Ukibishana na kichaa nawe utaonekana kichaa!

Van pierre

Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
25
Reaction score
0
Hongera rais kikwete kwa ukimya wako pamoja na maneno kibao ya matusi na uzushi unayotupiwa na wanasiasa uchwara na mashabiki zao!!AMA KWELI WEWE UMEKOMAA KISIASA NA UNATAMBUA VYEMA UKIBISHANA NA CHIZI NAWE UTAONEKANA CHIZI....
 
si umpigie simu?

**** 77 77 77
 
Hongera rais kikwete kwa ukimya wako pamoja na maneno kibao ya matusi na uzushi unayotupiwa na wanasiasa uchwara na mashabiki zao!!AMA KWELI WEWE UMEKOMAA KISIASA NA UNATAMBUA VYEMA UKIBISHANA NA CHIZI NAWE UTAONEKANA CHIZI....
This is Rectal prolapse!
 
Vipi kama chizi anageuka kuwa bubu,anakuwa amekomaa pia au?
 
Watoto wako wanapolalamika njaa unakuwa kimya halafu unasema watoto machizi
kweli wewe ndio kiongozi wa machizi wenyewe
 
Hongera rais kikwete kwa ukimya wako pamoja na maneno kibao ya matusi na uzushi unayotupiwa na wanasiasa uchwara na mashabiki zao!!AMA KWELI WEWE UMEKOMAA KISIASA NA UNATAMBUA VYEMA UKIBISHANA NA CHIZI NAWE UTAONEKANA CHIZI....

Van Pierre angalia utateuliwa Jaji sasa hivi
 
waganga njaa bado mpo! Hata wanafunzi wasiojibu chochote kwenye mitihani wamekomaa kielimu!
 
Hongera rais kikwete kwa ukimya wako pamoja na maneno kibao ya matusi na uzushi unayotupiwa na wanasiasa uchwara na mashabiki zao!!AMA KWELI WEWE UMEKOMAA KISIASA NA UNATAMBUA VYEMA UKIBISHANA NA CHIZI NAWE UTAONEKANA CHIZI....

Atabishana vipi kama hana hoja?
 
Hongera rais kikwete kwa ukimya wako pamoja na maneno kibao ya matusi na uzushi unayotupiwa na wanasiasa uchwara na mashabiki zao!!AMA KWELI WEWE UMEKOMAA KISIASA NA UNATAMBUA VYEMA UKIBISHANA NA CHIZI NAWE UTAONEKANA CHIZI....

Hii ungetuma LEO TENA ya clouds hapa sio pake mheshimiwa
 
Back
Top Bottom