Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,692
- 861,029
Leo nimewahi kurudi home hali tete kumfuko nimekaa sebuleni naangalia Tv zuku life , wanaonyesha tamaduni mbalimbali .
Theme iliyonivutia ni nchini ghana watengenezaji majeneza! Kuna majeneza ya kila aina kulingana na fani yako kabla hujafa kuna jeneza umbo la ndege , kiatu ,chupa ya bia ,gari ,nyumba nk.
Nimejaribu kutafakari nikaona niwashirikishe wanajamvi wenzangu hivi ukifa ungependa jeneza lako liwe la umbo gani ?