Ukigundua mwenza wako Amekudukua!

Ukigundua mwenza wako Amekudukua!

Demu Wang kuna wakati nililewa,nikampora Cm kama utani nilichokuta kule ndani sikuamini chakushangaza akaanza kujitete "hivi Toni ukifatilia kila kitu utaweza?? unajipa pressure bure"

Ningemtia ngumi moja matata.
 
Yaani kama amehangaika mpaka amekudukua whatsapp au hata Id yako hapa J.f wala usipanic,huyu ni sawa na mtu ambaye
hatumii kinga halafu anaenda kupima ngoma. Hakikisha unampa kile alichokuwa anakitafuta kwa muda mrefu tena usim banie mpaka aombe pooo mpaka ajute kwa nini kaijua Id yako.
Mkuu kutumia huu ushauri wako, labda akili ziwe zimefyatuka. Maana ni zaidi ya uharibifu, aisee[emoji50] !
 
Mkuu nifundishe jins ya kudukuwa watsup maana kuna bint flan anaish mbali na mim ila nataka awe mchumba soon ,nia yang nikudetect kama ana mambo mengi au machache,kama machache ntamvumilia
Kabla ya kudukua jiandae kisaikolojia tusije tukakupoteza bure!
 
Mwanaume ukidukua simu ya mwanamke sijui nakuonaje?...sana sana nazidi kukuhate tuu...shame on them wale wote wenye ushenzi huo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom