Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anachukiwa nguruwe na bado ananenepa vizuri tu.
Uzunguni mtu mweusi maana yake amechanganya damu na mwenye asili ya afrika. Siyo lazima awe mweusi wa rangi.Aiseee... Huyu naye ni mweusi? Sasa mi na weusi wangu huu nitaweza kutoboa kweli? Wallah naahirisha mpango wa kumuoa yule mjukuu wa malkia
Ubaya ni mpaka wahakikishe wamemuangusha na ndivyo watavyofanya. Wabaguzi Sana nyau hao.Hao racist sana
Sema napenda anamisimamo yake mizuri tu
Sio tu kuchanganya damu na mwafrika ila kwenye familia ya malkia kama hauna brown hair ujue kazi unayoUzunguni mtu mweusi maana yake amechanganya damu na mwenye asili ya afrika. Siyo lazima awe mweusi wa rangi.
Tena anachikiwa na dini nzima ya kislam na usabatoAnachukiwa nguruwe na bado ananenepa vizuri tu.
Tatizo hana churashe is sooo beautiful
sio chuki, ni wivu
Ila kuna watu akili zenu mkiamua kuzitumia vizuri ni wakina Sir Isaac Newton kabisa aisee.Anachukiwa nguruwe na bado ananenepa vizuri tu.