UKAWA Wanatumiwa Kuleta Machafuko

Mwenyekiti wa Tanzania Kwanza ambao ni umoja wa muungano wa vyama saba vya siasa ikiwamo CCM katika bunge maalum la katiba Ndugu.Agustino Matefu amesema leo kuwa UKAWA inatumiwa ili kuleta machafuko na kuvuruga amani ya nchi.

Mwenyekiti huyo ameeleza hayo katika mohojiano kama mgeni katika kituo cha matangazo cha UHURU Fm.Matefu amesema kuwa nchi za uholanzi na Omani zimekuwa zikitumika kufadhili shughuli mbalimbali za UKAWA kwa kutoka pesa ambazo zimekuwa zukiingizwa katika akaunti binafsi za viongozi wa umoja huo.

Amesema kuwa Mbowe na Slaa mpaka sasa kupitia akaunti zao binafsi wameshapokea kiasi cha Sh.1,700,000(Awamu ya kwanza) huku awamu ya pili na tatu jumla ikiwa ni Dola 850,000/=kutoka Uholanzi.Wakati kwa upande wa CUF Prof.Ibrahim Lipumba kupitia akaunti yake binafsi amepokea kiasi cha dola 400,000/=kutoka Oman.

Ndugu Matefu ameeleza kuwa viongozi wa UKAWA wanatumika kama kijiko kwa manufaa ya watu wengine nje ya nchi kutaka kutuvuruga. Amesema kuwa Umoja huo hauna lengo zuri na nchi hii ndiyo maana pamoja na vikao vyote vyama usuluhishi bado wameendelea kuwa wagumu hawataki kumsikiliza yeyote.

Awali kabla ya hapo Ndugu Matefu kupitia umoja huyo alishazungumza na waandishi wa habari kuwaagiza Viongozi wa UKAWA ndani ya siku Saba wewe wamerudi Bungeni vinginevyo atamwaga Siri nzito zilizojificha nyuma ya Muungani humo.

Tanzania Kwanza ukiwa ni muungano wa vyama saba vya siasa katika Bunge la Katiba unajitambulisha kuwa ni umoja unaotetea maslahi ya nchi,kujali utaifa na kuangalia kwanza masuala muhimu ya kitaifa bila kujali tofauti zao kichama,kisera,kimtazamo na kiitikadi.

Na wewe ndo umepoteza muda wako kuandika mambo ya Redio UHURU? Eti sh 1.7m ndo zilete vurugu wakati zile 200b za Escrow mlizokwapua hazijaleta vurugu! Stupidity at its highest level!
 
Inchi hii shida tupu! Wagonjwa wa akili wana zidi kuongezeka.... Bangi mbaya sana hii inanikumbusha jamaaa mmoja baada ya kukoleza bangi akawasha taa ya mafuta mchana jua linawaka akaanza kusema washikaji! washikaji ! washikaji mbona mnatembea bila taa wakati usiku wagiza nene hivi?
 
Huu ni ujinga kabisa hakuna nchi ambayo inaweza kutetea hii rasimu ya Warioba kwani kwa jinsi ilivyo itawanyima fursa ya kuendelea kutuibia kwa hiyo Chama ambacho kinaweza kufadhiriwa na kinafadhiriwa ili kuvuruga mchakato huu ni CCM kwani wanapingana na maoni ya wananchi ambayo kiuhalisia ni kikwazo kwa wezi wa rasilimali zetu.

Oman inataka kurudisha utawala wake visiwani, na wanaoshighulikia mambo hayo na wale wazanzibari waliotukimbia miaka ya 70s , Uholanzi ni uongozi wa shell na mashirika ya oil n gas
 
Jamani mnisaidie pengine mi macho yangu. Awamu ya kwanza wametoa sh 1,700,000......Uholanzi watoe mil moja na laki saba..........mbona kama vihela kiduchu sana.......huu uongo haukupangwa vizuri.
haa haa mkuu magamba yameshikwa pabaya!
 
hua sipendi sana mtu mzima tena kiongozi anapopata nafasi ya kuongea kwenye vyombo vya habari alafu anaropoka upuuzi usio na kichwa wala miguu. hii ni kuwadharau wananchi.
 
Ungetuwekea ushahidi wa hizo transaction tungeamini lakini maneno matupu ni BURE, kuingiziwa Millioni moja na laki saba ndizo zisaidie kuvuruga Katiba!!!Lete Data kamili unaweza ukatushawishi. Harafu serikali iko wapi? Polisi wako wapi? Usalama wa Taifa wako wapi? DHAIFU!!!

