UKAWA wamsusia Magufuli

UKAWA wamsusia Magufuli

Please muwe na ADABU... neno DICTATOR lisitumike kumchafua Rais wetu Magufuli..!! Mh. Rais hajawahi na sio DICTATOR..!!❌❌❌❌

Hii ndio jina kweli la kumuita Rais wetu aliyechaguliwa kwa kura za wananchi..? Inaudhi sana...❌❌❌❌

Hivi mnajua DICTATOR yukoje..? ✂✂✘✘ Lissu kaniudhi sana kwa kweli...

Mh. Rais Magufuli kapatikana kwa njia ya demokrasia, kwa kupigiwa kura, na yeye ndio Rais halali kwa mujibu wa Katiba yetu, kaunda SERIKALI halali, na anawatumikia WANANCHI WOTE bila kujali vyama, dini, rangi, kabila au wanaompinga hadharani majimbo yao yamepewa budget inayostahili...!!

KUZUIWA kwa MIKUTANO YA HADHARA ndio UKAWA kweli muuanze fujo, dharau, vurugu, kumtukana Rais ni DICTATOR, kisa kuzuiwa kwa mikutano ya HADHARA..?

Kampeni zilishaisha, period, aliyepata kuchaguliwa kapewa kijiti, aliyekosa ajipange baada ya miaka 5 kaombe kura... sasa ni wakati wa KUPIGA KAZI... kutimiza ahadi za wananchi... ila sio sasa hv kuanza KAMPENI na mikutano ya HADHARA, maendeleo yatafanyika saa ngapi.?

Mh. Rais Magufuli, piga kazi... wakisusa wewe ongeza speed, matokeo yataonekana SOON, na WANANCHI WATAONA... usife moyo... twende tuko nyuma yako...!!

Kazi kutafuta fujo tu.....!!

Fujo mnatafuta ninyi wenyewe kwa kuzikalia haki za msingi za watu wengine ....
 
Tundu Mughway Lissu...!!❌❌❌

Hivi Mh. Rais Magufuli angekuwa DICTATOR, hata Lissu angefikishwa MAHAKAMANI KWELI..? Angepata hata podium ya kurudia rudia kusema Rais ni DICTATOR UCHWARA..? Si angempoteza tu wala asingejulikana yuko wapi..
Jamani, lazima Rais aheshimike... sio OMBI ni lazima.. Rais SIO MWENZAKO... Lazima tumheshimu na adabu tele iwepo..!! Haiwezekani mtu kama Lissu, pamoja na UHAMAHIRI WAKE KTK SHERIA, but he has to RESPECT and DISPLINE himself hata kabla ya Dola kuingilia, kuwa Rais sio wa KUDHARAULIWA TU HOVYO HOVYO... hili halikubaliki..!! hapana tuseme..!!❌❌❌❌ Heshima ni lazima, kwa Rais... hapana, sio kumtukana hovyo hovyo.. hapana hapana..!!

Inauma..!! Mh. Rais lazima aheshimiwe.. lazima..!!✔✔✔
Kama yeye haheshimu wengine unategemea aheshimiwe hivyo hivyo tu..
 
Jamani mm simfahamu Rais Magufuli mwenye picha yake aweke hapa plzz
f8addc1876f7bbb601ece5fed58caca4.jpg

Kama yeye haheshimu wengine unategemea aheshimiwe hivyo hivyo tu..

Basi sawa... kama mnataka kumtunishia msuli Mh. Rais.. sasa twendeni kazi.. ila mtu asije kulia.. sbb kumheshimu Rais ni lazima... kuna maneno ya kumwambia Rais kakosea nakufikisha ujumbe vema tu.. ila si kwa mtindo wa misuli kama Tundu Lissu anavyotaka.. sbb HAKUNA WA KUWEZA kushindana na Mh. Rais...!!

Sbb hamtaki kumheshimu, basi mtu asije lia... hii dharau kwa Mh. Rais haikubaliki, lazima tukubali hata kama mmeshindwa ktk UCHAGUZI msilete vurugu...!!

Basi, acha msuli utumike atakayeshindwa atashikishwa adabu sasa... sbb hamtaki kumheshimu..!!
 
