Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,602
- 9,159
Wakristo wa zamani sio siku hizi. Siku hizi mnaoa na kuolewa mathna kama kawa tu.Hii wakristo haituhusu[emoji4][emoji4]
Wakristo wa zamani sio siku hizi. Siku hizi mnaoa na kuolewa mathna kama kawa tu.Hii wakristo haituhusu[emoji4][emoji4]
Kwanza sio wote wamepita njia hiyo kwenye kujenga maisha yao. Ila siku ukifiwa na mume at 35+ na kama ni muadilifu ndio utajua kuwa ruhusa hiyo ni msaada kwa wanawake zaidi kuliko wanaume.Sheria za ugandamizi yaani nihenyeke na wewe ugali dagaa mara tulale njaa tuunge unge weeee siku umepata tuuu ati ukaongeze mwanamke.....jengine kuhudumia mke mmoja matatizo Bado linaongeza mke.....
Wakristo wa zamani sio siku hizi. Siku hizi mnaoa na kuolewa mathna kama kawa tu.
Mi naona issue kubwa ni demand na supply tu. Hakuna ubishi kuwa waolewaji ni wengi kuliko waowaji. Wanawake miaka active ya kuolewa ni 20-27. Wakati wanaume ni 25-35. Nakubaliana na wewe kwa 💯, cha msingi uadilifu na kufanya maisha yaende maana afteral, maisha yenyewe ni very temporary.[emoji23][emoji23][emoji23] Sio tuonaona sawa nyie wanaume ndo mnaona sawa.. unadhani kuna mwanamke anapenda kuchangia mume na mtu mnatengeneza mindset za kwamba mwanaume hawezi kutulia na mwanamke mmoja na mnafanya ivo kwa visingizio vya kunyimwa mbususu(tho wengi mnanyimwa) na wanawake tumeshajenga ile “hakuna mwanaume wa pekeako” mindset ila hakuna mtu anaona kawaida
Du mkuu wewe ni mwamba ukiweza kunya hiloNapambana inshaAllah nataka kuoa wake wawili Kwa harusi Moja .
Hii ni kuondoa Ile ya mke mkubwa na mdogo.
Masai dada mambowMi uke wenza SI utaki...kuishi wmenyewe sishindwi...
Sio mbaya....akitaka kuoa mwingine...aniachoe nyumba na watoto....Sina tatizo..
Tuta co parenting....ila sishei dudu kwa kujua