Nchi salama ni NAMIBIA, SWAZILAND NA BOTSWANA. Nenda kati ya hizo.Daa noma binafisi huwa natamani kuishi nchi za kusini mwa jangwa la sahara
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Tupeni connection wakuuNchi salama ni NAMIBIA, SWAZILAND NA BOTSWANA. Nenda kati ya hizo.
Ila Swaziland kidogo hela sio sana.
Ujuaji wa vitu vya chini kabisa huuHivi unaifahamu asilimia 80 ya kitu chochote kile? Maana shida ndio imeanzia hapo unatoa data zisizo na uhakika
Navuta picha kuiona jamii ambayo asilimia 80 ni mateja!!! Yaani katika watu kumi unaokutana nao njiani 8 wawe mateja!! Sidhani!Ujuaji wa vitu vya chini kabisa huu
Kumbe!Utakuta kuna watanzania walishazamia SA zaidi ya miaka 30, hawana mbele wala nyuma na ndugu zao hawana taarifa zao.
Wenyeji wa Capetown ambao ni Coloureds wanaongea Kiswahili kama Wabongo, hii ni sababu walishajichanganya na Wabongo ambao wengi wanauzia unga na madawa mengine ya kulevya.
Kuna kitongoji kinaitwa Woodstock, kuna Watanzania kibao unaweza ukadhania upo keko.
Wanawake wa ki-coloureds wengi wanawapenda sana Wabongo. Haya ni baadhi ya maajabu ya Capetown, mji ambao naupenda na kila nikipata vijisenti huwa naenda kula bata Campsbay.
Soweto = South and west townships, hii iko ndani ya City of Johannesburg, Gauteng Province.Nilienda worldcup ila nilienda kam kid nilipapenda nilikuwa sielewi elewi nataman nirudi tena km mtu timamu sahv, Jorbug,soweto,captown
Nevada?Ukifika Vegas utasemaje mkuu
Kuna Watu ni 'Majuha' kweli kweli. Mimi nipo Dar es Salaam na Wewe uko huko huko unashindwa nini kwenda hapo UCT wakupe utaratibu wote?Nipe mbili tatu za hapo UCT Mkuu, naweza soma hapo kwa kujilipia? huku nikifanya vijikazi vya hapa na pale hapa sina kitu kabisa ila niko Cape ya jirani na Capetown.
Uko sahihi, Nimekaa Cape Town Mitshellsplain kitongoji kimoja kinaitwa Lost City, ni nouma, USA na uhuni wao wote cha Mtoto...Nenda kaone kwa macho yako,coloureds 80% wanatumia madawa. Wabongo wanaofanya kazi za kuuza bidhaaa au bandarini ni wachache sana.
Nilinunua 'Malaya' Mmoja wa ;Kirangirangi' karibu na hiyo 'Theatre' kubwa hapo UCT kila nikimaliza 'Kumkojolea' tu ananiomba 'abwie' Unga wake.Uko sahihi, Nimekaa Cape Town Mitshellsplain kitongoji kimoja kinaitwa Lost City, ni nouma, USA na uhuni wao wote cha Mtoto...
Familia ambazo hazijaathirika na Matumizi ya Dawa za kulevya ni Ama zilizosoma ama zenye Dini.....
I agree kuwa 80% ya Warangirangi ni Wavutaji Madawa.
Sure! Mara nyingi nimeshuhudia Malaya wa Kirangirangi anauza Mbunye kwa Malipo ya Ugali toka kwa Wabongo.Nilinunua 'Malaya' Mmoja wa ;Kirangirangi' karibu na hiyo 'Theatre' kubwa hapo UCT kila nikimaliza 'Kumkojolea' tu ananiomba 'abwie' Unga wake.
Brother umetoa uzoefu wa maana sana aisee.Patience,Experience,Exposure,network and connection I.e social quetient,etc hizo qualities ndio zinaleta matokeo tofauti binafsi nimekuelewaNgoja mimi nikufupishie, Dunia nzima kazi ni connection yako na network yako tu.
Wabongo wanafanyakazi kwenye sekta zote kasoro serikalini tu, hii inadepand who are you na who is ur friends.
Wanasemaga show me ur friends then i will tell u who you are....
Kama company yako ni wa dizaini fulani ukienda nchi walipo kampani yako utafanyakazi wanazofanya wao, formula iko hivyo.
Kitu cha ziada kwenye maisha kuna bahati, hii God given unaweza kukutana na network ambayo hukuitegemea na hata uliowakuta wakakushangaa, maisha yanachange na mambo yananyooka.
Nikupe tofauti kubwa ya Nigerians na Watanzania, tofauti kubwa ni hii
Mtanzania aliyekimbia shule anaweza kujipa matumaini akifika South Africa mambo tambarare bila ya kuwa na network au connection yoyote mwisho wa usiku usishangae kukumkita kaajiliwa na Mnigeria kwenye salon au kuuza matunda.
Tofauti na Wanigeria wengi niliowaona mimi nchi ile siyo Teenegers, ni watu wazima tena hadi wazee wenye exposure kubwa, unakuta mtu amesafa Uk kama 20 years amepiga hesabu zake ameona kwa mkaburu hesabu zake zitalipa unawakuta dizaini hiyo wapo wengi, wana network worldwide.
Ni ngumu kwa Mbongo eti atoke Marekani aende kuhamishia maskani yake South Africa kwakuwa anayo capital na ameiona fursa.
Kwa kifupi tofauti yetu na wao ni hiyo, wao hakuna school boys kule ni watu wazima wanaojitambuwa na wanajuwa wanatafuta nini.
Mnigeria hawezi kuuza matunda, lakini anaweza kumuajiri mtu amuuzie matunda yeye anaendelea na mishe nyingine zenye akili.
Yale mambo ile ela tuma kwenye namba hii wenzetu walifanya miaka ya 90 wakati internet ndio inaingia Africa.
Ninashukuru tu nilikaa huo huo mwaka Mmoja tu wa 2004 hapo Chuoni UCT nikarejea 'Bongo' ila kwa 'Mbunye' za huko sasa 'Ngoma' ingeshaniua.Sure! Mara nyingi nimeshuhudia Malaya wa Kirangirangi anauza Mbunye kwa Malipo ya Ugali toka kwa Wabongo.
Umesahau Mwanamutapa na kina Zwangedaba.Vita ya Mfecane hukusoma.wote sisi ni nduguNi muda wa kufatilia chimbuko la nchi za SADC yaweza kuwa sisi ni baba na mama mmoja maana tunaelewana na tabia tunafanana
2010 ulikuwa mtoto?Nilienda worldcup ila nilienda kam kid nilipapenda nilikuwa sielewi elewi nataman nirudi tena km mtu timamu sahv, Jorbug,soweto,captown
Port Elizabeth ni salama ,Vp kuhusu mji wa port Elizabeth ukoje kiusalama na utafutaji wa kazi
Miji gani kuna usalama zaidi kwa wageni ndani ya south Africa
Na vip kuhusu mini yenye job opportunities nyingi zaidi kwa huko
Ahsante kwa majibu yenu