Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,741
- 1,723
Amemtia hasara kubwa sana
Kunywa chochote unachotaka mama nakuja !!
Hiyo lg ndio iliyoumia saana!Kikubwa hamna aliyeumiaa au kakatwa na glasi.vingine vitanunuliwa
Sio ya kitoto!Amemtia hasara kubwa sana
Yeebaaah, akunywa choda a babaa.... mimi akusubiri wewee ukuje ushichelewe hehehehehee
Choda a baba taamuuuu......
Dadii asione hapa anaweza kuzima seva hehehehehehee.
Kasie Mahaba Abert T.

Siri za kambi za jeshi!!Siri za kambi za jeshi!!
Bora huyu mimi kuna kichaa amewahi write off gari. Ukisikia watu hatutaki ndoa msidhani ni utani kuna mijitu ya ajabu duniani.Kwenye pitapita zangu huko mtandaoni nikakuta na hii aisee mm ningemng'ata mtu! View attachment 946090View attachment 946091View attachment 946092View attachment 946093
Mwenye ng'ombe hafundishwi kukamua na akikamua amalizi maziwa yote, najua kucheza na site mirror mama!!Hataariiii, ila ukija angalia kama kuna mtu anakufatilia kwa nyuma usije ukaleta na kosovo hapa choda a baba itamwagika hehehehehhee.
Eeeh gari aka ndinga hayo ni mapepo!!Bora huyu mimi kuna kichaa amewahi write off gari. Ukisikia watu hatutaki ndoa msidhani ni utani kuna mijitu ya ajabu duniani.
Mwenye ng'ombe hafundishwi kukamua na akikamua amalizi maziwa yote, najua kucheza na site mirror mama!!
Bora huyu mimi kuna kichaa amewahi write off gari. Ukisikia watu hatutaki ndoa msidhani ni utani kuna mijitu ya ajabu duniani.
We sio bureMm hayo yote sio makosa kwangu?? ila kosa ni kukuta kaondoka na charger yang


unautaira kidogo
Hahaha we agiza tuu si unajua tarehe zenyewe hizi huyo kosovo haniwezi nakuambia!!Yeebaaah, nimependa uhakikisho wako... naendele kunywa hivyooo, usichelewe sana. Niliagiza tatu bila sinyanyuki kwenda maliwato hadi uje sasa kama utaacha bibi Kasie ajichojolee basi namwambia kosovo ahamie kwenye matariri na vioo vyote vya pembeni mbele na nyuma hehehehehehhehehee
Kasie Makorokocho.
Hasira za kizunguHuo uchizi sasa. Hasira gani za kutiana hasara jameni
Si wanaiga kwa wazungu Hawajui zile ni movie!!Huo uchizi sasa. Hasira gani za kutiana hasara jameni
Hahaha we agiza tuu si unajua tarehe zenyewe hizi huyo kosovo haniwezi nakuambia!!
Ingekuwa Kenya huyo Mke angefuliwa kesi, mahakamaniAisee hiyo LG flat screen imenusurika kweli "... duhh hao mademu zenu wengine huwa ni majini au " !!? Maana sio kwa kuingiziana hasara hivyo
Nimekaribia kufika Sadolini tena hahahaha utanihaibisha sasa!!Nimeongeza nyingine tatu bora, utanikuta kwenye kona kabisaa, sinyanyuki hapa asilani hadi ufike. Nikizidiwa naagiza kisadolini hehehehehee.
Kesi ya nn hapo naangali tuu flat yangu imepona baasi gharama za wakili na mashaidi nani anataka!!Ingekuwa Kenya huyo Mke angefuliwa kesi, mahakamani