simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,694
- 9,580
mtoa hoja ana sifa jukwaani -ni mpuuzi wa kutupa. Si ajabu kujibiwa hovyo.Ndio majibu ya bavicha siku zote wanamshambulia mtoa hoja badala ya kujibu hoja

Mkuu vp jk hajakutambulisha kwa jpm upewe hata U dc?Wadau, amani iwe kwenu.
Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ni umoja ulioasisiwa na vyama vinne wakati wa Bunge Maalum la Katiba. Vyama hivyo ni CHADEMA, CUF, NCCR Mageuzi na NLD. Baadaye vyama hivi viliwekeana makubaliano ya kushirikiana kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015 ambapo walikubaliana kusimamisha mgombea mmoja kuanzia nafasi ya Urais hadi Udiwani.
Hata hivyo, figisu figisu zilianza wakati wa uteuzi wa wagombea. Kwa upande wa wagombea Udiwani, vyama hivyo vilishindwa kuafikiana kusimamisha mgombea mmoja kwenye kata nyingi. Mwisho wa siku wakajikuta vyama vyote vinasimamisha wagombea hali ambayo ilichangia anguko lao. Hali hiyo pia iliendelea kwenye nafasi ya Ubunge. Majimbo kadhaa walishindwa kuafikiana. Mfano wa majimbo hayo ni Segerea ambapo CHADEMA na CUF walisimamisha wagombea. Hata hivyo, kura walizopata wagombea hao wawili zilizidi kura ambazo alipata mgombea wa CCM ambaye alitangazwa mshindi. Kule Masasi, Mwenyekiti wa NLD, Emmanuel Makaidi, Mungu amrehemu, alishindwa kupewa hadhi yake ambapo CUF pia walisimamisha mgombea. Maskini ya Rabbi, mzee Makaidi akapata kiharusi na shinikizo la damu na kupelekea kifo chake. Baada ya uchaguzi mdogo, UKAWA wakaangukia pua tena.
Kwa upande wa mgombea Urais, hapo ndipo majanga na kifo cha UKAWA kilipoanzia. Vyama vyote vilikubaliana kuteua mgombea Urais. Baada ya hapo, wagombea hao walipaswa kushindanishwa ili kumpata mgombea mmoja. Waliopaswa kuwa Wagombea Urais wa vyama vya CHADEMA, NCCR na CUF ambao ni Dr Slaa, Dr Kahangwa na Prof Lipumba wakafanya kikao cha falagha ambapo walikubaliana kumuachia mmojawapo kwenye nafasi hiyo. Taarifa za awali zilidai kuwa ni Dr Slaa ndiye aliyependekezwa na wenzake.
Hata hivyo, uroho, tamaa na ulafi wa Freeman Mbowe ulisababisha makubaliano hayo yavunjike. Baada ya kununuliwa kwa shilingi bilioni 10 na Fisadi Lowasa, hatimaye kwa nguvu CHADEMA wakamteua Lowasa kuwa mgombea Urais ambaye pia aliwakilisha UKAWA. Ni kutokana na maamuzi hayo ya kilafi ndipo Lipumba na Dr Slaa walipoamua kubwaga manyanga.
Uchaguzi Mkuu umefanyika na UKAWA wameangukia pua tofauti na matarajio yao ingawa wanajinasibu kuwa wameongeza idadi ya wabunge na madiwani. Wamesahau kuwa lengo la vyama vya siasa ni kushika dola.
Ni zaidi ya miezi minne sasa tangu vikao vya kawaida vya UKAWA vifanyike licha ya mambo mengi kutokea ambayo yangelazimu kufanyika kwa vikao hivyo. Hata baada ya Uchaguzi, hawajafanya vikao vya Tathmini kubaini wapi waliteleza na nini kifanyike. Badala yake tunasikia fisadi Lowasa anatangaza kugombea tena 2020 as if yeye ndo CHADEMA na yeye ndo UKAWA. Hata jitihada za kisiasa kule visiwani wameachiwa CUF pekee na hakuna kikao hata kimoja cha UKAWA kimefanyika kujadili nini cha kufanya. Badala yake tumeshuhudia maamuzi yakifanywa na CUF pekee ingawa awali walituaminisha kuwa Maalim Seif anawakilisha UKAWA kwa upande wa Zanzibar. Vyama vya NLD na NCCR tayari vimejitoa kwenye umoja huo baada ya kukosa mawasiliano na vyama vingine.
