UKAWA wamchokoza Rais Magufuli

UKAWA wamchokoza Rais Magufuli

Kama mtu anavurunda anavurunda tu hakuna haja ya kujidanganya kwamba huyu ni kiongozi bora. Utakuwaji kiongozi bora ambaye huheshimu Bunge? Amekuwemo ndani ya Serikali kwa zaidi ya miaka 20 sasa hajawahi kusikia Marais wa awamu zilizopita kuhamisha pesa za zilizobajetiwa na Bunge na kuzihamishia wizara nyingine bila idhini ya bunge. Kahamisha shilingi bilioni 409 kienyeji toka wizara mbali mbali na kwenda ujenzi, hii si sawa hata kidogo. Anasema anataka kupambana na mafisadi halafu anakata bajeti ya Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali kwa 50%, halafu mnamuona huyu hastahili kukosolewa? Unamfunga mikono CAG halafu unazuga Watanzania kwamba unataka kupambana na mafisadi!?

Concern as CAG office budget slashed by half

By Athuman Mtulya @mtulya amtulya@tz.nationmedia.com


Dar es Salaam. The budget of the office of the Controller and Auditor General (CAG) is set to be slashed by half.

Finance minister Philip Mpango will tomorrow table the Treasury’s 2016/17 budget, which has allocated Sh32.3 billion for the National Audit Office of Tanzania (Naot). This is down from the Sh63.5 billion budget approved for the office for the current financial year.

A budget of Sh57.4 billion was approved for Naot for 2014/15, but the Treasury released only Sh35.3 billion to the agency. It remains to be seen how the decision to slash Naot’s budget for the next financial year will affect President John Magufuli’s crackdown on corruption and theft of public funds.

The agency has been a key player in efforts to curb corruption in recent years, with its annual and specialised audit reports revealing the loss of tens of billions of shillings in central and local governments and as well as in public parastatals.

This being the case, it was expected that President Magufuli’s government would have proposed a generous budget for Naot.

In 2012, the CAG’s annual report prompted President Jakaya Kikwete to sack six Cabinet ministers after their dockets were adversely mentioned in the document. Those dropped were Mr Mustafa Mkulo (Finance), Mr William Ngeleja (Energy and Minerals), Mr Ezekiel Maige (Natural Resources and Tourism), Dr Cyril Chami (Industry and Trade), Mr Omari Nundu (Transport) and Dr Hadji Mponda (Health).

In 2014, the CAG’s damning report on the Tegeta escrow account scandal was used by Parliament’s Public Accounts Committee to build a case against Attorney General Frederick Werema, Cabinet ministers Anna Tibaijuka (Lands, Housing and Human Settlements Development) and Sospeter Muhongo (Energy and Minerals) and Energy and Minerals Permanent Secretary Eliakim Maswi, who all lost their positions.

The CAG, Prof Mussa Assad, told The Citizen yesterday that the performance of his office would be adversely affected by any decision to reduce its budget.

“A lot of important work will be stalled. We won’t be able to perform all the required audits within and outside the country,” he said, adding that he did not rule out the possibility of some of his staff seeking employment elsewhere.

According to the Treasury’s budget proposals seen by The Citizen, allocation for the Ministerial Audit Division has been slashed from Sh8.4 billion to Sh4.4 billion, while the Local Government Authorities Audit Division’s budget is down to Sh6.5 billion from Sh17.5 billion.

The budget for the Administration and Human Resources Division has been reduced from the Sh20.2 billion approved for 2015/16 to Sh6.9 billion.

Allocation for the National Account Division has been cut from Sh7.4 billion to Sh3.1 billion, the Performance Audit Division is to be allocated Sh1.7 billion, down from Sh2.8 billion, while the Public Authorities Audit Division’s budget has been reduced from Sh1.6 billion to Sh1.5 billion.

Reacting to the development, Kigoma Urban MP Zitto Kabwe said the first casualty of the decision was the wider anti-corruption struggle and the independence of Naot, which is a constitutional entity.

“This will cripple the CAG’s office. Parliament’s Budget Committee wanted a total of Sh69 billion to be approved for Naot. With this meagre budget, the CAG will fail to conduct important audits and taxpayers will be in the dark as to how their money was spent,” he said.

The opposition politician said it was illogical for the government to increase its budget from Sh22 trillion to Sh29 trillion and at the same time slash allocation for the Naot, which is an important tool in monitoring public expenditure.

Last month, Prof Assad told journalists in Dodoma while unveiling the 2014/15 annual reports that Naot needed continuous budgetary support for it to operate efficiently.
BAK, nipe takwimu manake nimeuliza na sipati jibu. Last fiscal yr, ofisi ya CAG ilitengewa budget ya shs ngapi na wamepewa shs ngapi hadi sasa?

Ukinijibu hilo nitakuuliza lingine.
 
