UKAWA Wavunjika Rasmi

UKAWA Wavunjika Rasmi

Uliyoyasema Lizbon ni kweli, UKAWA inakufa japo tunatamani UKAWA idumu ili kuirekebisha Serikali kwa utisho wake lakini uroho wa madaraka na chapaa unawaua.
 
Isingekuwa rahisi Ukawa kuendelea kubaki "sokoni" maana hawakuwa tangible document ya kuwaunganisha. Ulikuwa ni sawa na kukutana na changudoa ukaamua kumuaproach na kwenda naye "shughulini". Baada ya hapo atadai chake na kujiondokea hata kama utampunja, ataondoka maana si kwake. Lakini sumu mbaya zaidi ni Kasi ya majipu iliyoitoa Ukawa relini na kukosa ajenda. Kimechelewa mno kusambaratika.
 
Ivi watu warumba amnaga chakufanya maana ukawaukawa inawauma roho eeeh!! Nchi mmeachiwa lakin bado to asa kitakufa icho chama chenu ukawa itabaki
 
Wapi uimara wa UKAWA ulipo? UKAWA haipo tena. Hutaki acha
Naona lile fungu la JK la vijana 46 kuonewa huruma limetoka tena.
Mpaka mnatia huruma, njoo nikupe kazi ya kufanya uboreshe maisha kidogo, hii sii kazi
 
Itavunjika familia yako omba omba UKAWA itabakia imara
Mkuu hiyo familia yake anaipata wapi wakati tayari alishaitelekeza na kuendekeza undumilakuwili wa lumumba?
 
Hakuna laana kubwa kama kula rambirambi. Laana hiyo ndiyo inamtafuna huyu mtoa mada. Huna afya ya akili wewe.
Kweli mkuu na laana za aliowapiga mateke na mangumi wakati ni sawa na wazazi wake au hata babu zake
 
Ukawa ni genge la matapeli tu,wametapeliana ruzuku yote imekwenda chadema
Nccr na cuf bara vimekufa,Nld imefutika kabisa
Ccm ni majangili na majambazi wakubwa wa rasilimali za taifa
 
Ukawa ulijaa Usanii... Chadema walivaa koti la Ukawa...


Ukawa ni Chadema na Chadema ni ukawa.
 
Naona idadi ya matamko ya UKAWA imepungua huku Chadema wakiona aibu kutoa matamko kwa niaba ya UKIWA
 
Unaota mchana?
Hivi kwa Yanga kushinda jana basi Simba inakufa? Acha umaamuma wa siasa
 
CCM ni Mpango wa Mungu na Magufuli ni mpango wa Mungu. UKAWA wamekuwa kama wajenzi wa Mnara wa Babeli
Kama Mungu aliiumba Tanzania na watanzania ili wawe masikini pamoja na resources zote alizowapa,hakika ccm utakuwa mpango wa Mungu.ila Huyu Magufuli si mpango wa Mungu maana haiwezekani mtu huyo huyo ulalamike umepokea nchi iliyooza na yenye majibu kila kona wakati nchi imeongozwa na chama chako hicho hicho unachosema kimekupa urais,chama hicho hicho unachotaka kiendelee kuongoza miaka nenda rudi,angekuwa mpango wa Mungu angejua kazi ya ccm Tanzania na kwa watanzania ni nn na asingekuwa analalamika na kuomba kuombewa
 
jahazi la UKAWA lilianza kuzama baada ya ujio wa DUBWANA linaloitwa FISADI PAPA.
m2mbwi wa ukawa.jpg
 
Unaota mchana?
Hivi kwa Yanga kushinda jana basi Simba inakufa? Acha umaamuma wa siasa
Unakumbuka ile timu ilikuwa inaitwa mseto?

Au ile timu aliyoanzisha kajumulo ikajumuisha mastaa wa simba na yanga lakini ilikuwa na mrengo wa kisimba simba hivi...ndio MFANO HALISI WA UKAWA
 
Ukawa imejiua yenyewe kwa kukubali kusafisha mafisadi na kuyafanya malaika..... hakuna uchaguzi mrahisi kama wa 2015....
tumeingia Tukiwa na kashfa kibao Escrow tokomeza mauaji lakini yote hayakuwa na nguvu sababu ya Lowassa

upinzani hauna hoja tena zaidi ya kuvizia kama fisi

kuna uwezekano mbowe anatumika na ccm
 
Wewe ni chumia tumbo,kiwavi mkubwa wa lumumbaView attachment 324512
Nilikuwa najiuliza sana kwa nini Madelu ana wafyatua sana makada wa chama na wake wa makada wenzie sasa nimepata jibu. Lizaboni jumapili kama hii SAA 7.20am tayari kesha amka na kupost Uzi mrefu wa kutunga,majungu na uzàndiki alioufikiri usiku mzima unadhani ana muda kweli wa kumpa mama yeyoo hi kitu hii?
Hapo mama wa watu ni full kiu na inabidi watu wamsaidie. Ukuda una gharama zake, yeye acha ajifanye anatumikia chama na wenzake watumikie mamlaka ya nyumbani kwake
 
Back
Top Bottom