Ukiachwa achika

there is difference btn be patient and wasting time.
 
🙂🙂🙂 Nurse anayejitibu mwenyewe, vip siku hizi tume miss mada zako za afya. na wewe kama nurse ukikaa kimya tunakosa vizuri vya kutuponya
Mkuu mimi sijafikia huko kwenye u nurse, bado ninasoma human biology 😂😂
 
Huwa ninajiambia hakuna haja ya kutumia nguvu. Angenipenda angekuwa ananitengenezea chai sasa hivi si kumuuliza nitakuona lini?
Ss ktk kuuliza ntakuona lini ukutane na jibu "Aaaahm lbd mwisho wa mwezi"na hiyo sk iwe tr 1

Sky moyo hauna maana na tatizo hapo linakua umependa usipopendeka ajira kutibu maumivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi kuna wakati huwa inatokea kumchoka mpenzi wangu bila sababu yoyote (namkinai).
Aaah.. yani hatuja gombana wala hajanikosea chochote ila tu nakuwa nmemchoka ghafla.
Huwezi jua inawezekana mwenzi wako anapitia katika hali hii
 
Nafikiri ni ile guilty inawasumbua. Wanajua kabisa kuwa wanakosea lakin hawataki kusema ukweli. So wanakupotezea ili wadanganye mioyo yao kuwa walichokifanya ni sawa..
Wakisema ukweli hatia itawaandama huko mbeleni. Hata hivyo hatia itajitokeza na wataanza kujuta muda huo ww uko kwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
God dam you boy. Hii track inanikumbushaga machungu. My soulmate aliniachaga bila sababu out of no where akaenda olewa na jamaa wa mtaani kwetu.
Huku nikiwa natazama kwa macho yangu. Maumiv niliyapitia yalikuwa makali kias kwamba nilishindwa hata kuongea.

Nilimiamini sana, hata yeye the same. Ila mpaka leo hana jib why alinifanya vile.

But then after that nilikuwa mtu different sana. sometimes nahis part of me ilikufa na yeye.. i am not the same again. I am something else.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baby mbona wanitisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…