Ukiachwa achika!!

Ukiachwa achika!!

Emmanuel_Adam14

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2015
Posts
670
Reaction score
745
Kwenye pitapita zangu huko mtandaoni nikakuta na hii aisee mm ningemng'ata mtu!
IMG_20181125_220353.jpeg
IMG_20181125_220358.jpeg
IMG_20181125_220401.jpeg
IMG_20181125_220356.jpeg
 
Hapo naweza ua malayaa wa mtu...! aisee balaa sanaa
 
Huu ni ungese aiseeeh, ukisikia ukichaa ndo huu. Ila kwa upande mwingine kama mtu anaona nimemkosea sana na anataka kunikera, bora avunje hivyo ila aniachie mwili wangu, maana ntapambana nipate pesa nyingine na niendelee mbele bila yeye.

Poleni wahanga wa hilo tukio, ukute bidada alikuwa anajinunulisha vyombo na kupendezesha geto la mwanaume halafu anasikia anaolewa mwingine. Ila hata kama anaolewa mwingine ukifanya hivo ndo unazidi kujiharibia.

Acha niendelee na Mahaba yangu Mia Mia na Dadii aka Nonsense.
 
Kunywa chochote unachotaka mama nakuja !!
 
Kikubwa hamna aliyeumiaa au kakatwa na glasi.vingine vitanunuliwa
 
Back
Top Bottom