UKAWA wamchokoza Rais Magufuli

UKAWA wamchokoza Rais Magufuli

Ukawa walitoka nje ya bunge kupinga sheria ya makosa ya mtandaoni kwamba ni sheria mbaya sana na kandamizi kwa wananchi, ! Leo ni miezi 9 tokea sheria ianze kufanya kazi ,sasa nyinyi nyumbu tuwaulize mpaka sasa sheria ya mtandaoni imeshamkandamiza nani??
Siasa za kupotosha watu kiasi hiki hazitawafikisha popote nyinyi UKIWA.
 
Sina millioni 7,kama ningekua nayo........
 
Ukawa walitoka nje ya bunge kupinga sheria ya makosa ya mtandaoni kwamba ni sheria mbaya sana na kandamizi kwa wananchi, ! Leo ni miezi 9 tokea sheria ianze kufanya kazi ,sasa nyinyi nyumbu tuwaulize mpaka sasa sheria ya mtandaoni imeshamkandamiza nani??
Siasa za kupotosha watu kiasi hiki hazitawafikisha popote nyinyi UKIWA.
Nyumbu ni ukoo wako na wanao wote
 
Ngoja tuone kama Magufuli ataingia na mahakamani kuwaamuru majaji na mahakimu kuamua against vyama vya upinzani vilivyoenda mahakamani kupinga amri ya polisi ya kupiga marufuku harakati za vyama vya siasa kujijenga kwa njia ya mikutano na maandamano!!

Kisisingizio ni "sababu za kiintelejensia ya usalama" kwamba katika mikutano hiyo wameambiwa vyama vitahamasisha wananchi kutokutii serikali yao (civil disobidience)!

Kisingizizio kingine ni eti kuna vyama vingine navyo vimetangaza kupitia njia hii kupinga kitakachokuwa kinasemwa na vyama vya upinzani. Sasa polisi wameona ni sbb na wameogopa kuwa kutakuwa na uvunjifu wa amani!!

Sijui wataishawishi kwa namna gani mahakama nayo iamini hiki wanachokiamini wao!!

Tunamkaribisha Tulia mahakamani!!
Maahakama zipi mkuu
 
Mtanyooka tu kenge nyie.mlimdharau jk mpaka mkawa mnamtukana hadharani,sasa kiboko yenu imepatikana.

Kenge mwenyewe ngedere mavi wewe.....tutawanyoosha tu maana hii mmeifanya ya mamazenu...
 
Yoote waongeee ila kuhusu kukata pesa ukiztoa bank na kufanya miamala ya kwenye sim..apo ndo pananivuruga akili yangu sana

Naenda kublok Account zote naacha zero

Mzigo kweny KIBUBU
#MAMBO KAMA MWAKA 1947#
 
Magufuli yupo busy kuikamata Mahakama. Akifanikiwa yeye ndo atakuwa mihimili mitatu in one.
 
Haijapata kutokea duniani kiongozi anayepambana na demokrasia akamaliza vizuri. Ni kujidanganya au wanaomshauri wanamdanganya.

Atamaliza miaka 10 na hamtaamini,atakuja mwingine nae atamaliza miaka yake 10 huku mkishangaa.

Kutaamaki,ushazeeka
 
Kama mtu anavurunda anavurunda tu hakuna haja ya kujidanganya kwamba huyu ni kiongozi bora. Utakuwaji kiongozi bora ambaye huheshimu Bunge? Amekuwemo ndani ya Serikali kwa zaidi ya miaka 20 sasa hajawahi kusikia Marais wa awamu zilizopita kuhamisha pesa za zilizobajetiwa na Bunge na kuzihamishia wizara nyingine bila idhini ya bunge. Kahamisha shilingi bilioni 409 kienyeji toka wizara mbali mbali na kwenda ujenzi, hii si sawa hata kidogo. Anasema anataka kupambana na mafisadi halafu anakata bajeti ya Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali kwa 50%, halafu mnamuona huyu hastahili kukosolewa? Unamfunga mikono CAG halafu unazuga Watanzania kwamba unataka kupambana na mafisadi!?

Concern as CAG office budget slashed by half

By Athuman Mtulya @mtulya amtulya@tz.nationmedia.com


Dar es Salaam. The budget of the office of the Controller and Auditor General (CAG) is set to be slashed by half.

Finance minister Philip Mpango will tomorrow table the Treasury’s 2016/17 budget, which has allocated Sh32.3 billion for the National Audit Office of Tanzania (Naot). This is down from the Sh63.5 billion budget approved for the office for the current financial year.

A budget of Sh57.4 billion was approved for Naot for 2014/15, but the Treasury released only Sh35.3 billion to the agency. It remains to be seen how the decision to slash Naot’s budget for the next financial year will affect President John Magufuli’s crackdown on corruption and theft of public funds.

The agency has been a key player in efforts to curb corruption in recent years, with its annual and specialised audit reports revealing the loss of tens of billions of shillings in central and local governments and as well as in public parastatals.

This being the case, it was expected that President Magufuli’s government would have proposed a generous budget for Naot.

In 2012, the CAG’s annual report prompted President Jakaya Kikwete to sack six Cabinet ministers after their dockets were adversely mentioned in the document. Those dropped were Mr Mustafa Mkulo (Finance), Mr William Ngeleja (Energy and Minerals), Mr Ezekiel Maige (Natural Resources and Tourism), Dr Cyril Chami (Industry and Trade), Mr Omari Nundu (Transport) and Dr Hadji Mponda (Health).

