Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,437
- 176,394
Hicho kitabu kitakatifu kinaruhusu uzinzi?Mimi sio tapeli mkuu,, nafuata maandiko ya kitabu kitakatifu cha bible kuwa nitakula kwa jasho la mwanaume
Hicho kitabu kitakatifu kinaruhusu uzinzi?Mimi sio tapeli mkuu,, nafuata maandiko ya kitabu kitakatifu cha bible kuwa nitakula kwa jasho la mwanaume
Kufanya nao mapenzi ikiwa hawana malengo ya kuwaoaUna maanisha nini mkuu kwa kusema "Wasingekua wanawachezea?"
Wee nae wapi huyu mdada kakuambia biblia inaruhusu uzinzi, mwaya Miss_Irene hebu fungua PM yakoHicho kitabu kitakatifu kinaruhusu uzinzi?
Una jinsia ngapi?Wee nae wapi huyu mdada kakuambia biblia inaruhusu uzinzi, mwaya Miss_Irene hebu fungua PM yako
Kwanini?Mmmmh!! Huyo mwanaume wa hivyo maisha yake mafupi sana....
Sure mkuu, inaelekea huyu alishabakwa au amefanyiwa ukatili wa kijinsia hivyo ameathirika kisaikologia kinachotakiwa hapa ni kumuona mshauri ili atibiwe tatizo lake, wengi walikuwa km yeye ila sasa hivi wamepona na wanaishi vizuri tu na jamii yaoHahahh .mbona huwa hauna huruma na wanaume.. Huwa nasoma comment zako ni kuwa kosoa na kuwa kandamiza wanaume kwa nguvu zote ..kumbukuka wanaume ni kaka zako,wajomba, na baba yako ..so inabidi ututhamini ..na kutujali binti
Hilo ndo tatizo la wabongo kujifanya mnamjua kila mtu kupitia anayoyaandika nyuma ya keyboard mkuu hii ni jamii forums siyo maisha halisi halafu ningekuwa nimepitia hayo unayosema na ningekuwa kweli nawachukia wanaume basi nisingekuwa na mpenzi kabisa ila ninaye labda kama hauzijui vizuri sifa za mwanamke aliyekuwa sexually harrassed utotoniSure mkuu, inaelekea huyu alishabakwa au amefanyiwa ukatili wa kijinsia hivyo ameathirika kisaikologia kinachotakiwa hapa ni kumuona mshauri ili atibiwe tatizo lake, wengi walikuwa km yeye ila sasa hivi wamepona na wanaishi vizuri tu na jamii yao
Kufanya nao mapenzi ikiwa hawana malengo ya kuwaoa
Lakini hapo anakuwa hajamchezea mwanaume tofauti na wanaume mnapotembea na wanawake halafu hamuwaoi mnakuwa mmewachezea kwani huo si ndo mtazamo wa jamii au? Mimi nilijua utanielewa kwa sababu huo ndo mtazamo wa jamii yenu hiyoMkuu,mbona na wao hufanya mapenzi bila kua na lengo la kuolewa? hujawahi kusikia kuna mwanaume kakataliwa ndoa na mpenzi wake?
