Jaby'z
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 4,318
- 7,657
alichokikuta ndo chanzo cha kua ex wangu sasahivi,sipendi kufuatilianaAhahahahah alikuta nini
alichokikuta ndo chanzo cha kua ex wangu sasahivi,sipendi kufuatilianaAhahahahah alikuta nini
kum-excludeWahenga wa zamani walikua na tiba ya kila tatizo, kama vile siku za mwizi ni arobaini nk embu wajuzi mtueleze hili la Dawa ya mdukuzi ni..................
Yaan nimeacha kabisa kuchat na watu...bora nichat hukuhuku tutaelewanaWe si unaenda olewa soon. Kwa hii akili sijui lakini ila itakubidi undoe chain za majamaa unaochat nao siku nzima wale!
Hahahah well jf haina mambo ya kijinga. Shida ni huko whatsapp na facebook ndio ujing ujinga mwingiYaan nimeacha kabisa kuchat na watu...bora nichat hukuhuku tutaelewana
hahahahahahah jamani maneno yenu duuuuuh ila nimefurahiKuna watu wanajishuku sana wanawake wengne akikuona umesimama karbu na tetea lazma agombane nae, wanaume wengne hasa wenye vibamia akiona mkewe kasimama karbu na jogoo halaf awike, utasikia jion huyu achinjwe
Demu Wang kuna wakati nililewa,nikampora Cm kama utani nilichokuta kule ndani sikuamini chakushangaza akaanza kujitete "hivi Toni ukifatilia kila kitu utaweza?? unajipa pressure bure"
Mkuu nifundishe jins ya kudukuwa watsup maana kuna bint flan anaish mbali na mim ila nataka awe mchumba soon ,nia yang nikudetect kama ana mambo mengi au machache,kama machache ntamvumiliamimi nimedukua kwa kupitia whatsap web, nashukuru, some how anajitahidi kubehave, hana mambo mengi, chats zake zote naziona, imenifanya niongeze sana upendo kwake, maana mwanzo nilikuwa nina wasiwasi nae, kumbe ni wivu tu, hakuwa na mambo hayo
jambo la kwanza unadownload whatsapp scan kwenye cm yako, afu unaifungua, unachukua cm yake upande wa juu tafuta whatsapp web, then iscan ile application ulioidownload, hapo chats zake zote zitahamia kwako, inachukua dakika 1 tu kuwa na cm yake,,,,,,kwa uelewa zaidi icheki video you tubu, andika how to hack a whatsapp account using whatsapp webMkuu nifundishe jins ya kudukuwa watsup maana kuna bint flan anaish mbali na mim ila nataka awe mchumba soon ,nia yang nikudetect kama ana mambo mengi au machache,kama machache ntamvumilia
Ni kweli bhana kuna watu wanawivu wa ajabu utafikiri alikukuta huwasiliani na watu wengine
Mkuu nakushauri, kama huna uwezo wa kuachana nae usimchunguzeMkuu nifundishe jins ya kudukuwa watsup maana kuna bint flan anaish mbali na mim ila nataka awe mchumba soon ,nia yang nikudetect kama ana mambo mengi au machache,kama machache ntamvumilia
Dadavua vizuri bossYaani kama amehangaika mpaka amekudukua whatsapp au hata Id yako hapa J.f wala usipanic,huyu ni sawa na mtu ambaye
hatumii kinga halafu anaenda kupima ngoma. Hakikisha unampa kile alichokuwa anakitafuta kwa muda mrefu tena usim banie mpaka aombe pooo mpaka ajute kwa nini kaijua Id yako.
Sawasawa mkuuMkuu nakushauri, kama huna uwezo wa kuachana nae usimchunguze
Ni kumwongezea upendoWahenga wa zamani walikua na tiba ya kila tatizo, kama vile siku za mwizi ni arobaini nk embu wajuzi mtueleze hili la Dawa ya mdukuzi ni..................
Kwa hivyo na wewe ukaridhikaDemu Wang kuna wakati nililewa,nikampora Cm kama utani nilichokuta kule ndani sikuamini chakushangaza akaanza kujitete "hivi Toni ukifatilia kila kitu utaweza?? unajipa pressure bure"
Sawa mkuuUmewahi kujiuliza hili swali.....si kwa mwanamke au mwanamme....inakuwaje mtu umfiche mwenza wako kuwa unachat kisiri siri na mtu mwingine? Nini agenda yako, na kama ukiulizwa huyu unayechat naye ni nani kwa nini uje juu? Ukisikia paaaa, ujuwe kaguswa huyo.