Ukifa ungependa jeneza lako liweje ?

Ukifa ungependa jeneza lako liweje ?

Mkuu unaogopa kitu ambacho kipo? kubali matokeo

Muhimu - subiri uondoke kwa muda/wakati wako hapa ulimwenguni nikiwa na maana usijue/jifupishe maisha yako

Ila zaidi ya hapo usifagilie kifo

kufa ni faida kuishi ni Kristo
 
Binadamu akifa hana thamani hata jeza liwe la namna ipi au thamani, naona upotezaji wa pesa, kitu chenyewe kinaenda kufukiwa

Umeona eeeh...mie hata wanibebe kwa vikuni tu ilimradi wanaenda kunistiri kunizika basi

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Umeona eeeh...mie hata wanibebe kwa vikuni tu ilimradi wanaenda kunistiri kunizika basi

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Farkhina unaitwa wewe ukiwa bado uko hai lakini ukishaacha kupumua ROHO YAKO INAENDA PEPONI MBINGUNI or whatever na MWILI WAKO unazikwa unachomwa moto unafukiwa tu or whatever! Kwahiyo FARKHINA ni ile conscious mind baada ya hapo ni roho yake marehemu na mwili wake marehemu ...! A bit complicated phenomenon
 
Sina mpango wa kufa leo wala kesho, ndio kwanza nina umri nusu na ahadi ya Mungu so bado sana, hadi nije kufa si ajabu kutakuwa na dizaini nyingine ya kuzikana

Au Izraili mwenyewe atakuwa amekufa... Hence no more dying
 
Utapendaje jeneza wakati ushakufaa, yaan sipendi hiki kitu bora Mungu angeepusha hiki kikombee
Wengine watakuambiaa wanapendaa umbo la gegedeoo
 
Umeona eeh!
Halafu eti uanze kuchagua dizaini ya jeneza 2014, nani kasema?

Mnajifariji...!ila ni vizuri pia kuishi kwa matumaini kuwa hakutapambazuka lakini hatimaye giza hutoweka na siku mpya huanza jus like the realm of death! !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom