ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,713
- 127,647
Dunia tunapita lakini
Ngoja tuifurahie tungali tukipumua mkuu...
Dunia tunapita lakini
Mimi naona jeneza la mtu lifanane na matendo yake, kama ni mwanamke mzinzi achongewe jeneza lililofanana na Udume, kama ni mwananume mzinzi achongewe linalofanana Nyuchi ya kike, kama ni mvuta bangi achongewa linalofanana na misokoto, kama ni mpenda majungu achongewe jeneza linalofanana na chungu na akunjwe mpaka aingie kabisa na nyinginezoLeo nimewahi kurudi home hali tete kumfuko nimekaa sebuleni naangalia Tv zuku life , wanaonyesha tamaduni mbalimbali
Theme iliyonivutia ni nchini ghana watengenezaji majeneza! Kuna majeneza ya kila aina kulingana na fani yako kabla hujafa kuna jeneza umbo la ndege , kiatu ,chupa ya bia ,gari ,nyumba nk nk nk
Nimejaribu kutafakari nikaona niwashirikishe wanajamvi wenzangu hivi ukifa ungependa jeneza lako liwe la umbo gani ?
Mimi naona jeneza la mtu lifanane na matendo yake, kama ni mwanamke mzinzi achongewe jeneza lililofanana na Udume, kama ni mwananume mzinzi achongewe linalofanana Nyuchi ya kike, kama ni mvuta bangi achongewa linalofanana na misokoto, kama ni mpenda majungu achongewe jeneza linalofanana na chungu na akunjwe mpaka aingie kabisa na nyinginezo
utajisikiaje hapo kama ulikuwa na maboifrend kama 50 hivi then wakang'ang'ania mwili wako.. kila mmoja anasema lake!!sihitaji jeneza....mnitupe baharini au ziwani samaki wajisevie au mnichome majivu tupeni ziwa victoria