Leo nimewahi kurudi home hali tete kumfuko nimekaa sebuleni naangalia Tv zuku life , wanaonyesha tamaduni mbalimbali
Theme iliyonivutia ni nchini ghana watengenezaji majeneza! Kuna majeneza ya kila aina kulingana na fani yako kabla hujafa kuna jeneza umbo la ndege , kiatu ,chupa ya bia ,gari ,nyumba nk nk nk
Nimejaribu kutafakari nikaona niwashirikishe wanajamvi wenzangu hivi ukifa ungependa jeneza lako liwe la umbo gani ?
Sina mpango wa kufa leo wala kesho, ndio kwanza nina umri nusu na ahadi ya Mungu so bado sana, hadi nije kufa si ajabu kutakuwa na dizaini nyingine ya kuzikana
Leo nimewahi kurudi home hali tete kumfuko nimekaa sebuleni naangalia Tv zuku life , wanaonyesha tamaduni mbalimbali .
Theme iliyonivutia ni nchini ghana watengenezaji majeneza! Kuna majeneza ya kila aina kulingana na fani yako kabla hujafa kuna jeneza umbo la ndege , kiatu ,chupa ya bia ,gari ,nyumba nk.
Nimejaribu kutafakari nikaona niwashirikishe wanajamvi wenzangu hivi ukifa ungependa jeneza lako liwe la umbo gani ?
Eli79 sikujua kama watu wanaogopa kifo kiasi hiki yet wanataka kwenda peponi
Mkuu unaogopa kitu ambacho kipo? kubali matokeoHakuna anayependa kujichuria kifo.Labda uanze mwenyewe kusema unapenda jeneza la aina gani.
Njoo hapa, huyu hapa mkuu kabangaLa nanasi ningependa zaidi