Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,124
- 173,993
Uchumi wake unauonajeDuh mbona Dkt. Mengi alipata binti mzuri tuu??
Uchumi wake unauonajeDuh mbona Dkt. Mengi alipata binti mzuri tuu??
Navutiwa na mwanamke ambaye anaambini maisha au familia hujengwa na watu wawili tu kwa maamzi bila kushauriwa wala kufuata tamaa ya fedha,ivo tu
Tupe namba zaoNapata shida sana kuona vijana mnashindwaje kupata wanawake bora mbona wapo wengi sana na ushahidi wa mabinti wawili tupo nao kazini ni mabinti wazuri, bright na wanayajua maisha, watiifu kweli wanachapa kazi haswa, wanajiheshimu haswa.
Najua wanaweza kuwa na kasoro zao lakini za kinadamu.
Mimi nafikiri vijana mna hofu sana kuliko hofu yenyewe, pia mnasikiliza sana maneno ya mtaani
Sasa wanaume wenyewe Wako wangapi. Mbona hiyo 35 inafika haraka kufumba na kufumbua......kukuta 35 demu hajaolewa mbona kawaida maana Yeye hawezi kurukia wanaume tu amalazimishe.Ivi kuna mwanamke katika hii dunia ya leo yupo tiyali afikishe miaka 35 akiwa yupo single eti akae asubili mwanaume mwenye umri wa miaka 40
Wakati umri wa mwanamke kuanzia age of 28 hadi 33 ndio umri mwanamke anapambana apate ndoa au mtoto kama ndoa imeshindikana
Uchumi wake kwa kweli ulikuwa alhamdudillah ila kadiri tunavyozidi kukua ndio uchumi unazidi kuboreka na wanawake wanazidi kukutamani.Uchumi wake unauonaje
Siku hz hakuna formula ya kuacha watoto yatima. Maana vijana wanakufa kuliko wazee. Kufa hakuna formula Unaweza kufa wiki tu baada ya kuzaa mtoto Wako.... Au kama yule jamaa Aliyepoteza familia nzima kwneye kuaga magufuli yule jamaa Ana 50plus. Je asione azae tena maana muda umeenda?? Yote kwa yote ni kuomba uhai na Afya. Baba yangu kanizidi 40 years. Na yupo hai na Ana nguvu kuliko kijana wa miaka 50. Angefuata principles za Sasa nisingekuwepo so muhimu ni kudra na mipango tu.Kwa nyakati hizi mtu kuoa ukiwa na miaka 40 siyo tatizo na wala hawezi kukosa mwanamke mwenye sifa nzuri wa kuolewa naye. Sema mtu analzimika kuoa mapema ili kukwepa kuacha watoto yatima au kukosa mtoto wa kumsaidia uzeeni.
YeahUchumi wake kwa kweli ulikuwa alhamdudillah ila kadiri tunavyozidi kukua ndio uchumi unazidi kuboreka na wanawake wanazidi kukutamani.
Uzuri ni relative. Mzuri kwako ni mbaya kwa mwinginemabinti wawili tupo nao kazini ni mabinti wazuri, bright na wanayajua maisha, watiifu kweli wanachapa kazi haswa, wanajiheshimu haswa.
Unayapa material mavijana ya hovyo wakati yenyewe siku hizi sehemu zote hizo yapo bize na smartphone zao na headphones masikioni huo muda wa kumvutia mwanamke wataupata wapi?Rahisi sana, Kwanza jitambue wewe ni mtu wa aina gani katika yale makundi ya aina ya watu, Malezi yako, Hali ya Maisha yako, Elimu yako, Matajario yako, hisia zako zikoje, Mapendezi yako yakoje, Ukisha jitambua wewe mwenyewe utatafuta couple inayokufaa, haitaongozwa na hisia na sura tu unapomchagua
Wanawake wanapatikana wapi?
Ujirani, Kanisani, Msikitini
Taasisi za elimu, Kazini
Kwa wajomba, kwa babu na bibi, shangazi, kwa shemeji yako, kwa washikaji zako, washikaji wa washikaji zako, kwenye sherehe, kwenye sehemu za starehe every where sasa ikiona una kosa mke wa kariba yako maeneo yote hayo ujue kuna shida mahali.
Sahihi kabisa,kutoa au kuolewa ni kusudi Maalum!!!kuzaa hata panga wanazaaKuoa au kuolewa ni jambo linalozingatia mambo mengi sana na sio umri peke yake.
Unapojikuta umri unakulazimisha kuoa au kuolewa jichunguze zaidi kama una uwezo wa kubeba jukumu la ndoa
Ndoa sio lelemama, ni jukumu zito. Mbali na swala la kumpenda mtu na kutamani kuishi nae pia usisahau kutafuta wewe ni nani? Una karama gani? Uliumbwa na Mungu uje ufanye nini duniani?
Na je, huyo unayempenda anachochea kipawa na karama yako au anaiua?
KabisaUnayapa material mavijana ya hovyo wakati yenyewe siku hizi sehemu zote hizo yapo bize na smartphone zao na headphones masikioni huo muda wa kumvutia mwanamke wataupata wapi?
Wanachojuwa ni kuchart tu wakati mwanamke anapenda zaidi sound kuliko maandishi.
Mimi enzi hata nikisafiri kwa bus seat siyo muhimu kwangu iko sehemu gani, muhimu mkatisha ticket anipe connection tu ya kunipa double seat na mrembo kama yupo aliyekata.
Jamaa yangu mmoja mpaka leo kala maisha na demu mzungu German tulipanda ndege moja seat tofauti route Singapore, yule mshkaji ule muda wa angani alimaliza kila kitu na demu akampa pocket money USD 300 maana yeye alikuwa anakwenda kucheza ndondo ya basketball halafu pocket money hana.
In short my point watu wengi wanadhani socialize ni mitandaoni kitu ambacho si kweli.
Mademu safarini huwa rahisi sana kuwashawishi kimapenzi sijui kwanini ?Unayapa material mavijana ya hovyo wakati yenyewe siku hizi sehemu zote hizo yapo bize na smartphone zao na headphones masikioni huo muda wa kumvutia mwanamke wataupata wapi?
Wanachojuwa ni kuchart tu wakati mwanamke anapenda zaidi sound kuliko maandishi.
Mimi enzi hata nikisafiri kwa bus seat siyo muhimu kwangu iko sehemu gani, muhimu mkatisha ticket anipe connection tu ya kunipa double seat na mrembo kama yupo aliyekata.
Jamaa yangu mmoja mpaka leo kala maisha na demu mzungu German tulipanda ndege moja seat tofauti route Singapore, yule mshkaji ule muda wa angani alimaliza kila kitu na demu akampa pocket money USD 300 maana yeye alikuwa anakwenda kucheza ndondo ya basketball halafu pocket money hana.
In short my point watu wengi wanadhani socialize ni mitandaoni kitu ambacho si kweli.
Kabisa mkuuKuoa mapema ni jambo jema sana ikiwa umejipatia Mke mwema.
Kupata watoto mapema ni jambo jema zaidi, japo ni neema zake Mungu.
Maisha hayana kanuni, Mungu ndiye Dereva sahihi wa maisha yetu sisi Binadamu.