Lisu hawezi kufanywa chochote...Yeye kasema huyo dictator uchwara hakumtaja mtu jina. Sasa kama kuna mtu anaona yeye ni dictator ucharwa aende mahakamani.
Raisi ni kweli ana nguvu lakini na yeye anaongozwa kwa kutumia sheria na taratibu za nchi na yeye ni raia kama raia wengine. Kilichopo hapo kapewa madaraka awaongoze wengine kwa hiyo tusimuone raisi kama malaika,ni mtanzania mwenzetu na haina haja ya kumuogopa.
 
Sio KUMUOGOPA... la..❌❌❌
sisemi hivyo...

Nasema LAZIMA KUMHESHIMU... kumheshimu mtu sio kumuogopa..!!

Sasa ikiwa mtu anashindwa kumheshimu Mh. Rais kwa hiyari tu, sasa NGUVU ITATUMIKA ili ashike adabu na heshima...!!

Hizo spinning sijui Tundu Lissu hakumtaja mtu jina ndio hapo... asifanye watu wajinga.. huo ni ujinga, tunajua wazi anasema DICTATOR UCHWARA ni Rais.. ni akili ya kitoto kusema hakumtaja jina... mtoto akiiba kitu eg sugar ukamnasa, atakwambia sijaiba kabisaaa ila pembeni mdomoni sukari imetapakaa kuzunguka mdomo..

So Tundu Lissu aache KUTUMIA LUGHA za kuudhi, na kumdharau sana Rais...

Hata Mungu ukimdharau UTAKIONA CHA MTEMA KUNI.. Sasa ktk siasa lazima ukubali Rais ndio mtu pekee aliyepewa madaraka na wananchi kuongoza nchi yetu... sasa Lazima TUMHESHIMU..!! Akikosea Rais, kuna namna ya kufikisha ujumbe na akaelewa na akajirekebisha.. ila sio KUMDHARAU na KUMKOSEA HESHIMA, mara DICTATOR UCHWARA, sijui nn... hilo kamwe hapana, hapana, hapana...❌❌❌❌
 
Katika maisha yangu yaliyosalia hapa duniani sitashirikiana na mwanaccm .
 
Huo ni mtazamo wako tu..Sheria ina mtazamo wake tofauti
 
ukawa ni chama gani,hakieleweki,nimeshaanza kusahau pia kimepoteza sifa kabisa,hoja ya kutoka mjengoni,kumewamiliza kabisa,hauwe kuhamasisha watu kuandamana kwa kuonyesha kidole cha katikati,kuongopa mjengoni,sisi tunataka hoja na sio kutoka bungeni,ukawa wasilete mazoea ya bunge zililopita,sio kunyosha kidole cha kati kuleta ubrothermen bungeni afu watoto waangalie na nchi nyingine ushenzi bungeni huu ni ushenzi
 
DICTATOR:-
1. A person who rules a country with Total authority and often in a cruel or brutal way
2. A person granted absolute emergency power
3. One holding complete autocratic control
4. One ruling absolutely and often oppressively

Source: Merriam-Webster Dictionary

Mnao tumia hili neno mjue na maana yake kwa kimombo.
 
Halafu hata mimi swala hili linanitatiza kweli: eti Ukawa walikuwa wanataka rais mkali na mwenye kuchukia hatua za kijasili. Leo amepatikana wanaaza kuogopa ogopa!! Kana kwamba wao ndiyo wanachukua hatua hizo za kijasili. Eti bora angekuwa yule yule ..huu ni unafiki uliokidhiri!!
Rais mkali kwa kwa waliosababisha kashfa ya rada, EPA, ESCROW, IPTL, RICHMOND, nyumba za serikali, kununua mv Dar, meremeta, Lugumi, waliofunga flow meter za mafuta bandarini waliowapakiza twiga ndege wakati babu yangu wa Sikonge hajawahi. Sio mkali kwa wale wanaoziibua kashfa hizi na kuziweka wazi
 
kwani kujali ndio serikali ifuate jinsi chadema na hoja dhaifu za upinzani? cdm sio chama tawala hivyo wajifunze kutambua nafasi yao sio kudhani wataongoza nchi huku serikali kwa kila hali imeonyesha kufanya kile wananchi wanataka.
Kama kupandisha bei ya sukari na kupandisha kodi ya mitumba na hatimae kuzuia, nasikia wananchi wanataka kupanda maandamano kuipongeza serikali
 
Mwanaume asusi na ukisusa wenzio wanakula
 
Back
Top Bottom