Ukifata ushauri wa humu unaweza usioe

Ukifata ushauri wa humu unaweza usioe

Huku ukileta thread ya ushauri asilimia 90 ushauri huwa very negative,so akili kumkichwa
 
Hapo mkuu ni tabia tuu, mbona niko na mchuchu ana elimu lakini hanipi shida. May we, Men should step up our game on this idea!😀
 
Acha ubwege hiki kijiwe na jukwaa huru...jambo linakukera usichangie wala kuendelea kusoma,watu wana stress makazini na nyumbani kwa hiyo wakati mwingine mtu anatema pumba humu inakuwa ni burudani unasahau kwa muda matatizo yako unaongeza siku zakuishi,aliyekuambia ufuate ushauri wa humu nani??hiyo kanuni yakufikiria kisomi ipoje??BRN mkubwa,kalale mbele kule..
 
Kuna pple kaz yao kuponda
kuwa kinyume na.ukwel
utaskia wanawake wa...kuoa ni std 7 au form four
Et wenye dgr hawana unyenyekevu
Na mijitu inasuport tu NDIO KWELIII
Haya..utaskia wanawake wanene...hawajui kukataa wanaume...mara wembamba ni michepuko...wafup sjui...nini haaa...kuna vtu vngne ni ushamba
Et kabila flan hawajui mapenz
Naamin humu wasomi ni weng...so achen ujinga...think kisomi positivly...ni hayo tuu


ukikaa kizembe zembe tunakupoteza tu...hapa kijiweni bana

Akili za kuambiwa changanya na za kwako.
 
Bora waambie maana wamezidi kila theme humu ndani ni wanawake, hawajiamini kabisa baadhi yao. Kama wewe unaona uoe std 7 yes is u ila kuna ambao hawataki kusikia hao std 7. Kila mtu na chaguo lake.

Hivi kijana wa miaka 32 anapo zungumzia std 7 anamaanisha mtoto mdogo? au aliye maliza std 7 na hakuendelea na masomo yoyote i mean ata ufundi,upishi na biashara.?

Kama binti alimaliza std 7 akiwa 14 leo hii unakutana nae yuko 30 na bado unamuita std 7 miaka yote alikua anafanya nini? ata veta ajaenda?huyu atakua na xperience kubwa sana ya maisha.na wanaume wa sasa wanavuoogopa challenge hapo ndo utakoma.
 
Post yako nayo ya kishamba....... To do to do you to blame blame JF
 
Mkuu Huaweiascend

Inabidi uelewe kitu kimoja kuhusu mkusanyiko wa watu, hata moderator wakiamua kuweka online test kuna watakao pata 0% na watakao pata 100% humu humuu. Tuna tofautiana sana uelewa na utashi... kila mmoja sababu kapewa uhuru wa kuongea anafanya analowaza.

Kuna watu wa aina mbalimbali humu ndani...

1. waongo na wanaojisifia
2. wakorofi na wasiosoma threads heading wao ni kukimbilia kusoma comments na kujibu hovyo.
3. Kuna malaika humu pia, hawa kila kitu kiovu hawajawahi kufanya.
4. Kuna watu wazuri pia wanashauri kutokana na uzoefu wao, hawa wako wachache sana.

Hivyo ukiomba msaada au ushauri wowote kubaliana na hali itakayokutokea, litakalo kufaa chukua lisilokufaa waachie moderators.
 
Last edited by a moderator:
Na wewe mbona sredi yako umeendelea kuponda tu hujatoa suluhisho?

Kuna people kazi yao kuponda kuwa kinyume na ukweli utasikia wanawake wa kuoa ni darasa la saba au form four eti wenye degree hawana unyenyekevu.

Watu wanaisupport tu. Utasikia wanawake wanene hawajui kukataa wanaume, mara wembamba ni michepuko, kuna vitu vingine ni ushamba eti kabila fulani hawajui mapenzi.

Naamini humu wasomi ni wengi so acheni hayo mnayoyafanya.
 
Kuna people kazi yao kuponda kuwa kinyume na ukweli utasikia wanawake wa kuoa ni darasa la saba au form four eti wenye degree hawana unyenyekevu.

Watu wanaisupport tu. Utasikia wanawake wanene hawajui kukataa wanaume, mara wembamba ni michepuko, kuna vitu vingine ni ushamba eti kabila fulani hawajui mapenzi.

Naamini humu wasomi ni wengi so acheni hayo mnayoyafanya.

pole sana ikiwa unaishi kwa kufuata upuuzi wa humu
 
principle za kijiwe lazma upewe msokoto, miraa na viroba kifuatacho ni akili kumkichwa....

Hafu kama kawaida, kijiweni inabidi tupeane ushauri wa kijinga tu. Tukikupa wa maana ukiwin utatuona hatuna maana tena, utakuwa hauji tena kupiga story na sisi, unazuga eti uko bize na mishe za hela!

Bora hivi hivi tuendelee kuwa wamoja.
 
kaka , ya kuambiwa, changanya na ya kwako, wengi humu huja kurefresh baada ya kujawa na mzigo mzito wa mawazo na maumivu ya moyo
 
Hafu kama kawaida, kijiweni inabidi tupeane ushauri wa kijinga tu.

Bora hivi hivi tuendelee kuwa wamoja.

ha ha ha mtu akija na shida shida oooh mke anasumbua tunamshauri si urushe zubeda yake nje afu ye unammalizia na mateke, au kakupa limbwata? timua huyo kunguru wa kike oa mwingine utasumbuliwaje na mwanamke...
 
ha ha ha mtu akija na shida shida oooh mke anasumbua tunamshauri si urushe zubeda yake nje afu ye unammalizia na mateke, au kakupa limbwata? timua huyo kunguru wa kike oa mwingine utasumbuliwaje na mwanamke...

Umeona eeh! Tukupe ushauri ufaidike!
 
ndio maana humu niliomba ushauri mmoja tena wa kijinga tena nilitunga tu ila siku hizi situngi tena kuna mtu anaitwa Tyta
hatari
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeh! Tukupe ushauri ufaidike!
mtu mke kakutana nae facebook, wakajuana zaidi tweeter, wakachat chat kwa bbm na kutumiana picha kwa skype et ushauri aje jf ha ha ha si bora akagoogle amalize kabisa
hapa story tu ushauri angazaaa
 
Back
Top Bottom