Kweli mwaka huu au miaka hii mitano watu wataisoma namba....upinzani mnayo kazi kubwa mno...amepatikana Rais mwenye msimamo, amepatikana Naibu Spika mwenye msimamo,madhubuti, kijana, mzalendo, na anayejua sharia... watetezi pekee wa upinzani walobaki kwa sasa ni wapinzani wenyewe na haki za binadamu,jumuiya ya kimataifa imejitoa kutetea 'uozo', ubishi, ujivuni...Watu wa nchi za magharibi wanataka nchi ambayo ni 'stable' ofcourse kwa maslahi yao...wameshausahau upinzani wetu hapa Tanzania...
Mkuu huyo anaye amua hivi leo, kesho akaamua vile juu ya jambo hilo hilo ndo mwenye msimamo??
 
Mbatia juzi kasema hawahitaji posho, mbona leo analalamika? Ama kweli siasa mtihani wa kidunia!
 
Soma banaaa kila kitu kimewekwa wazi kabisa kwenye hiyo link na CAG mwenyewe kazungumza kuhusu kutoridhishwa na bajeti ya ofisi yake kupunguzwa kwa 50%

BAK, nipe takwimu manake nimeuliza na sipati jibu. Last fiscal yr, ofisi ya CAG ilitengewa budget ya shs ngapi na wamepewa shs ngapi hadi sasa?

Ukinijibu hilo nitakuuliza lingine.
 
Haka kamchezo ka siasa kwa sasa kamebadilika sana... itachukua mda kidogo kukaelewa...
 
Hivi lile Sayari linaloitwa Nibiru lililotaka kuigonga dunia liko wapi?
Lingekuja haraka lianzie huku Tanganyika ili tufe tu kuliko haya mateso kwenye hii nchi!

Kwa hiyo nibiru itaanza na sayari ya kwetu ya tanganyika sio pole sana ,unastahili hicho unachokipata
 
Mkuu huyo anaye amua hivi leo, kesho akaamua vile juu ya jambo hilo hilo ndo mwenye msimamo??

Hujui hata unachosema ni nini...mumekaa kulaumu kila kitu...mumejaa dharau, kejeli, majivuno...'mumevimbiwa' uhuru wa kutoa maoni uliopo nchini..mnamdharau Rais, mnadharau taifa, mnadharau nafasi ya Urais, mnaidharau nchi, mnawadharau watanzania, mnajidharau ninyi wenyewe...Rais ni taasisi, Yeye hawezi kusema hili na kesho akasema au akaamua vile, mnataka kuaminisha watu kuwa jana aliamua hivi na leo ameamua hivi, mnafanya propaganda...uzuri ni kuwa baadhi yetu tunafahamu kuwa mnafanya propaganda...Ipo siku watu walionyamaza na ambao wanachukuia namna Rais anavyonyanyaswa kwenye mitandao, wakiamua kulishupalia suala hili au kuzishupalia kejeli zenu kwa hoja nzito mtaingia uvunguni kwa fedheha...
 
Hujui hata unachosema ni nini...mumekaa kulaumu kila kitu...mumejaa dharau, kejeli, majivuno...'mumevimbiwa' uhuru wa kutoa maoni uliopo nchini..mnamdharau Rais, mnadharau taifa, mnadharau nafasi ya Urais, mnaidharau nchi, mnawadharau watanzania, mnajidharau ninyi wenyewe...Rais ni taasisi, Yeye hawezi kusema hili na kesho akasema au akaamua vile, mnataka kuaminisha watu kuwa jana aliamua hivi na leo ameamua hivi, mnafanya propaganda...uzuri ni kuwa baadhi yetu tunafahamu kuwa mnafanya propaganda...Ipo siku watu walionyamaza na ambao wanachukuia namna Rais anavyonyanyaswa kwenye mitandao, wakiamua kulishupalia suala hili au kuzishupalia kejeli zenu kwa hoja nzito mtaingia uvunguni kwa fedheha...
Mkuu huyo anaye amua hivi leo, kesho akaamua vile juu ya jambo hilo hilo ndo mwenye msimamo??
 
Hata kama mna hoja za msingi wananchi hawawezi kuwaelewa na kuwaamini tena kwa sababu ya utovu wenu wa nidhamu. Mbunge mwenye akili zake timamu anawezaje kuonyesha dole la kati ndani ya bunge tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wananchi wakati mwingine tutafakari juu ya hawa Waheshimiwa
 
Kumbe kuna watu wasiokatwa kodi kwenye vipato vyao?Tanzania hii hii kweli? Ngoja tumwambie tingatinga atawakata tu
 
Inasemekana huyo dada kwa sasa ndio mwanamke mwenye roho mbaya zaidi Africa akifuatiwa kwa mbaali na Marehemu Lucy Kibaki wa Kenya .
Hebu muache Mama Lucy Kibaki ili aweze kupumzika kwa amanai! Roho mbaya unaijua wewe?
 
Ukawa wanajaribu kufurukuta lakin wanakosa wasahauri
Mambo ya bunge yanazungumzwa bungeni sio kwenye press conference au barabarani
Kumsusia naibu spika,ni sawa chui kumsusia bucha
Watahangaika wee,watahoji phd za watu,mwishowe watarudi tu,hizi sio zama za muungwana Jk,kidogo tu kawaita mnywe chai yanaisha
 
Back
Top Bottom