James Mbatia ameshaandika barua rasmi ya kujitoa kwenye umoja huo. Maalim Seif naye ameshamueleza Lowasa kuwa haoni faida ya kujiita mwana UKAWA ilhali umoja huo haupo Zanzibar. Kwa hali hiyo, Maalim Seif amewaambia CHADEMA kuwa WALIPO SASA NI SAWA NA WALIPOKUWA KABLA YA BUNGE MAALUM LA KATIBA. Tafsiri ya kauli hii ya Maalim ni kwamba hakuna cha UKAWA tena.
Ilishatabiriwa kuwa UKAWA itakufa kifo cha mende. Ndivyo ilivyotokea. Kifo cha UKAWA kimekosa kilio.
Bila siasa safi na upinzani imara inakuwa ngumu...japo angalau JPM ameonyesha njia tumuunge mkono.Wananchi Tunataka Unafuu Wa Bei Katika Sukari, Mchele Maharage,vifaa Vya Ujenzi Na Pembejeo Za Kilimo. Sio Hizo Sifa Zenu Za Kijinga Eti Mnatumbua Vipele Huku Mkiacha Kutumbua Majipu Ambayo Mna maslahi Nayo.
Naona unataka kukumbukwa kama alivyosema jk.....!!!Wadau, amani iwe kwenu.
Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ni umoja ulioasisiwa na vyama vinne wakati wa Bunge Maalum la Katiba. Vyama hivyo ni CHADEMA, CUF, NCCR Mageuzi na NLD. Baadaye vyama hivi viliwekeana makubaliano ya kushirikiana kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015 ambapo walikubaliana kusimamisha mgombea mmoja kuanzia nafasi ya Urais hadi Udiwani.
Hata hivyo, figisu figisu zilianza wakati wa uteuzi wa wagombea. Kwa upande wa wagombea Udiwani, vyama hivyo vilishindwa kuafikiana kusimamisha mgombea mmoja kwenye kata nyingi. Mwisho wa siku wakajikuta vyama vyote vinasimamisha wagombea hali ambayo ilichangia anguko lao. Hali hiyo pia iliendelea kwenye nafasi ya Ubunge. Majimbo kadhaa walishindwa kuafikiana. Mfano wa majimbo hayo ni Segerea ambapo CHADEMA na CUF walisimamisha wagombea. Hata hivyo, kura walizopata wagombea hao wawili zilizidi kura ambazo alipata mgombea wa CCM ambaye alitangazwa mshindi. Kule Masasi, Mwenyekiti wa NLD, Emmanuel Makaidi, Mungu amrehemu, alishindwa kupewa hadhi yake ambapo CUF pia walisimamisha mgombea. Maskini ya Rabbi, mzee Makaidi akapata kiharusi na shinikizo la damu na kupelekea kifo chake. Baada ya uchaguzi mdogo, UKAWA wakaangukia pua tena.
Kwa upande wa mgombea Urais, hapo ndipo majanga na kifo cha UKAWA kilipoanzia. Vyama vyote vilikubaliana kuteua mgombea Urais. Baada ya hapo, wagombea hao walipaswa kushindanishwa ili kumpata mgombea mmoja. Waliopaswa kuwa Wagombea Urais wa vyama vya CHADEMA, NCCR na CUF ambao ni Dr Slaa, Dr Kahangwa na Prof Lipumba wakafanya kikao cha falagha ambapo walikubaliana kumuachia mmojawapo kwenye nafasi hiyo. Taarifa za awali zilidai kuwa ni Dr Slaa ndiye aliyependekezwa na wenzake.