In 2014, the CAG’s damning report on the Tegeta escrow account scandal was used by Parliament’s Public Accounts Committee to build a case against Attorney General Frederick Werema, Cabinet ministers Anna Tibaijuka (Lands, Housing and Human Settlements Development) and Sospeter Muhongo (Energy and Minerals) and Energy and Minerals Permanent Secretary Eliakim Maswi, who all lost their positions.

The CAG, Prof Mussa Assad, told The Citizen yesterday that the performance of his office would be adversely affected by any decision to reduce its budget.

“A lot of important work will be stalled. We won’t be able to perform all the required audits within and outside the country,” he said, adding that he did not rule out the possibility of some of his staff seeking employment elsewhere.

According to the Treasury’s budget proposals seen by The Citizen, allocation for the Ministerial Audit Division has been slashed from Sh8.4 billion to Sh4.4 billion, while the Local Government Authorities Audit Division’s budget is down to Sh6.5 billion from Sh17.5 billion.

The budget for the Administration and Human Resources Division has been reduced from the Sh20.2 billion approved for 2015/16 to Sh6.9 billion.

Allocation for the National Account Division has been cut from Sh7.4 billion to Sh3.1 billion, the Performance Audit Division is to be allocated Sh1.7 billion, down from Sh2.8 billion, while the Public Authorities Audit Division’s budget has been reduced from Sh1.6 billion to Sh1.5 billion.

Reacting to the development, Kigoma Urban MP Zitto Kabwe said the first casualty of the decision was the wider anti-corruption struggle and the independence of Naot, which is a constitutional entity.

“This will cripple the CAG’s office. Parliament’s Budget Committee wanted a total of Sh69 billion to be approved for Naot. With this meagre budget, the CAG will fail to conduct important audits and taxpayers will be in the dark as to how their money was spent,” he said.

The opposition politician said it was illogical for the government to increase its budget from Sh22 trillion to Sh29 trillion and at the same time slash allocation for the Naot, which is an important tool in monitoring public expenditure.

Last month, Prof Assad told journalists in Dodoma while unveiling the 2014/15 annual reports that Naot needed continuous budgetary support for it to operate efficiently.


Umenena yote. Binadamu wa kawaida atafanya kama JK, kupaa hewani coz kuna vichwa maji sana nchi hii. Hata ingekuwa mimi bana Riz ningekula mitaa ya #10 Downing street kila mwezi. Watz ni much know.
 
Jana mbunge wa CHADEMA amemuomba Magufuli afute posho kwa wabunge wote.

Halafu hapo hapo wabunge wa upinzani wanasema rais anaingilia bunge.
 
By ERICK KABENDERA

Posted Saturday, June 11 2016 at 18:23
THE EAST AFRICAN


In Summary

  • Tanzania police have banned opposition parties from conducting planned nationwide protests for fear they could escalate into civil disobedience amid growing allegations that President John Magufuli was abusing his power.
Tanzania police have banned opposition parties from conducting planned nationwide protests for fear they could escalate into civil disobedience amid growing allegations that President John Magufuli was abusing his power.

The development comes after the main opposition party Chadema scaled up attacks against the president after the government dropped live broadcasts in parliament and Deputy Speaker Tulia Ackson rejected MPs’ calls to cancel the debate on the decision to suspend over 7,800 students pursuing special teaching diploma courses at Dodoma University.

As a result, opposition MPs boycotted the parliamentary budget sessions chaired by Dr Ackson whom they accused of hijacking their parliamentary privileges. The MPs said they will bring up a motion on a vote of no confidence against him.

The leader of opposition, Freeman Mbowe also criticised President Magufuli’s decision to move regional administration and local government portfolios from the prime minister’s office to the president’s office and the reallocation of budget funds without seeking approval from parliament.

The ruling party Chama cha Mapinduzi said that shortly after it was informed that Chadema planned to use its countrywide rallies to criticise President Magufuli’s stance on corruption, it would also organise similar rallies to counter the opposition.

Commissioner for operation and training, Nsato Msanzya said in a signed letter that the police they were banning all rallies until the security situation stabilised.

“The police force is asking all the politicians to stop inciting citizens; The police force will not hesitate to take stern legal action against those who defy this order,” the statement read.
 
Jakob Zuma wa Afrika Kusini, Alishabanwa kwa Kuhusika na na Ubadhilifu wa Fedha Kujenga hekalu Kijijini kwao Nkandla, na Kila Wabunge wa Upinzani wakihoji wanaletewa mpaka na Askari wa kwaida Bungeni. Na Hili limekuwa Likifanywa na Spika ambaye anatuhumiwa Kumlinda Jacob Zuma kwa Makalio kama Ilivyo Tulia Akson anavyomlinda Magufuli. Mimi Nashauri Ukawa Waingie hatua nyingine ya juu ya Mapambano. Watumie fedha Kupata Habari, na siri kama za Lugumi, na Kuzianika wazi kwa Wananchi. Na Kila siri chafu wanayoijua Waianike. Na sio Lazima iwe ni Ufisadi tu, hata kama ni Ufuska!



Kama Upuuzi wa Hila, Ubabe na Udictator utaendelea si swali ni Je Tanzania Tutafikia hatua hii, bali ni Lini. (Kabla Wasiojua Dunia haamjaropoka, hawa sio wanamgambo ni Wabunge wa Upinzani wa EFF Afrika Kusini. Wanaongozwa na Aliyekuwa Mwanyekiti wa Umoja wa Vijana wa ANC.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom