Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,379
- 88,735
Unampa kichapo mpaka akili imrudie ajue yuko Africa tena Tanzania kwa jiweSi wanaiga kwa wazungu Hawajui zile ni movie!!
Unampa kichapo mpaka akili imrudie ajue yuko Africa tena Tanzania kwa jiweSi wanaiga kwa wazungu Hawajui zile ni movie!!
Hasira za kizungu
Nimekaribia kufika Sadolini tena hahahaha utanihaibisha sasa!!
Hahahahha kichapo tena hapo pagumu wengine hatujawahi piga wanawake tunapigaga kivingine kwenye bed !!Unampa kichapo mpaka akili imrudie ajue yuko Africa tena Tanzania kwa jiwe
Unazinguwa sasa hivi unajua hapo nilipo kuja ulipo ni karibu na kurudi nilipo toka ni karibu pia!!Ahahahahahahaa oohoooo ukisikia Matata ya Kasie ndo hayooo.
Ila ukiambiwa uchague unaelekea upande upi, kosovo au sadolini hehehehehhee na ukiacha kote utakokimbilia ujue unaenda kulishwa kinyama hehehehehehee. Nakutania mwaya weeeh usijesema huyu bibi viipiii.
Karibia mwaya sijanyanyuka hata.
Kama nguvu ya red bull vile!!Avunje tu,vyote vinanunulika.
Yani ndo kwanza ananifanya nisifeel guilt..
Ni moja ya mikasa sijawahi kuhadithia watu . Ni aibu.Eeeh gari aka ndinga hayo ni mapepo!!
HaAahah ubanguaji wa korosho kwa kutumia bomu!!Nyie sio binadamu aliyefanya hivyo. Inawezekana kabisa ni bomu limelipuka kwa bahati mbaya wakati wa jitihada za kubangua korosho
Ume nikumbusha meza yangu ya kioo mkuu![]()
Mimi NAKUSHAURI NDOA! mkuuBado mnanishauri harusi..
Kama kagharamika demu unaanzaje kuuwa mkuu?Hapo naweza ua malayaa wa mtu...! aisee balaa sanaa
Aisee na unasahau kila kitu!!Mapenzi kitu cha kijinga sana.Usishangae kukuta wanarudiana!