UKAWA wamsusia Magufuli

UKAWA wamsusia Magufuli

Sio KUMUOGOPA... la..❌❌❌
sisemi hivyo...

Nasema LAZIMA KUMHESHIMU..kumheshimu mtu sio kumuogopa..!!

Sasa ikiwa mtu anashindwa kumheshimu Mh. Rais kwa hiyari tu, sasa NGUVU ITATUMIKA ili ashike adabu na heshima...!!

Hizo spinning sijui Tundu Lissu hakumtaja mtu jina ndio hapo... asifanye watu wajinga.. huo ni ujinga, tunajua wazi anasema DICTATOR UCHWARA ni Rais.. ni akili ya kitoto kusema hakumtaja jina... mtoto akiiba kitu eg sugar ukamnasa, atakwambia sijaiba kabisaaa ila pembeni mdomoni sukari imetapakaa kuzunguka mdomo..

So Tundu Lissu aache KUTUMIA LUGHA za kuudhi, na kumdharau sana Rais...

Hata Mungu ukimdharau UTAKIONA CHA MTEMA KUNI.. Sasa ktk siasa lazima ukubali Rais ndio mtu pekee aliyepewa madaraka na wananchi kuongoza nchi yetu... sasa Lazima TUMHESHIMU..!! Akikosea Rais, kuna namna ya kufikisha ujumbe na akaelewa na akajirekebisha.. ila sio KUMDHARAU na KUMKOSEA HESHIMA, mara DICTATOR UCHWARA, sijui nn... hilo kamwe hapana, hapana, hapana...❌❌❌❌
Hata baba yako mzazi asipokupa haki yako na kukuonea bila sababu hutomheshimu utamchukia, na akikupiga mara kwa mara atakufanya sugu na mwishowe uoga wote utaisha, mtabakia jicho kwa jicho
 
Please muwe na ADABU... neno DICTATOR lisitumike kumchafua Rais wetu Magufuli..!! Mh. Rais hajawahi na sio DICTATOR..!!❌❌❌❌

Hii ndio jina kweli la kumuita Rais wetu aliyechaguliwa kwa kura za wananchi..? Inaudhi sana...❌❌❌❌

Hivi mnajua DICTATOR yukoje..? ✂✂✘✘ Lissu kaniudhi sana kwa kweli...

Mh. Rais Magufuli kapatikana kwa njia ya demokrasia, kwa kupigiwa kura, na yeye ndio Rais halali kwa mujibu wa Katiba yetu, kaunda SERIKALI halali, na anawatumikia WANANCHI WOTE bila kujali vyama, dini, rangi, kabila au wanaompinga hadharani majimbo yao yamepewa budget inayostahili...!!

KUZUIWA kwa MIKUTANO YA HADHARA ndio UKAWA kweli muuanze fujo, dharau, vurugu, kumtukana Rais ni DICTATOR, kisa kuzuiwa kwa mikutano ya HADHARA..?

Kampeni zilishaisha, period, aliyepata kuchaguliwa kapewa kijiti, aliyekosa ajipange baada ya miaka 5 kaombe kura... sasa ni wakati wa KUPIGA KAZI... kutimiza ahadi za wananchi... ila sio sasa hv kuanza KAMPENI na mikutano ya HADHARA, maendeleo yatafanyika saa ngapi.?

Mh. Rais Magufuli, piga kazi... wakisusa wewe ongeza speed, matokeo yataonekana SOON, na WANANCHI WATAONA... usife moyo... twende tuko nyuma yako...!!

Kazi kutafuta fujo tu.....!!

Jambo la kushanga tena sana tulikuwa tunaambiwa inchi ilipofika ilihitaji kiongozi dikteta/mwenye maamuzi magumu , na tuliaminishwa kwamba mzee wetu mamvi angeweza kuibeba nafasi hiyo kwa sababu haogopi mtu.mifano mingi iliyoletwa ni kwamba aliweza vunja mkataba wa DAWASA,aliwafukuza kazi watumishi flani walioshindwa kutekeleza majukumu yao bila kupepesa macho. sasa leo hii tunaambiwa Rais wetu ni dikteta japo hafanani na sifa hizo hata kidogo.wengine tunajiuliza yule aliyekuwa anatakiwa kuwa dikteta ili mambo yaende alipaswa kuwa dikteta wa aina gani?
 
Hata baba yako mzazi asipokupa haki yako na kukuonea bila sababu hutomheshimu utamchukia, na akikupiga mara kwa mara atakufanya sugu na mwishowe uoga wote utaisha, mtabakia jicho kwa jicho

Refa wa kuamua kama baba yako amekupa haki yako ni nani wewe mwenyewe au majirani? na jee wewe umetimiza wajibu wako mpaka udai haki yako kwa nguvu ? maana yawezekana wewe hujatimiza wajibu wako , humtii kama baba, akikutuma huendi alafu unasema unataka haki yako!
 
Hao wasakatonge wanahofu kuumbuka tu.

Hawana lolote
 
UKAWA wanatakiwa wafikirie matokeo ya maamuzi wanayofanya na waachane kufanya mambo kwa mazoea. Mgomo waliounza bungeni sasa hivi unawamaliza. Kwa haraka haraka mtu anaweza kudhani wamegoma kuhudhuria hafla Ikulu lakini ukweli walijua kama wangeenda kwenye mnuso wakati wametoka bungeni ingeleta picha mbaya. Kwa maneno rahisi, kususa bunge kunaanza kuathiri nafasi ya UKAWA kuhudhuria mambo mengine ya kitaifa.