Hata hivyo, uroho, tamaa na ulafi wa Freeman Mbowe ulisababisha makubaliano hayo yavunjike. Baada ya kununuliwa kwa shilingi bilioni 10 na Fisadi Lowasa, hatimaye kwa nguvu CHADEMA wakamteua Lowasa kuwa mgombea Urais ambaye pia aliwakilisha UKAWA. Ni kutokana na maamuzi hayo ya kilafi ndipo Lipumba na Dr Slaa walipoamua kubwaga manyanga.
Uchaguzi Mkuu umefanyika na UKAWA wameangukia pua tofauti na matarajio yao ingawa wanajinasibu kuwa wameongeza idadi ya wabunge na madiwani. Wamesahau kuwa lengo la vyama vya siasa ni kushika dola.
Ni zaidi ya miezi minne sasa tangu vikao vya kawaida vya UKAWA vifanyike licha ya mambo mengi kutokea ambayo yangelazimu kufanyika kwa vikao hivyo. Hata baada ya Uchaguzi, hawajafanya vikao vya Tathmini kubaini wapi waliteleza na nini kifanyike. Badala yake tunasikia fisadi Lowasa anatangaza kugombea tena 2020 as if yeye ndo CHADEMA na yeye ndo UKAWA. Hata jitihada za kisiasa kule visiwani wameachiwa CUF pekee na hakuna kikao hata kimoja cha UKAWA kimefanyika kujadili nini cha kufanya. Badala yake tumeshuhudia maamuzi yakifanywa na CUF pekee ingawa awali walituaminisha kuwa Maalim Seif anawakilisha UKAWA kwa upande wa Zanzibar. Vyama vya NLD na NCCR tayari vimejitoa kwenye umoja huo baada ya kukosa mawasiliano na vyama vingine.
James Mbatia ameshaandika barua rasmi ya kujitoa kwenye umoja huo. Maalim Seif naye ameshamueleza Lowasa kuwa haoni faida ya kujiita mwana UKAWA ilhali umoja huo haupo Zanzibar. Kwa hali hiyo, Maalim Seif amewaambia CHADEMA kuwa WALIPO SASA NI SAWA NA WALIPOKUWA KABLA YA BUNGE MAALUM LA KATIBA. Tafsiri ya kauli hii ya Maalim ni kwamba hakuna cha UKAWA tena.
Ilishatabiriwa kuwa UKAWA itakufa kifo cha mende. Ndivyo ilivyotokea. Kifo cha UKAWA kimekosa kilio.
Hakuna laana kubwa kama kula rambirambi. Laana hiyo ndiyo inamtafuna huyu mtoa mada. Huna afya ya akili wewe.
Bila majipu kutumbuliwa unadhani hiyo nafuu iyapatikanaje? Fanyeni kazi, zalisheni kwa bidii kupubguza mfunuko Wa beiWananchi Tunataka Unafuu Wa Bei Katika Sukari, Mchele Maharage,vifaa Vya Ujenzi Na Pembejeo Za Kilimo. Sio Hizo Sifa Zenu Za Kijinga Eti Mnatumbua Vipele Huku Mkiacha Kutumbua Majipu Ambayo Mna maslahi Nayo.
mimi namwaminia LIZABONI akitoa mada inakuwa sahihi 100%Wadau, amani iwe kwenu.
Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ni umoja ulioasisiwa na vyama vinne wakati wa Bunge Maalum la Katiba. Vyama hivyo ni CHADEMA, CUF, NCCR Mageuzi na NLD. Baadaye vyama hivi viliwekeana makubaliano ya kushirikiana kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015 ambapo walikubaliana kusimamisha mgombea mmoja kuanzia nafasi ya Urais hadi Udiwani.
