haina shida. wewe mtukane humu utamjua ni nani!Jamani mm simfahamu Rais Magufuli mwenye picha yake aweke hapa plzz![]()
haina shida. wewe mtukane humu utamjua ni nani!Jamani mm simfahamu Rais Magufuli mwenye picha yake aweke hapa plzz![]()
Kwanini neno "DICTATOR" likitumika mnadhani ni RRahisi Magufuli amazingly mziwa?
Mimi nadhani mwizi ndio anahofu akisikia police wameanza operation maalumu ya kukamata wezi na wewe ambaye sio mwizi huwezi kuwa na wasiwasi.
Mimi nawashauri wote mnaokerwa na neno "DICTATOR" mnyamaze au kama mnaisi/mnafahamu muheshimiwa anatabia hiyo na nyie hamuipendi na sasa mnaona kama siri inafichuka basi mshaurini Mkuu abadilike.
Ila mimi binafsi ninaimani Raisi sio Dictator Bali ninyi wazushi na badhi ya matendo/matukio ya police ndio mnafanya Raisi aonekane/adhaniwe kuwa ni Dictator
Nini maana ya dikteta? Nielewesheni
Hili neno "DICTATOR" lafaa kupigwa marufuku hapa jukwaani. Hatuwezi kuendelea kumdhihaki rais kiasi hiki.
Hivi uchwara maana yake nini maana nataka kuunganisha na neno dikteta ili nipate maana kamili
Dikteta uchwara kazini
Dikteta uchwara
Huyo anayedhani kuwa ni Dictator Uchwara aje mahakamani na apinge kuwa yeye sio Dictator Uchwara!
Kweli kabisa. Kama unatofautiana na Rais kwa jambo fulani zungumzia hilo jambo. Siyo kumwita "dictator". Ni sawa na kutokubaliana na mzazi wako kwa jambo fulani. Huwezi kuanza kumpandikizia vineno vya kijinga. Huyu ni Rais ambaye alichaguliwa na wengi hata kama wewe hukumchagua. Hiyo ndiyo demokrasia: wengi wape.
Uchwara maana yake si halisi yaani ya kubumba
Aliyesema raisi dictator ni nani?? Mbona mnajishtukia
Ulizoea kula vya dezo sasa vimebanwa ndio unamuita dictator
Kwani neno hilo linahusiana vipi na Rais?
Uchwara
Tundu Mughway Lissu...!!
Hivi Mh. Rais Magufuli angekuwa DICTATOR, hata Lissu angefikishwa MAHAKAMANI KWELI..? Angepata hata podium ya kurudia rudia kusema Rais ni DICTATOR UCHWARA..? Si angempoteza tu wala asingejulikana yuko wapi..
Jamani, lazima Rais aheshimike... sio OMBI ni lazima.. Rais SIO MWENZAKO... Lazima tumheshimu na adabu tele iwepo..!! Haiwezekani mtu kama Lissu, pamoja na UHAMAHIRI WAKE KTK SHERIA, but he has to RESPECT and DISPLINE himself hata kabla ya Dola kuingilia, kuwa Rais sio wa KUDHARAULIWA TU HOVYO HOVYO... hili halikubaliki..!! hapana tuseme..!!Heshima ni lazima, kwa Rais... hapana, sio kumtukana hovyo hovyo.. hapana hapana..!!
Inauma..!! Mh. Rais lazima aheshimiwe.. lazima..!!![]()
Kwa hiyo dikteta uchwara maana yake ni kuwa sio dikteta halisi, kwa hiyo sio tusi
Acha mambo ya ajabu ww!! Kwahiyo Magufuli ni dikteta wa kwanza hapa Duniani?
Au yy ndie muanzilishi wa hili neno?
Hilo neno siyo dhihaka, bali ni hulka ya mh mtukufu rais wetu
Lisu hawezi kufanywa chochote...Yeye kasema huyo dictator uchwara hakumtaja mtu jina. Sasa kama kuna mtu anaona yeye ni dictator ucharwa aende mahakamani.
Raisi ni kweli ana nguvu lakini na yeye anaongozwa kwa kutumia sheria na taratibu za nchi na yeye ni raia kama raia wengine. Kilichopo hapo kapewa madaraka awaongoze wengine kwa hiyo tusimuone raisi kama malaika,ni mtanzania mwenzetu na haina haja ya kumuogopa.
Kwani nani kamuita dictator?! Labda wewe kwa sasa ndio umemuita dectator.
Sio KUMUOGOPA... la..
sisemi hivyo...
Nasema LAZIMA KUMHESHIMU... kumheshimu mtu sio kumuogopa..!!
Sasa ikiwa mtu anashindwa kumheshimu Mh. Rais kwa hiyari tu, sasa NGUVU ITATUMIKA ili ashike adabu na heshima...!!
Hizo spinning sijui Tundu Lissu hakumtaja mtu jina ndio hapo... asifanye watu wajinga.. huo ni ujinga, tunajua wazi anasema DICTATOR UCHWARA ni Rais.. ni akili ya kitoto kusema hakumtaja jina... mtoto akiiba kitu eg sugar ukamnasa, atakwambia sijaiba kabisaaa ila pembeni mdomoni sukari imetapakaa kuzunguka mdomo..
So Tundu Lissu aache KUTUMIA LUGHA za kuudhi, na kumdharau sana Rais...
Hata Mungu ukimdharau UTAKIONA CHA MTEMA KUNI.. Sasa ktk siasa lazima ukubali Rais ndio mtu pekee aliyepewa madaraka na wananchi kuongoza nchi yetu... sasa Lazima TUMHESHIMU..!! Akikosea Rais, kuna namna ya kufikisha ujumbe na akaelewa na akajirekebisha.. ila sio KUMDHARAU na KUMKOSEA HESHIMA, mara DICTATOR UCHWARA, sijui nn... hilo kamwe hapana, hapana, hapana...![]()
Nini maana ya dikteta uchwara?Umelikosea heshima, sema dikteta uchwara
hamna kabisa ndo wanapotea katika ramaniHivi ni ipi athari inayopatikana ukawa wanaposusia matukio ya kitaifa?
Huyo anayedhani kuwa ni Dictator Uchwara aje mahakamani na apinge kuwa yeye sio Dictator Uchwara!
Kufunga mdomo uwapo bungeni nayo pia ni Demokrasia! By MagufuliAaaah Lissu wacha bhana.Kumbe unatumia hiyo ID.