Mkuu hapo ni makosa ya kiuchapaji Sahihi ni Tsh.bilioni moja na million mia saba(1.7 Billion)
 
Jamani mnisaidie pengine mi macho yangu. Awamu ya kwanza wametoa sh 1,700,000......Uholanzi watoe mil moja na laki saba..........mbona kama vihela kiduchu sana.......huu uongo haukupangwa vizuri.

Mkuu SIFONGO

Hayo Ni makosa ya kiuchapaji SAHIHI ni Tsh.Bilioni moja na milioni mia saba(1.7Billion)
 
Hua sickilizi Uhuru redio wala kusoma gazeti maana kuna hadisi ambazo hata kichaa hawezi kuzungumza
 
The sad truth is that there are mediocre ccm members who truly believe that anyone who is opposed to them is a traitor, and deserves to have an encounter with Kamuhanda.

Kwa lugha ya miaka ya themanini, hawa wenzetu wana mawazo ya kukanyagwa.
 
Ccm wanachekesha!! Waliwahi kusema Cdm imeleta Al-shaabab! Kisha Cuf imeleta visu !! Leo wanauongo mpya wa fedha. Wao ndio wana serikali kwanini wasizizuie hizo fedha kama kweli ni haramu
 
ccm ndiyo shetani namba moja hapa Tanzania, UKAWA Mungu awabariki sana sana kwa kututetea Watanzania.
 
Mwenyekiti wa Tanzania Kwanza ambao ni umoja wa muungano wa vyama saba vya siasa ikiwamo CCM katika bunge maalum la katiba Ndugu.Agustino Matefu amesema leo kuwa UKAWA inatumiwa ili kuleta machafuko na kuvuruga amani ya nchi.

Mwenyekiti huyo ameeleza hayo katika mohojiano kama mgeni katika kituo cha matangazo cha UHURU Fm.Matefu amesema kuwa nchi za uholanzi na Omani zimekuwa zikitumika kufadhili shughuli mbalimbali za UKAWA kwa kutoka pesa ambazo zimekuwa zukiingizwa katika akaunti binafsi za viongozi wa umoja huo.

Amesema kuwa Mbowe na Slaa mpaka sasa kupitia akaunti zao binafsi wameshapokea kiasi cha Sh.1,700,000(Awamu ya kwanza) huku awamu ya pili na tatu jumla ikiwa ni Dola 850,000/=kutoka Uholanzi.Wakati kwa upande wa CUF Prof.Ibrahim Lipumba kupitia akaunti yake binafsi amepokea kiasi cha dola 400,000/=kutoka Oman.

Ndugu Matefu ameeleza kuwa viongozi wa UKAWA wanatumika kama kijiko kwa manufaa ya watu wengine nje ya nchi kutaka kutuvuruga. Amesema kuwa Umoja huo hauna lengo zuri na nchi hii ndiyo maana pamoja na vikao vyote vyama usuluhishi bado wameendelea kuwa wagumu hawataki kumsikiliza yeyote.

Awali kabla ya hapo Ndugu Matefu kupitia umoja huyo alishazungumza na waandishi wa habari kuwaagiza Viongozi wa UKAWA ndani ya siku Saba wewe wamerudi Bungeni vinginevyo atamwaga Siri nzito zilizojificha nyuma ya Muungani humo.

Tanzania Kwanza ukiwa ni muungano wa vyama saba vya siasa katika Bunge la Katiba unajitambulisha kuwa ni umoja unaotetea maslahi ya nchi,kujali utaifa na kuangalia kwanza masuala muhimu ya kitaifa bila kujali tofauti zao kichama,kisera,kimtazamo na kiitikadi.
wewe ni devil worshiper na ccm ndiyo devil mwenyewe, ccm tumewachoka na hatuwataki, mna tengeneza katiba ya mashetani ambayo haina uwajibikaji wala maadili kila Mtanzania anawalaani.
 
Mwenyekiti wa
Tanzania Kwanza ambao ni umoja wa muungano wa vyama saba vya siasa
ikiwamo CCM katika bunge maalum la katiba Ndugu.Agustino Matefu amesema
leo kuwa UKAWA inatumiwa ili kuleta machafuko na kuvuruga amani ya nchi.