Hata hivyo, figisu figisu zilianza wakati wa uteuzi wa wagombea. Kwa upande wa wagombea Udiwani, vyama hivyo vilishindwa kuafikiana kusimamisha mgombea mmoja kwenye kata nyingi. Mwisho wa siku wakajikuta vyama vyote vinasimamisha wagombea hali ambayo ilichangia anguko lao. Hali hiyo pia iliendelea kwenye nafasi ya Ubunge. Majimbo kadhaa walishindwa kuafikiana. Mfano wa majimbo hayo ni Segerea ambapo CHADEMA na CUF walisimamisha wagombea. Hata hivyo, kura walizopata wagombea hao wawili zilizidi kura ambazo alipata mgombea wa CCM ambaye alitangazwa mshindi. Kule Masasi, Mwenyekiti wa NLD, Emmanuel Makaidi, Mungu amrehemu, alishindwa kupewa hadhi yake ambapo CUF pia walisimamisha mgombea. Maskini ya Rabbi, mzee Makaidi akapata kiharusi na shinikizo la damu na kupelekea kifo chake. Baada ya uchaguzi mdogo, UKAWA wakaangukia pua tena.
Kwa upande wa mgombea Urais, hapo ndipo majanga na kifo cha UKAWA kilipoanzia. Vyama vyote vilikubaliana kuteua mgombea Urais. Baada ya hapo, wagombea hao walipaswa kushindanishwa ili kumpata mgombea mmoja. Waliopaswa kuwa Wagombea Urais wa vyama vya CHADEMA, NCCR na CUF ambao ni Dr Slaa, Dr Kahangwa na Prof Lipumba wakafanya kikao cha falagha ambapo walikubaliana kumuachia mmojawapo kwenye nafasi hiyo. Taarifa za awali zilidai kuwa ni Dr Slaa ndiye aliyependekezwa na wenzake.
Hata hivyo, uroho, tamaa na ulafi wa Freeman Mbowe ulisababisha makubaliano hayo yavunjike. Baada ya kununuliwa kwa shilingi bilioni 10 na Fisadi Lowasa, hatimaye kwa nguvu CHADEMA wakamteua Lowasa kuwa mgombea Urais ambaye pia aliwakilisha UKAWA. Ni kutokana na maamuzi hayo ya kilafi ndipo Lipumba na Dr Slaa walipoamua kubwaga manyanga.
Uchaguzi Mkuu umefanyika na UKAWA wameangukia pua tofauti na matarajio yao ingawa wanajinasibu kuwa wameongeza idadi ya wabunge na madiwani. Wamesahau kuwa lengo la vyama vya siasa ni kushika dola.
Ni zaidi ya miezi minne sasa tangu vikao vya kawaida vya UKAWA vifanyike licha ya mambo mengi kutokea ambayo yangelazimu kufanyika kwa vikao hivyo. Hata baada ya Uchaguzi, hawajafanya vikao vya Tathmini kubaini wapi waliteleza na nini kifanyike. Badala yake tunasikia fisadi Lowasa anatangaza kugombea tena 2020 as if yeye ndo CHADEMA na yeye ndo UKAWA. Hata jitihada za kisiasa kule visiwani wameachiwa CUF pekee na hakuna kikao hata kimoja cha UKAWA kimefanyika kujadili nini cha kufanya. Badala yake tumeshuhudia maamuzi yakifanywa na CUF pekee ingawa awali walituaminisha kuwa Maalim Seif anawakilisha UKAWA kwa upande wa Zanzibar. Vyama vya NLD na NCCR tayari vimejitoa kwenye umoja huo baada ya kukosa mawasiliano na vyama vingine.
James Mbatia ameshaandika barua rasmi ya kujitoa kwenye umoja huo. Maalim Seif naye ameshamueleza Lowasa kuwa haoni faida ya kujiita mwana UKAWA ilhali umoja huo haupo Zanzibar. Kwa hali hiyo, Maalim Seif amewaambia CHADEMA kuwa WALIPO SASA NI SAWA NA WALIPOKUWA KABLA YA BUNGE MAALUM LA KATIBA. Tafsiri ya kauli hii ya Maalim ni kwamba hakuna cha UKAWA tena.
Ilishatabiriwa kuwa UKAWA itakufa kifo cha mende. Ndivyo ilivyotokea. Kifo cha UKAWA kimekosa kilio.
Kama bi hivyo ni faraja kwa CCM. Inabidi musherehekee ushindi kama UKAWA imeparaganyika. Hivyo naamini Lizabon kama uyasemayo ni kweli, utakua umefurahi sanaNakubaliana na wewe Mkuu. Mbowe kaua UKAWA kwa tamaa zake
Mkuu vya kurithi vinazidi, uongo karithi toka kwa chama Na serikali yake, alipwa kwa kazi hii ya uongo, bila uongo hawezi kuendesha familia yake, mvutie pumzi tuYaan lizaboni ni muongo kuliko mtu yeyote duniani nakumbuka kabla ya uchaguzi alileta u
Zi hapa kuwa UKAWA imekufa rasmi...leo tena baada ya uchaguzi tena analeta uzi UKAWA imekufa binafsi nashindwa kumuelewa ulisema imekufa kipindi kabla ya uchaguz hii ya leo ni ipi ? au unataka upate buku saba tu ?? Haya nenda Nape akupe....
Yaan sijui anasema uongo kwa faida ya nan ?? Huyu jamaa ni muongo halafu anasahau ....Mkuu vya kurithi vinazidi, uongo karithi toka kwa chama Na serikali yake, alipwa kwa kazi hii ya uongo, bila uongo hawezi kuendesha familia yake, mvutie pumzi tu
Umeandika uzi wako kama mtu mwenye utapiamlo. Yaani umekaa kimajungu majungu. Endelea na ccm yako. Nyie si mnatetea uozo Kila kukicha. Wakati mkwere yupo madarakani mlikua mnasema ccm imefanya mambo mengi. Kaingia magufuli mnasema ccm iliharibu magu kaja kutengenezaWadau, amani iwe kwenu.
Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ni umoja ulioasisiwa na vyama vinne wakati wa Bunge Maalum la Katiba. Vyama hivyo ni CHADEMA, CUF, NCCR Mageuzi na NLD. Baadaye vyama hivi viliwekeana makubaliano ya kushirikiana kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015 ambapo walikubaliana kusimamisha mgombea mmoja kuanzia nafasi ya Urais hadi Udiwani.
Hata hivyo, figisu figisu zilianza wakati wa uteuzi wa wagombea. Kwa upande wa wagombea Udiwani, vyama hivyo vilishindwa kuafikiana kusimamisha mgombea mmoja kwenye kata nyingi. Mwisho wa siku wakajikuta vyama vyote vinasimamisha wagombea hali ambayo ilichangia anguko lao. Hali hiyo pia iliendelea kwenye nafasi ya Ubunge. Majimbo kadhaa walishindwa kuafikiana. Mfano wa majimbo hayo ni Segerea ambapo CHADEMA na CUF walisimamisha wagombea. Hata hivyo, kura walizopata wagombea hao wawili zilizidi kura ambazo alipata mgombea wa CCM ambaye alitangazwa mshindi. Kule Masasi, Mwenyekiti wa NLD, Emmanuel Makaidi, Mungu amrehemu, alishindwa kupewa hadhi yake ambapo CUF pia walisimamisha mgombea. Maskini ya Rabbi, mzee Makaidi akapata kiharusi na shinikizo la damu na kupelekea kifo chake. Baada ya uchaguzi mdogo, UKAWA wakaangukia pua tena.
Kwa upande wa mgombea Urais, hapo ndipo majanga na kifo cha UKAWA kilipoanzia. Vyama vyote vilikubaliana kuteua mgombea Urais. Baada ya hapo, wagombea hao walipaswa kushindanishwa ili kumpata mgombea mmoja. Waliopaswa kuwa Wagombea Urais wa vyama vya CHADEMA, NCCR na CUF ambao ni Dr Slaa, Dr Kahangwa na Prof Lipumba wakafanya kikao cha falagha ambapo walikubaliana kumuachia mmojawapo kwenye nafasi hiyo. Taarifa za awali zilidai kuwa ni Dr Slaa ndiye aliyependekezwa na wenzake.
