Ukichukiwa kama Meghan hakuna zuri utafanya lionekane

Waingereza ni Waswahili walichangamka Yaani watu wale ni wakuda balaa Yaani wambea wambea wanapenda kufuatikia maisha ya watu na kuyajadili ,hiyo Tabia mbaya wameiacha hata Kwenye makoloni Yao Kama India na Tanganyika ikiwemo!
Kama huamini angalia magazeti Yao na majarida ya udaku ndio utawajua waingereza vizuri
hahaahaaa zile za
' Mganga wa diamond Toka kigoma anena mazito'!

Pale London utakuta
How Mergan Vodoo Wizard from Haiti traped Prince Harry!
😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…