Ndoa ni muhimu sana

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
8,416
7,968
Nawashauri wanaume na wanawake,msiishi pamoja bila ndoa,fungeni ndoa hata bila sherehe,na sio lazima mvae nguo za gharama,kama ni wakristo nendeni kanisani hata kwa daladala,kama ni waislamu fungeni ndoa,alikeni ndugu tu,pikeni chai na maandazi mkaanze maisha.Mungu atakuleteeni baraka za ajabu.Kwa mnaokabiliwa na ugumu wa kuoa au kuolewa njoo inbox nitakusaidia,ni bure hakuna malipo.wiki hii yote ntakuwa tabora
 
Vile akina Juniors wa miaka ya 2000 wanakuzuum wakiombea upigwe na kitu kizito cha ndoa.
Screenshot_2023-12-21-02-28-55-19_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Nawashauri wanaume na wanawake,msiishi pamoja bila ndoa,fungeni ndoa hata bila sherehe,na sio lazima mvae nguo za gharama,kama ni wakristo nendeni kanisani hata kwa daladala,kama ni waislamu fungeni ndoa,alikeni ndugu tu,pikeni chai na maandazi mkaanze maisha.Mungu atakuleteeni baraka za ajabu.Kwa mnaokabiliwa na ugumu wa kuoa au kuolewa njoo inbox nitakusaidia,ni bure hakuna malipo.wiki hii yote ntakuwa tabora
Hoja yako ina mashiko, lakini kwa bahati mbaya sana kwamba siku hizi wanawake wengi zaidi wanapenda zaidi HARUSI, hawapendi Ndoa.
 
Ndoa imebakia kuwa blah blah tu. Kila siku wanandoa wanakatana mapanga, wanauana, wanatengana na kutalikiana halafu mleta mada unakuja na hizi ngonjera??

Hivi mfalme Sulemani alifunga nda na wale wake zake wote ? Lkn mbona qlibarikiwa sana?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom