Ukifika Capetown utashangaa sana

Ukifika Capetown utashangaa sana

Utakuta kuna watanzania walishazamia SA zaidi ya miaka 30, hawana mbele wala nyuma na ndugu zao hawana taarifa zao.

Wenyeji wa Capetown ambao ni Coloureds wanaongea Kiswahili kama Wabongo, hii ni sababu walishajichanganya na Wabongo ambao wengi wanauzia unga na madawa mengine ya kulevya.

Kuna kitongoji kinaitwa Woodstock, kuna Watanzania kibao unaweza ukadhania upo keko.

Wanawake wa ki-coloureds wengi wanawapenda sana Wabongo. Haya ni baadhi ya maajabu ya Capetown, mji ambao naupenda na kila nikipata vijisenti huwa naenda kula bata Campsbay.
Wanapenda chama gani hao?
 
Wanaelewana compared to who?Maana ni subjective...

Zimbabweans,Namibians,Lesothos,Malawians,etc are more genetically related to South Africans zaidi ya Watanzania...

Cha ajabu unavuka watu wote hao unatembea karibu kilomita 5,000 unavuka jamii kibao zinazoingiliana na South Africans miaka maelfu na maelfu yaliyopita then wewe Mpare unajifanya eti "Baba Yetu Mmoja"....

Weaker societies hua zinajikombeleza sana na stronger societies na haya ndio unayoonesha....sio wewe tu,hii ni global phenomenon miaka na miaka....wewe ni manifestation ya hii phenomenon tu...
Mbona kama unataka kulia vile kwa jinsi ulivyojieleza
 
Au pia unaweza kuargue "greatness finds greatness" au "talent recognizes talent"

🙂

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wanaelewana compared to who?Maana ni subjective...

Zimbabweans,Namibians,Lesothos,Malawians,etc are more genetically related to South Africans zaidi ya Watanzania...

Cha ajabu unavuka watu wote hao unatembea karibu kilomita 5,000 unavuka jamii kibao zinazoingiliana na South Africans miaka maelfu na maelfu yaliyopita then wewe Mpare unajifanya eti "Baba Yetu Mmoja"....

Weaker societies hua zinajikombeleza sana na stronger societies na haya ndio unayoonesha....sio wewe tu,hii ni global phenomenon miaka na miaka....wewe ni manifestation ya hii phenomenon tu...
Mkuu kuna kitu hukielewi, Wangoni na wayao wa Tanzania asili yao ni South Africa.

Nitarudi hapa kukupa darasa kuna sehemu nawahi kwanza.
 
Wanaelewana compared to who?Maana ni subjective...

Zimbabweans,Namibians,Lesothos,Malawians,etc are more genetically related to South Africans zaidi ya Watanzania...

Cha ajabu unavuka watu wote hao unatembea karibu kilomita 5,000 unavuka jamii kibao zinazoingiliana na South Africans miaka maelfu na maelfu yaliyopita then wewe Mpare unajifanya eti "Baba Yetu Mmoja"....

Weaker societies hua zinajikombeleza sana na stronger societies na haya ndio unayoonesha....sio wewe tu,hii ni global phenomenon miaka na miaka....wewe ni manifestation ya hii phenomenon tu...

Uko sahihi kwa upande wako na jamaa uliyem-quote pia yuko sahihi, in some contexts!

Vipi kuhusu wangoni, vipi kuhusu wa Swahel/swahili, vipi kuhusu wabantu?

For all we know JMT is almost an anonymous collection of run away fugitives/slaves/natives of certain nations/cultures/nativity/(chimbuko),(asili), etc

Kwa kiasi fulani hoja yake imesimama na inafikirisha!

***Could be a great paper for masters & PhD & stuff!

Just my opinion Chief, let the fact file grind naturally!, Please.
 
Utakuta kuna watanzania walishazamia SA zaidi ya miaka 30, hawana mbele wala nyuma na ndugu zao hawana taarifa zao.

Wenyeji wa Capetown ambao ni Coloureds wanaongea Kiswahili kama Wabongo, hii ni sababu walishajichanganya na Wabongo ambao wengi wanauzia unga na madawa mengine ya kulevya.

Kuna kitongoji kinaitwa Woodstock, kuna Watanzania kibao unaweza ukadhania upo keko.

Wanawake wa ki-coloureds wengi wanawapenda sana Wabongo. Haya ni baadhi ya maajabu ya Capetown, mji ambao naupenda na kila nikipata vijisenti huwa naenda kula bata Campsbay.
Coloureds ndio akina nani?
 
wanaijo ishu zao nini hasa hapo sauzi mkuu
 
Utakuta kuna watanzania walishazamia SA zaidi ya miaka 30, hawana mbele wala nyuma na ndugu zao hawana taarifa zao.

Wenyeji wa Capetown ambao ni Coloureds wanaongea Kiswahili kama Wabongo, hii ni sababu walishajichanganya na Wabongo ambao wengi wanauzia unga na madawa mengine ya kulevya.

Kuna kitongoji kinaitwa Woodstock, kuna Watanzania kibao unaweza ukadhania upo keko.

Wanawake wa ki-coloureds wengi wanawapenda sana Wabongo. Haya ni baadhi ya maajabu ya Capetown, mji ambao naupenda na kila nikipata vijisenti huwa naenda kula bata Campsbay.
Hivu mkuu, nauli mpaka South ni kiasi gani??

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi kwa upande wako na jamaa uliyem-quote pia yuko sahihi, in some contexts!

Vipi kuhusu wangoni, vipi kuhusu wa Swahel/swahili, vipi kuhusu wabantu?

For all we know JMT is almost an anonymous collection of run away fugitives/slaves/natives of certain nations/cultures/nativity/(chimbuko),(asili), etc

Kwa kiasi fulani hoja yake imesimama na inafikirisha!

***Could be a great paper for masters & PhD & stuff!

Just my opinion Chief, let the fact file grind naturally!, Please.
Indeed!

Liko Jambo hapa!

Could be the reason we effortlessly connects with everybody!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Utakuta kuna watanzania walishazamia SA zaidi ya miaka 30, hawana mbele wala nyuma na ndugu zao hawana taarifa zao.

Wenyeji wa Capetown ambao ni Coloureds wanaongea Kiswahili kama Wabongo, hii ni sababu walishajichanganya na Wabongo ambao wengi wanauzia unga na madawa mengine ya kulevya.

Kuna kitongoji kinaitwa Woodstock, kuna Watanzania kibao unaweza ukadhania upo keko.

Wanawake wa ki-coloureds wengi wanawapenda sana Wabongo. Haya ni baadhi ya maajabu ya Capetown, mji ambao naupenda na kila nikipata vijisenti huwa naenda kula bata Campsbay.
Panda na table mountain u enjoy jiji la Cape
 
Back
Top Bottom