Sasa huko tuendako watamalizaje huo usanii wa kususa?
Hizo ni thimls za mmbwa mwoga
 
ahaaa! Kumbe ni mh. Pombe! Mimi nilikuwa namfahamu kwa jina la Joseph Pombe
Ila nashukuru kwa kunijuza mdau
Joseph au John?
Ipo video,wakati anapiga kampeni alisema watu wanaweza kumwita, Pombe, Spirit, Wine ni sawa tu. Sijui kama bado msimamo wake uko hivyo baada ya kuukwaa utakatifu!
 
Kuishi ughaibuni ni raha sana, maana huwezi kucomplain kwa chochote wakati unajuwa unaishi kwa fadhila ya wenyeji.
 
UKAWA wanatakiwa wafikirie matokeo ya maamuzi wanayofanya na waachane kufanya mambo kwa mazoea. Mgomo waliounza bungeni sasa hivi unawamaliza. Kwa haraka haraka mtu anaweza kudhani wamegoma kuhudhuria hafla Ikulu lakini ukweli walijua kama wangeenda kwenye mnuso wakati wametoka bungeni ingeleta picha mbaya. Kwa maneno rahisi, kususa bunge kunaanza kuathiri nafasi ya UKAWA kuhudhuria mambo mengine ya kitaifa.

Sasa huko tuendako watamalizaje huo usanii wa kususa?
Unatumia masaburi KUJENGA hoja
 
Joseph au John?
Ipo video,wakati anapiga kampeni alisema watu wanaweza kumwita, Pombe, Spirit, Wine ni sawa tu. Sijui kama bado msimamo wake uko hivyo baada ya kuukwaa utakatifu!
Alisema pia mnaweza kumuita Mbege
 
Hivi kwanini JPM hajiulizi ilikuwaje KJ akawa na urafiki wa mashaka na Kagame??
Nijuavyo mimi JK alikuwa anasaidia kuwaondoa waasi DRC na bwana Kagame hataki waondoke kuna tetesi kwamba Kagame anawasaidia.
Sasa tujiulize JPM anamuunga Kagame mkono kama kweli anawasaidia waasi?
Kagame ameona uhodari wa jeshi la Tanzania lililopo DRC anataka kumuingia jamaa yetu ili awaondoe makamanda wetu huko Kongo kwa manufaa yake.
Nashauri JPM awe makini na huo undugu wake na KAGAME
Tanzania Ina ombwe la diplomasia toka BENARD KAMILIUS MEMBE. WIZARA IPO KWA WAZIRI WA NUSU WELEDI ANAYEFUATA MZUKA YA MFALME MKUU WA TZ AMBAYE ANACHEKEWA NA TAASISI ZA DINI
 
Please muwe na ADABU... neno DICTATOR lisitumike kumchafua Rais wetu Magufuli..!! Mh. Rais hajawahi na sio DICTATOR..!!❌❌❌❌

Hii ndio jina kweli la kumuita Rais wetu aliyechaguliwa kwa kura za wananchi..? Inaudhi sana...❌❌❌❌

Mh. Rais Magufuli kapatikana kwa njia ya demokrasia, kwa kupigiwa kura, na yeye ndio Rais halali...
  • Katika uchaguzi uliofanyika mwezi Novemba mwaka 1933 nchini Ujerumani chama cha NAZI cha Adolph Hitler, kilishinda kwa kupata asilimia 92% ya kura zote zilizopigwa.
  • Katika uchaguzi uliofanyika Korea ya Kaskazini mwaka 2014, Kim Jong-un kachaguliwa Rais kwa kupata asilimia 100% ya kura zote zilizopigwa.
 
UKAWA wanatakiwa wafikirie matokeo ya maamuzi wanayofanya na waachane kufanya mambo kwa mazoea. Mgomo waliounza bungeni sasa hivi unawamaliza. Kwa haraka haraka mtu anaweza kudhani wamegoma kuhudhuria hafla Ikulu lakini ukweli walijua kama wangeenda kwenye mnuso wakati wametoka bungeni ingeleta picha mbaya. Kwa maneno rahisi, kususa bunge kunaanza kuathiri nafasi ya UKAWA kuhudhuria mambo mengine ya kitaifa.

Sasa huko tuendako watamalizaje huo usanii wa kususa?
Mi nazani wapo sawa mana upinzani umeshzonekana kama sio wa Tz sasa hakuna kunyenyekea mtu kwanza kagame hawezi kushauri mazuri kwa Tz yetu maana ndio wala wale wasio sitaka demokrasia
 
Hivi kwanini JPM hajiulizi ilikuwaje KJ akawa na urafiki wa mashaka na Kagame??
Nijuavyo mimi JK alikuwa anasaidia kuwaondoa waasi DRC na bwana Kagame hataki waondoke kuna tetesi kwamba Kagame anawasaidia.
Sasa tujiulize JPM anamuunga Kagame mkono kama kweli anawasaidia waasi?
Kagame ameona uhodari wa jeshi la Tanzania lililopo DRC anataka kumuingia jamaa yetu ili awaondoe makamanda wetu huko Kongo kwa manufaa yake.
Nashauri JPM awe makini na huo undugu wake na KAGAME
birds of the same wings fly togather
 
Halafu hata mimi swala hili linanitatiza kweli: eti Ukawa walikuwa wanataka raisi mkali na mwenye kuchukia hatua za kijasili. Leo amepatikana wanaaza kuogopa ogopa!! Kana kwamba wao ndiyo wanachukua hatua hizo za kijasili. Eti bora angekuwa yule yule ..huu ni unafiki uliokidhiri!!
Tunataka uongozi/serikali bora na sio Raisi mkali pia mtu anaye tambua katiba na sheria za nchi na asiye na upendeleo kwa kundi la watu flani au kutumia jeshi kwa manufaa yake binafsi, sasa swali je JPM anafiti hapo?
 
Back
Top Bottom