Uke wenza (najua wanawake mtachukia hili)

Uke wenza (najua wanawake mtachukia hili)

[QUOTE="Loading failed, post: 48274531, member: 727
Je, utaondoaje dhana ya mke mkubwa na mke mdogo kwa mujibu wa kuzingatia tendo la ndoa, ni vipi basi utazingatia dhana hii kuondoa mtazamo wa mke mkubwa na mdogo ukizingatia yule wa kwanza kumuingia ndiye wa kwanza na ndiye atakaye kua mke mkubwa kwa wa mwisho kumuingilia ambaye atakua mdogo?


Siku ya kwanza ni mwendo wa threesome tu☺️
 
Kisheria mume hahitaji idhini au ruhusa ya mke katika kuoa mke mwengine.

Ukimruhusu mumeo kuoa mke qa pili utapata faida zifuatazo:

Mimi sijaelewa hapa hiyo mistari yako miwili
 
Ongeza mke kama kipato kinajitosheleza tuungane kwa pamoja kutokomeza uesherati na uzinzi
Ndugu mudi ukweli unabaki hapa, mazingira niliyopo na ninayofanyia kazi nakutana na wamama wa kiislam, walio wengi hawapendi na wanasema kweli kitoka moyoni ila, wanasema ni dini tu ndiyo sababu!.
 
Ngumu kumeza hii naona itanikaba kabisa. Ningekua muislam kwa mfano, siku ambayo mume angenambia anamleta mke mwenzangu asubuhi sana ningetafuta utaratibu wa kusepa.
Si ungemtafutia mumeo pisi unayoelewana nayo wewe?
 
Kikawaida ndoa ya mke zaidi ya mmoja ni ngumu sana, moyo huwa unapenda mwanamke mmoja tu, ila kwa wanawake wengine ni kutamani na kukidhi matakwa ya kingono tu. Kingine nchi za kiarabu nyingi wanaamini kwa mke mmoja tu but kwa huku kwetu africa kuoa mke zaidi ya mmoja ni hatar sana utalishwa limbwata(uchafu) na kila mwanamke mwisho wa siku utakuwa mweu, kingine kuoa wake 4 sio kwamba huwezi kuwa na michepuko.
Nakazia ✍️ ✍️ ✍️
 
Mi uke wenza SI utaki...kuishi wmenyewe sishindwi...
Sio mbaya....akitaka kuoa mwingine...aniachoe nyumba na watoto....Sina tatizo..
Tuta co parenting....ila sishei dudu kwa kujua
😁😁😁😁Saivi unashare dudu kwa Siri
 
Nipo kwenye mahusiano na mabinti wawili wa kiislam wote nime wachunguza sana hawataki, hawapendi na wanachukia kuolewa mke mweza.

Wote wapo teyari kufata imani yangu ya kikristo ili nioe kwa ndoa ya mke mmoja ila ugumu ni wazazi wao hasa baba ndiye analeta shida hataki kusikia mwanae anafata ukristo.

Binti ana maadili sana , na ukweli utabaki mabinti wengi wa kiislam wana maadili mno na malezi mazuri kuliko hawa wa kwetu pia swala la kuja kumuolea mke wapili wengi hawapendi na wanasema wazi wazi kwa sisi wa mataifa..


Nb. Mabinti wa kiislam wengi wanaamini ili amuone Mwenyezi Mungu aende peponi na swala zake zisikike apate thawabu na heri lazima amtii mumewe kwa kila jambo , na hii inawafanya sana wathamini na waheshimu sana mwanaume.
 
Usipende kuingiza udini kwenye jambo muhimu kama hili...hili ni letu sote linatuhusu wakristo kwa waislamu..ni jambo la kitaifa hili.

Ameongelea habari Quran jamani hiyo inamaana gani?? asingeweka vifungu vya Quran na kusema habari Za Allah ningejuaje kama hii hainihusu?? nimekosea nn hapo??

Angetaka na sisi wengine tushiriki angeongelea in a general way mana hata sikuiz wakristo wanafanya hayo mambo ila ametanguliza na mistari Quran mkuu
 
Back
Top Bottom