Ukichukiwa kama Meghan hakuna zuri utafanya lionekane

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,587
215,182
1634211218699.png

Wazandiki wanadai pamoja na kupenda kuvaa nguo za gharama lakini jinsi anavyopose na kujibeba akitembea vinaharibu uzuri wa nguo zake.
 
Waingereza ni Waswahili walichangamka Yaani watu wale ni wakuda balaa Yaani wambea wambea wanapenda kufuatikia maisha ya watu na kuyajadili ,hiyo Tabia mbaya wameiacha hata Kwenye makoloni Yao Kama India na Tanganyika ikiwemo!
Kama huamini angalia magazeti Yao na majarida ya udaku ndio utawajua waingereza vizuri
hahaahaaa zile za
' Mganga wa diamond Toka kigoma anena mazito'!

Pale London utakuta
How Mergan Vodoo Wizard from Haiti traped Prince Harry!
😁😁😁😁😁
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom