Ukigundua mwenza wako Amekudukua!

Ukigundua mwenza wako Amekudukua!

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,828
Yaani kama amehangaika mpaka amekudukua whatsapp au hata Id yako hapa J.f wala usipanic,huyu ni sawa na mtu ambaye
hatumii kinga halafu anaenda kupima ngoma. Hakikisha unampa kile alichokuwa anakitafuta kwa muda mrefu tena usim banie mpaka aombe pooo mpaka ajute kwa nini kaijua Id yako.
 
Kuna watu wanajishuku sana wanawake wengne akikuona umesimama karbu na tetea lazma agombane nae, wanaume wengne hasa wenye vibamia akiona mkewe kasimama karbu na jogoo halaf awike, utasikia jion huyu achinjwe
 
Wivu wa kitoto tu, hakuna cha peke yako dunia hii
Akiingia ndani simu anatoa mlio,simu ikiita anakata au anaenda kuongelea mbali na wewe,simu anaenda nayo bafuni au chooni,namba za simu haweki majina au kaweka majina ya ajabu ajabu hasa ya wanaume mf.gari tamu,pesapesa,mchoyo/bahili n.k. yote hayo ukae kimya bila hata kutilia shaka??kwa mtindo huo sipatikaniki..
 
Akiingia ndani simu anatoa mlio,simu ikiita anakata au anaenda kuongelea mbali na wewe,simu anaenda nayo bafuni au chooni,namba za simu haweki majina au anakaweka majina ya ajabu ajabu hasa ya wanaume mf.gari tamu,pesapesa,mchoyo/bahili n.k. yote hayo ukae kimya bila hata kutilia shaka??kwa mtindo huo sipatikaniki..
Ukimchunguza sana bata hutamla
 
Afanye atakavyo Mimi bado hajafikia hata level ya kunibabaisha.

Love yourself first....
 
Ni ngumu sana hasa kwa mtu unayempenda sana na una malengo nae ila kwa hawara wala haiumi afanye tu kile anajiskia as long as you hit it.

Flirting around is unacceptable hasa mkiwa katika committed relationship. Kwahili ntapingana na wote wanaotetea huu ushenzi maana hupelekea usaliti.

Mi ni muhanga wa hio case na nadhani huu wivu utaniisha siku nikimjaza mtu mimba labda maana nitakua nna uhakika ni wangu ata huko mbeleni akiliwa sawa tu ilmradi tuna bond ya uhakika. Ila for the meantime macho juu juu bado lazma surveillance and audits zifanyike kila baada ya muda flani.

Hawaaminikagi hawa and its better upate dissapointment ya mapema ni nafuu kuliko ile ya boom..Unaweza ukafa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom