KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 30,263
- 69,504
Matokeo ni majibu ya kile ya kilichokuwa kinaendelea..
kuna watu wanalalamika juu ya kupata matokeo fulani lkn kumbe matokeo hayo yamesababishwa na mapokeo fulani aliyonayo,badiliko la mapokeo yako ndio badiliko la matokeo yako.
Tambua mapokeo sahihi ili upate matokeo sahihi(yale unayoyataka)
tatizo si matokeo la hasha! tatizo ni mapokeo ambayo ndio hutoa matokeo... lkn kumbuka tupo kwenye ulimwengu wa matendo