Mwenyekiti huyo ameeleza hayo katika mohojiano kama mgeni katika kituo
cha matangazo cha UHURU Fm.Matefu amesema kuwa nchi za uholanzi na Omani
zimekuwa zikitumika kufadhili shughuli mbalimbali za UKAWA kwa kutoka
pesa ambazo zimekuwa zukiingizwa katika akaunti binafsi za viongozi wa
umoja huo.

Amesema kuwa Mbowe na Slaa mpaka sasa kupitia akaunti zao binafsi
wameshapokea kiasi cha Sh.1,700,000(Awamu ya kwanza) huku awamu ya pili
na tatu jumla ikiwa ni Dola 850,000/=kutoka Uholanzi.Wakati kwa upande
wa CUF Prof.Ibrahim Lipumba kupitia akaunti yake binafsi amepokea kiasi
cha dola 400,000/=kutoka Oman.

Ndugu Matefu ameeleza kuwa viongozi wa UKAWA wanatumika kama kijiko kwa
manufaa ya watu wengine nje ya nchi kutaka kutuvuruga. Amesema kuwa
Umoja huo hauna lengo zuri na nchi hii ndiyo maana pamoja na vikao vyote
vyama usuluhishi bado wameendelea kuwa wagumu hawataki kumsikiliza
yeyote.

Awali kabla ya hapo Ndugu Matefu kupitia umoja huyo alishazungumza na
waandishi wa habari kuwaagiza Viongozi wa UKAWA ndani ya siku Saba wewe
wamerudi Bungeni vinginevyo atamwaga Siri nzito zilizojificha nyuma ya
Muungani humo.

Tanzania Kwanza ukiwa ni muungano wa vyama saba vya siasa katika Bunge
la Katiba unajitambulisha kuwa ni umoja unaotetea maslahi ya
nchi,kujali utaifa na kuangalia kwanza masuala muhimu ya kitaifa bila
kujali tofauti zao kichama,kisera,kimtazamo na kiitikadi.

ukawa nyambafu
 
Mwenyekiti wa Tanzania Kwanza ambao ni umoja wa muungano wa vyama saba vya siasa ikiwamo CCM katika bunge maalum la katiba Ndugu.Agustino Matefu amesema leo kuwa UKAWA inatumiwa ili kuleta machafuko na kuvuruga amani ya nchi.

Mwenyekiti huyo ameeleza hayo katika mohojiano kama mgeni katika kituo cha matangazo cha UHURU Fm.Matefu amesema kuwa nchi za uholanzi na Omani zimekuwa zikitumika kufadhili shughuli mbalimbali za UKAWA kwa kutoka pesa ambazo zimekuwa zukiingizwa katika akaunti binafsi za viongozi wa umoja huo.

Amesema kuwa Mbowe na Slaa mpaka sasa kupitia akaunti zao binafsi wameshapokea kiasi cha Sh.1,700,000(Awamu ya kwanza) huku awamu ya pili na tatu jumla ikiwa ni Dola 850,000/=kutoka Uholanzi.Wakati kwa upande wa CUF Prof.Ibrahim Lipumba kupitia akaunti yake binafsi amepokea kiasi cha dola 400,000/=kutoka Oman.

Ndugu Matefu ameeleza kuwa viongozi wa UKAWA wanatumika kama kijiko kwa manufaa ya watu wengine nje ya nchi kutaka kutuvuruga. Amesema kuwa Umoja huo hauna lengo zuri na nchi hii ndiyo maana pamoja na vikao vyote vyama usuluhishi bado wameendelea kuwa wagumu hawataki kumsikiliza yeyote.

Awali kabla ya hapo Ndugu Matefu kupitia umoja huyo alishazungumza na waandishi wa habari kuwaagiza Viongozi wa UKAWA ndani ya siku Saba wewe wamerudi Bungeni vinginevyo atamwaga Siri nzito zilizojificha nyuma ya Muungani humo.

Tanzania Kwanza ukiwa ni muungano wa vyama saba vya siasa katika Bunge la Katiba unajitambulisha kuwa ni umoja unaotetea maslahi ya nchi,kujali utaifa na kuangalia kwanza masuala muhimu ya kitaifa bila kujali tofauti zao kichama,kisera,kimtazamo na kiitikadi.

Comedian @work
 
Hii Habari mbona haiingii akilini hata kidogo..Zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM kama ndio hizi
 
Back
Top Bottom