Hata hivyo, uroho, tamaa na ulafi wa Freeman Mbowe ulisababisha makubaliano hayo yavunjike. Baada ya kununuliwa kwa shilingi bilioni 10 na Fisadi Lowasa, hatimaye kwa nguvu CHADEMA wakamteua Lowasa kuwa mgombea Urais ambaye pia aliwakilisha UKAWA. Ni kutokana na maamuzi hayo ya kilafi ndipo Lipumba na Dr Slaa walipoamua kubwaga manyanga.
Uchaguzi Mkuu umefanyika na UKAWA wameangukia pua tofauti na matarajio yao ingawa wanajinasibu kuwa wameongeza idadi ya wabunge na madiwani. Wamesahau kuwa lengo la vyama vya siasa ni kushika dola.
Ni zaidi ya miezi minne sasa tangu vikao vya kawaida vya UKAWA vifanyike licha ya mambo mengi kutokea ambayo yangelazimu kufanyika kwa vikao hivyo. Hata baada ya Uchaguzi, hawajafanya vikao vya Tathmini kubaini wapi waliteleza na nini kifanyike. Badala yake tunasikia fisadi Lowasa anatangaza kugombea tena 2020 as if yeye ndo CHADEMA na yeye ndo UKAWA. Hata jitihada za kisiasa kule visiwani wameachiwa CUF pekee na hakuna kikao hata kimoja cha UKAWA kimefanyika kujadili nini cha kufanya. Badala yake tumeshuhudia maamuzi yakifanywa na CUF pekee ingawa awali walituaminisha kuwa Maalim Seif anawakilisha UKAWA kwa upande wa Zanzibar. Vyama vya NLD na NCCR tayari vimejitoa kwenye umoja huo baada ya kukosa mawasiliano na vyama vingine.
James Mbatia ameshaandika barua rasmi ya kujitoa kwenye umoja huo. Maalim Seif naye ameshamueleza Lowasa kuwa haoni faida ya kujiita mwana UKAWA ilhali umoja huo haupo Zanzibar. Kwa hali hiyo, Maalim Seif amewaambia CHADEMA kuwa WALIPO SASA NI SAWA NA WALIPOKUWA KABLA YA BUNGE MAALUM LA KATIBA. Tafsiri ya kauli hii ya Maalim ni kwamba hakuna cha UKAWA tena.
Ilishatabiriwa kuwa UKAWA itakufa kifo cha mende. Ndivyo ilivyotokea. Kifo cha UKAWA kimekosa kilio.
Umetoka milembe lini? Alokwambia ukawa ni chama nani? Yaani mtu mzima unakubali kugandishw akili zako?Kwa ujumla mimi nimeshakataa kwamba UPAWA sio chama kwasababu;
¤Hawana office.
¤Hawana kiongozi mkuu.
¤Hawana msemaji mkuu.
¤Hawana stratejia za aina moja.
¤CUF muonekano na mtazamo wa kiislam na ukanda wa pwani na visiwani,
¤While CHADEMA mtazamo wa kikristo na ukanda wa kaskakazi na rafiki yake ni CDU
NB:Nukta mbili hapo juu not only ITIKADI point of view but also Wapemba na Wachaga wote ni majolowe kwenye kitu kinachoitwa pesa.
nawasilisha.
Sasa ukimjibu hovyo huyo unaemwita mpuuzi watu watashindwa kuwatofautishamtoa hoja ana sifa jukwaani -ni mpuuzi wa kutupa. Si ajabu kujibiwa hovyo.
Kwa faida ya chama chake Na sasa hivi anakidhi vigezo vyote chamani na nasikia anaweza kuwa mkuu wa mkoa kanda ya ziwa siku za usoni,Yaan sijui anasema uongo kwa faida ya nan ?? Huyu jamaa ni muongo halafu anasahau ....
ipo siku Mungu atakushangaaCCM ni Mpango wa Mungu na Magufuli ni mpango wa Mungu. UKAWA wamekuwa kama wajenzi wa Mnara wa Babeli