secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 23,598 Reaction score 50,093 May 26, 2026 Thread starter #141 fazili said: Ataishi katika roho kwa level yake kama mbuzi. Click to expand... Je, mbuzi dume akibaka atakwenda motoni?
fazili said: Ataishi katika roho kwa level yake kama mbuzi. Click to expand... Je, mbuzi dume akibaka atakwenda motoni?
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 17,992 Reaction score 24,900 May 26, 2026 #142 secretarybird said: Je, mbuzi dume akibaka atakwenda motoni? Click to expand... Mbuzi hawezi kubaka kwani hana utambuzi wa mema na mabaya.
secretarybird said: Je, mbuzi dume akibaka atakwenda motoni? Click to expand... Mbuzi hawezi kubaka kwani hana utambuzi wa mema na mabaya.
binti kiziwi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 16,813 Reaction score 46,943 May 26, 2026 #143 Mhh hapana sitaki π
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 23,598 Reaction score 50,093 May 26, 2026 Thread starter #144 fazili said: Mbuzi hawezi kubaka kwani hana utambuzi wa mema na mabaya. Click to expand... Umejuaje kama hana utambuzi wa mema na mabaya. Ulishawahi kuwa mbuzi?
fazili said: Mbuzi hawezi kubaka kwani hana utambuzi wa mema na mabaya. Click to expand... Umejuaje kama hana utambuzi wa mema na mabaya. Ulishawahi kuwa mbuzi?
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 17,992 Reaction score 24,900 May 26, 2026 #145 secretarybird said: Je, mbuzi dume akibaka atakwenda motoni? Click to expand... Mbuzi hawezi kutenda dhambi (kubaka) kwani hana utambuzi wa mema na mabaya. Kwa hiyo mbuzi wote huenda Peponi,π
secretarybird said: Je, mbuzi dume akibaka atakwenda motoni? Click to expand... Mbuzi hawezi kutenda dhambi (kubaka) kwani hana utambuzi wa mema na mabaya. Kwa hiyo mbuzi wote huenda Peponi,π
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 23,598 Reaction score 50,093 May 26, 2026 Thread starter #146 fazili said: Mbuzi hawezi kutenda dhambi (kubaka) kwani hana utambuzi wa mema na mabaya. Kwa hiyo mbuzi wote huenda Peponi,π Click to expand... Sawa hawana mema na mabaya. Je, wanafanya makosa?
fazili said: Mbuzi hawezi kutenda dhambi (kubaka) kwani hana utambuzi wa mema na mabaya. Kwa hiyo mbuzi wote huenda Peponi,π Click to expand... Sawa hawana mema na mabaya. Je, wanafanya makosa?