Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,643
Wachambuzi wa mambo walisema mwisho wa ukawa ni baada ya uchaguzi mkuu andiko limeshatimia ndiyo basi tena.
Naona bwana Mdogo huna kazi ya kufanya umeamua kujiajiri kupost ujinga huku kwa malipo haramu ya b7, haya bhanaWapi uimara wa UKAWA ulipo? UKAWA haipo tena. Hutaki acha
Lowasa atamtesa nani wakati hamsini zake zimefika mahakama ya mafisadi imeiva na yeye ni mhuska namba moja atatokea wapi.Lowasa ataendelea kuwatesa mpaka mkome, yaani kwa Hali hii chimchim mnathibitisha kuwa lowasa bado ni mwiba kwenu. Kweli chimchim ni ileile ktk kufanya umburura. Hivi hamna kazi ya kuwafanyia Watanzania mbona mnaleta propaganda za kitoto. Mnakuja na hoja ambazo zinawachukuza watanzania wengi sana ila ninyi chimchim hamjui. Mnapo msema lowasa vibaya umaarufu wenu unazidi kushuka, maana Lowasa ni chaguo la watanzani walio wengi.
UKAWA wa kwenye Katiba na UKAWA huu ni Mbingu na ardhi. !
Sijawahi kula rambirambi na sina sababu ya kufanya hivyo
Ni hakika Babu Duni pia anazidi kukoleza moto kwani chadema na Lowassa hawajamlipa baki ya 150 m...na Siif keshavuta 350 m anaenda matibabu India na Oman vijana Cuf wamenuna kwanini Seif anashiri mikutano na CCM pekeyake bila timu.Hakika kwa sasa ushirika uliyobaki ni kati ya Seif na Lowassa binafsi na kitaasisi kama ukawa kwa makusudi maalum.....ama kweli "ajizi nyumba ya njaa"
Aibu yenu lb7Ukawa imebaki ukiwa
Kumbe nawe ni mmoja wao?Ukiona mtu anamshambulia mleta hoja, badala ya kujenga hoja, huyo kakamatwa kalio. Mkuu umekatwa kalio?
Waganga njaa wa lumumba bhana kazi kweli kwelicuf ni wajinga duniani pamoja na wafuasi wao kujiunga na chama cha wajinga wenzao chadema
TATIZO Lenu Ni MAZOEA Ya KUKARIRISHWA, Tokea Shule Ya Msingi Hadi Vyuoni!!! MATOKEO Yake Ndio Haya Sasa, Kila Kitu Ni KUKARIRI Tu!!!! HAYA Ww Tuambie Ni Chama Gani Ambacho Mara Tu Baada Ya UCHAGUZI Mkuu Kuisha, Wameendesha Hizo OPERATIONS Zako, Toa Mf. Walau Wa Chama Kimoja Tu Basi!!! ALAFU Hiyo NIDHAMU Mbovu Ndani Ya CHADEMA, Ww Unaipima Kwa Kigezo Kipi, Au Kukosekana Kwa Huyo Dkt Slaa Wenu Aliyemkiri Vichwani Mwenu, Kumekiathiri Nini Chama!!!?? MLIMNUNUA Na KUMTUMIA, Mkashindwa Kupata Matokeo Kulingana Pesa Miliyoitumia!!! SASA Mnajaribu KUTAKA Kujenga Zengwe Ndani Ya CHADEMA, Kuwa Kuonyesha Eti Kuna Ombwe La Uongozi Na Hali Ni Mbaya!!! MISUKULE Mmekaa Kusubiri Tu UNGA Maisha Yasonge!! ILA Watanzania Wanafahamu, Kama Serikali Ya CCM Ndio Inayojaribu Kuvuruga Vyama Pinzani, Mara Baada Ya Kutangaza Kuwa UCHAGUZI UMEKWISHA, Sasa Hivi Hakuna Ruksa Kwa Chama Chochote Cha UPINZANI Kufanya Mikutano Ya Hadhara Au Mikusanyiko Yoyote Na Pahala POPOTE Na JESHI La POLISI Wamepewa MAAGIZO Na KUHAKIKISHA Wanatekeleza!!!! SIJUI Kama Hilo Nalo Linahitaji Digirii Ya Chuo Kikuu Ambayo Imepatikana Kwa Kukariri Na Wizi Wa MITIHANI, Ili KUJUA Kuwa Serikali Ya CCM Imezuia Operations Na Mikutano Yote Ya Vyama Vya UPINZANI!!! ISIPOKUWA Wao Tu Wenye MAMLAKA Ya Kufanya Hivyo!!! SASA KUANDIKA HOJA Za KICHOKO Humu Kwa WATU MAKINI, Ni UCHOKO PIA!!!Uhai na uimara wa chama cha siasa ni ofisi ya katibu mkuu. CCM ya Y.Makamba ni tofauti Sana na ya Kinana. Mbowe alishindwa kuelewa umuhimu wa Dr Slaa kama GS wa chama,alifikiri CDM ni kama danguro,linajiendea tu. Dr Slaa alikuwa ndo CDM,think tank ya chama,msimamizi wa shughuli na nidhamu ya chama. Leo hii hakuna nidhamu,kila mtu boss,hakuna ratiba ya vikao,mpango kazi,hakuna operesheni yoyote iliyobuniwa. Enzi ya Dr Slaa ilikuwa patashika....