Unachanganya sana mambo,tulia kwanza,Lakini hapo anakuwa hajamchezea mwanaume tofauti na wanaume mnapotembea na wanawake halafu hamuwaoi mnakuwa mmewachezea kwani huo si ndo mtazamo wa jamii au? Mimi nilijua utanielewa kwa sababu huo ndo mtazamo wa jamii yenu hiyo
Ambayo ndo mnafanya mambo ili kuifurahisha jamii ambayo inaamini mwanaume ndo anatumia na mwanamke ndo anatumiwa sasa hapo mkiachana nani atakuwa kamchezea mwenzie? Obviously aliyemtumia mwenzie ndo kamchezea mwenzie na aliyetumiwa ndo kachezewa no matter the reasons zilizosababisha muachane
Yaani wewe bwana, wanaume watambue thamani ya miili ya wanawake wakati hao wanawake hawatambui thamani ya miili yao? Does it make sense to you? Nadhani ukiitambua thamani yako, hata jirani yako tu atakuheshimu.Yaani wanaume wangekuwa wanatambua thamani ya miili ya wanawake basi wasingekuwa wanawachezea
Mkuu hebu tuelewane kitu kimoja kwanza kutokana na mtazamo wa jamii yetu hii inayotuzunguka ambayo inaamini kwamba mwanaume hata afikishe miaka 60 hajaoa bado atapata mwanamke wa kuoa tu ila mwanamke akifikisha miaka 40 tu kupata mwanaume wa kuolewa naye inakuwa ni ishu naomba nikuulize hili swali hivi mwanaume na mwanamke wanapoachana nani kati yao anakuwa anapoteza muda wa kufikia ndoa? Kwani na wanaume kwenye mahusiano huwa mna cha kupoteza ukilinganisha na wanawake?Unachanganya sana mambo,tulia kwanza,
Kwani mwanamke hawezi kumchezea mwanaume? hawezi kumpotezea muda wake kisha akamdump? Hapo kwenye red unakusudia "jamii yetu" kwa maana ya jamii ipi? gender?
Kuna wanawake wanajiheshimu lakini bado wanatongozwa na wanaume wakware haya hapo bado unaona tatizo ni mwanamke? Wanaume ambao wanatongozatongoza hovyo hata kama hawana nia ya dhati siyo tatizo?Yaani wewe bwana, wanaume watambue thamani ya miili ya wanawake wakati hao wanawake hawatambui thamani ya miili yao? Does it make sense to you? Nadhani ukiitambua thamani yako, hata jirani yako tu atakuheshimu.
Unatoaje tunda ovyo? Kwa nini usisubiri ndoa?Kuna wanawake wanajiheshimu lakini bado wanatongozwa na wanaume wakware haya hapo bado unaona tatizo ni mwanamke? Wanaume ambao wanatongozatongoza hovyo hata kama hawana nia ya dhati siyo tatizo?
Kwanini na wanaume nao watongoze hovyo? Mimi nakwambia hata wanawake wote duniani tukisema tujiheshimu bado kuna wanaume wataendelea kututongoza tu na kutaka mchezo kabla ya ndoa kama mnaona ninyi kutongoza hamuwezi kuacha basi fikirieni na sisi mnaotutongoza kwamba ndo tunawezaje kushindwa kukubali ukizingatia vishawishi ni vingi?Unatoaje tunda ovyo? Kwa nini usisubiri ndoa?
Ndio maana nikakwambia tulia ili uandike vitu vinavyoeleweka,umerukia sasa tuongelee watu walioachana!! bora nikuache tu.Mkuu hebu tuelewane kitu kimoja kwanza kutokana na mtazamo wa jamii yetu hii inayotuzunguka ambayo inaamini kwamba mwanaume hata afikishe miaka 60 hajaoa bado atapata mwanamke wa kuoa tu ila mwanamke akifikisha miaka 40 tu kupata mwanaume wa kuolewa naye inakuwa ni ishu naomba nikuulize hili swali hivi mwanaume na mwanamke wanapoachana nani kati yao anakuwa anapoteza muda wa kufikia ndoa? Kwani na wanaume kwenye mahusiano huwa mna cha kupoteza ukilinganisha na wanawake?
Sasa hapo tatizo ni la wanawake. Ukitongozwa usikubali ..Kwanini na wanaume nao watongoze hovyo? Mimi nakwambia hata wanawake wote duniani tukisema tujiheshimu bado kuna wanaume wataendelea kututongoza tu na kutaka mchezo kabla ya ndoa kama mnaona ninyi kutongoza hamuwezi kuacha basi fikirieni na sisi mnaotutongoza kwamba ndo tunawezaje kushindwa kukubali ukizingatia vishawishi ni vingi?