake hamkatai kama ingekuwa rahisi kukataa si na nyie mngekuwa mnakataa basi?
 
Mfano wa kuuliwa ni irrelevant, thats uncontrolled variable. You dont choose to die it just happens but you can choose to have an affair with someone. Kuuliwa inaendana na kubakwa respectively.

Kiumbe dume ni taftaji kwa asili, hunts for survival. Atatafta kula yake na mates kwa ajili ya kusambaza mbegu zake. Hivyo kutongoza wanawake hakuwezi kuepukwa ni sehemu ya utaftaji mates kwa sisi wanaume.

Vivo hivyo kwenye mapenzi Mwanamke ndio muamuzi wa mwisho, kama ana utashi lazma ajue muda sahihi wa kuvua chupi yake japo kiasili mwanamke huvua chupi kirahisi kwa strong men tu but hio pekee tu haitoshi kuwa sababu. Sote kama binadamu wenye utashi kuliko viumbe vyote lazma tuongozwe na protocol flani tukizikosa lazma shida ziwe sehemu ya maisha yetu.

Usipojua kusema hapana kisa tu kila mtu anakutongoza utapata tabu sana. Zishinde tamaa.
 
Sijamaanisha waache kutongoza kabisa bali waache kutongoza ikiwa wanaona hawana nia ya dhati na hao wanawake wanaowatongoza na wala sijasema kwamba wanawake wakubali kila mtu anayewatongoza

Kumbuka naweza kutongozwa na wanaume kumi nikamkubalia mmoja tu nikawakataa wengine tisa lakini bado huyo mmoja niliyemchagua akanitenda vile vile yaani mimi naona hapa tutabisha bure bila sababu za msingi

Lakini ukweli ni kwamba hizo tamaa hata nyie mnaweza kuzishinda siyo sisi tu kwahiyo mnatakiwa mtongoze wanawake ambao mnaona mna nia ya dhati nao na siyo kutongoza huku akilini unajua kabisa hapa unapoteza muda tu halafu kumbe mwanamke wa watu kakupenda kweli

Vitu vingine muwe mnatumia akili siyo kila kitu mnatutupia lawama wanawake tu na kujiona kama vile wanaume hamna kosa lolote yaani hamna hatia kabisa
 
Kama mwanamke unapenda saana pesa kuliko penzi la dhati basi kafunge ndoa na CRDB‍♂️
 
Sijamaanisha waache kutongoza kabisa bali waache kutongoza ikiwa wanaona hawana nia ya dhati na hao wanawake wanaowatongoza na wala sijasema kwamba wanawake wakubali kila mtu anayewatongoza

Kumbuka naweza kutongozwa na wanaume kumi nikamkubalia mmoja tu nikawakataa wengine tisa lakini bado huyo mmoja niliyemchagua akanitenda vile vile yaani mimi naona hapa tutabisha bure bila sababu za msingi

Lakini ukweli ni kwamba hizo tamaa hata nyie mnaweza kuzishinda siyo sisi tu kwahiyo mnatakiwa mtongoze wanawake ambao mnaona mna nia ya dhati nao na siyo kutongoza huku akilini unajua kabisa hapa unapoteza muda tu halafu kumbe mwanamke wa watu kakupenda kweli

Vitu vingine muwe mnatumia akili siyo kila kitu mnatutupia lawama wanawake tu na kujiona kama vile wanaume hamna kosa lolote yaani hamna hatia kabisa
Kutongoza sio kosa ila mwanamke kukubali kila tongozo ndio kosa. Mkiwa mnakataa pia inasaidia😂 ila ujinga ni kwamba mnawakataliaga watu wenye mpango wa dhati na kuwakubalia mabishoo. Akili za mama cookie zikikutawala umeisha!
 
Kutongoza sio kosa ila mwanamke kukubali kila tongozo ndio kosa. Mkiwa mnakataa pia inasaidia ila ujinga ni kwamba mnawakataliaga watu wenye mpango wa dhati na kuwakubalia mabishoo. Akili za mama cookie zikikutawala umeisha!
Umenielewa sana ila unataka ligi tu nimekwambia mwanaume kutongoza siyo kosa kama una nia ya dhati ila kama hauna nia ya dhati kutongoza ni kosa kubwa sana kwanini mtongoze wanawake hovyo kama hamna malengo nao?

Halafu sisi wanawake ni binadamu siyo malaika kusema kwamba kati ya wote wanaotutongoza tunaweza kugundua yupi ana nia ya dhati na yupi hana nia ya dhati kwahiyo kosa ni la wanaume mnapotongoza mkiwa hamna malengo yoyote jamani
 
mwenye malengo na wewe anakuja kujitambulisha kwenu.
 
Ile kitu ulimaliza? Hujatoa mrejesho kwenye ule uzi
Nilimaliza boss ila nilikuja kumaliza mwaka huu,mwaka jana nilikwama, nilimaliza mwezi uliopita mwaka huu,sema tiles imekuja kupanda bei kidogo na zile za mchina grade A mdupa ni adimu kidogo, hapa juzi kazi iliuobaki ni tiles tu,na nikaibidi nichanganye vyumbani niweke za twayfod,halafu sitting room,dinning kodro nikaweka za india ile 60*60 ivory so far nilishamaliza kila kitu boss, kwa kweli michango yako ilinisaidia sana mkuu, nikushukuru kwa mchango wako.
 
"yaani mimi niendeshe IST na wewe mwanaume uendeshe hiyo hiyo IST ???" Huu Ni ujinga usiovumilika inaelekea huna hata mkokoteni kazi kugawa kwa bodaboda tuuh ilo upate lift
 
Naona umepaniki sana, inavyoonekana hujawahi miliki chombo cha moto (usafiri) maana wenye magari wamerelax tu!!!
 
Back
Top Bottom