Ukeketaji: Mila isiyochuja Tarime

Ukeketaji: Mila isiyochuja Tarime

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,932
Reaction score
11,863
Nimefika hapa Tarime tarehe 19 mwezi huu nimetembelea vijiji vingi nimekutana na wasichana makundi kwa makundi wamekeketwa wengine wakitoka kukeketwa cha kushangaza wanapita kwenye vituo vya polisi bila kufanywa chochote, nimejaribu kuongea na baadhi ya wasichana waliokeketwa.

Wanadai bila kukeketwa hawawezi kuolewa. Hivi serikali ipo likizo kwanini imeshindwa kuzuia udhalilishaji huu kwa watoto wa kike.
 
Huku pwani maovu mmehararisha kwa mwavuli DINI Mmekomaa kuichafua MARA Tu.UKEKETAJI NI JANGA LA AFRIKA SI MARA PEKEE.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Duug yani wanawatoa utamu wooote. Jamni ile sindiyo antena yenyewe??? Uuwii yani mie nikiguswa tu pale kwisha habari.
 
Jana nilicheki kipindi cha wanawake live JKiria alichambua sana hii kitu live na waathirika/wahusika
 
Na huwezi kuona FGM ndani ya kijiji kimoja amma viwili wewe ukakurupuka na TARIME amma MARA.Mbona Manyara,MOSHI mpo kimy
 
Mshenzi wewe kwani sehemu nyingine huoni mpaka utaje Mara tu?! Ngoja wiki ijayo nikapeleke kabinti kangu wakakatahiri muraa aacha we mropokaji
 
naomba kwa mjuzi wa haya mambo anitofautishie maana ya kukeketwa na kutahiriwa
naomba pia unidadavulie faida zake na hathari zake
vip kuhusu imani zetu za kidini?
vip kuhusu tamaduni zetu !
ni kweli kuwa wanong'ang'ani hizo tamaduni awazioni hizo hathari!
 
Hana adabu kapisa SINGIDA,SAME,MANYARA,Na kwingineko haoni anangangania Tarime tuuu
 
Nimefika hapa Tarime tarehe 19 mwezi huu nimetembelea vijiji vingi nimekutana na wasichana makundi kwa makundi wamekeketwa wengine wakitoka kukeketwa cha kushangaza wanapita kwenye vituo vya polisi bila kufanywa chochote, nimejaribu kuongea na baadhi ya wasichana waliokeketwa.

Wanadai bila kukeketwa hawawezi kuolewa. Hivi serikali ipo likizo kwanini imeshindwa kuzuia udhalilishaji huu kwa watoto wa kike.

Tar 20 nadhan ndo ilikuwa hitimisho la sherehe hizo maana hata mi ndo nilikuwa naingia Tarime na nikawa nakutana na makundi ya watu wanaofikia hadi 50 and more eti wanasherehekea huo unyama huku wakiserebuka mziki wa asili ritungu
 
Hana adabu kapisa SINGIDA,SAME,MANYARA,Na kwingineko haoni anangangania Tarime tuuu

Mtoa mada ametoa taarifa ili wahusika wafuatilie na wakemee.Ss ww unamwaga povu la nini?au hako kamchezo unakapenda mura?
 
Tar 20 nadhan ndo ilikuwa hitimisho la sherehe hizo maana hata mi ndo nilikuwa naingia Tarime na nikawa nakutana na makundi ya watu wanaofikia hadi 50 and more eti wanasherehekea huo unyama huku wakiserebuka mziki wa asili ritungu

Unyama ni yale mnayofanyiana mkoa kwenu. Tofauti ya Tarime na kwenu ni kwamba tukisema No au YES huwa hamna maana tofauti. Mbona huwasemi Wazungu na operation za Vaginal revitalization? Kipi unyama? Mnawaogopa wazungu kwa vile ndio wanawapa pesa mdhalilishe mkoa wa Mara?
 
Tatizo kakodolea macho TARIME na wakati zipo sehemu nyingi,au kwa sababu ndio kitovu cha ghecha ghecha?Muraa!!
 
Unyama ni yale mnayofanyiana mkoa kwenu. Tofauti ya Tarime na kwenu ni kwamba tukisema No au YES huwa hamna maana tofauti. Mbona huwasemi Wazungu na operation za Vaginal revitalization? Kipi unyama? Mnawaogopa wazungu kwa vile ndio wanawapa pesa mdhalilishe mkoa wa Mara?

Wazungu mi wa nini sasa niwaongelee,mi nawazungumzia waafrika wenzangu tu
 
Unyama ni yale mnayofanyiana mkoa kwenu. Tofauti ya Tarime na kwenu ni kwamba tukisema No au YES huwa hamna maana tofauti. Mbona huwasemi Wazungu na operation za Vaginal revitalization? Kipi unyama? Mnawaogopa wazungu kwa vile ndio wanawapa pesa mdhalilishe mkoa wa Mara?

Mkuu kama mnadumisha mila na desturi zenu,hapo mnadhalilishwa kivipi?au hamtaki ukweli ujulikane?
 
  • Thanks
Reactions: kui
Hili zoezi naona la kuutafuta mkesha maana duh!! Hii mada imetwishwa like jiwe la kusagia na watu kufungwa kisha kutoswa baharini.
 
Na huwezi kuona FGM ndani ya kijiji kimoja amma viwili wewe ukakurupuka na TARIME amma MARA.Mbona Manyara,MOSHI mpo kimy

mkuu mbona hueleweki? kwani unatetea huu uhalifu (ukeketaji) au unausapoti? kama na huko kwingine nako upo, why don't you shout out and let us know instead of blaming the thread creator?

ukeketaji ni suala la kitaifa (kama unavyosema) na hata Tarime na baadhi ya sehemu za mkoa wa Mara upo pia. wewe ulitaka tuongelee ukeketaji wa Manyara na MOSHI tu?

Mkuu, Molembe asante kwa kutuletea hizi habari live kutoka Tarime. Kusema kweli serikali ya CCM imeshindwa kazi....imewaachia wasichana waumizwe kwa kisingizio cha kutowaudhi wapiga kura...kwamba wakiwakamata na kuwafunga watawanyima kura 2015...kura ndiyo kila kitu kwa CCM. Wallah nchi hii inahitaji kuongozwa na dikteta kama idd amini au bokasa ainyooshe.
 
Last edited by a moderator:
Mijitu mengine bwana miili mikubwa ubongo nusu kilo...
Unaambiwa Tarime kuna ukeketaji unasema unazalilishwa...sasa aliyekuzalilisha nani ?
 
Mshenzi wewe kwani sehemu nyingine huoni mpaka utaje Mara tu?! Ngoja wiki ijayo nikapeleke kabinti kangu wakakatahiri muraa aacha we mropokaji

Sasa mkuu matusi ya nini tena?Yeye kaenda Mara kayaona hayo watu wanatoa kale ka antena ka utamu.
 
Back
Top Bottom