Sirini
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 743
- 1,053
Haaaa Ni maumivu ya mudaAcha kutuletea pumba zako banaaa, kama huna cha maana cha kuandika kaa kimya. Huwezi kuiongoza Tanzania ya 2016 kwa sera za kukurupuka na udikteta.
Haaaa Ni maumivu ya mudaAcha kutuletea pumba zako banaaa, kama huna cha maana cha kuandika kaa kimya. Huwezi kuiongoza Tanzania ya 2016 kwa sera za kukurupuka na udikteta.
Hao ccm wanao eleweka wamefanya nini zaidi ya kulialia juu ya maslahi yao?UKAWA hawaeleweki sasa......wamebaki kuhangaika tu............JPM anawanyoosha..........sasa hivi hakuna hata ile mialiko ya kwenda kunywa kahawa ikulu......Poleni sana wanafiki wakubwa nyinyi.
Halafu kuna mtu anasema eti kaleta nidhamu Serikalini. Halafu kwa jinsi alivyo na visasi kaamua kupunguza bajeti ya CAG kwa 50%. Sasa utadhibiti vipi ufisadi nchini wakati unampunguzia CAG uwezo wake wa kufanya kazi kwa kukata bajeti yake kwa 50%?
lazima Mme awe na nyumba ndogo, huwezi kuishi na jike Kama hili usipate pressureKatakuwa kameolewa, that's why kanaitwa Tulia Ackson "Mwansansu"
Hiyo Mwansasu nadhani ni Jina la Mme.
Hawezi kuigusa hiyo ripoti ya CAG, coz inamgusa direct kweli ile meli Chakavu ya bilioni 7.9
Utakua una Umri mdogo sana alafu Unatumia cm aina ya tecno IQ yako iko chini mnoMtanyooka tu kenge nyie.mlimdharau jk mpaka mkawa mnamtukana hadharani,sasa kiboko yenu imepatikana.
AhhhHaijapata kutokea duniani kiongozi anayepambana na demokrasia akamaliza vizuri. Ni kujidanganya au wanaomshauri wanamdanganya.
acha kujidanganya wewe hii ni tz atashinda tu hamna namnaYeye alijikaanga mwenyewe bunge la katiba ata bunge live kukataa kuonyesha kutakua na impact kwenye uchaguzi wao wanaona eti uchaguzi uko mbaliLkn hakuna marefu yasiyo kuwa na mwisho,akamuulize samuel sita leo yuko wapi?
KWa sura ile?Wabunge wa UKAWA wana hoja.
Haka kadada hamna kitu kabisa, hivi kameshaolewa lakini??
Ni kweli kabisa mkuu, naona magu ameamua kuisaliti ccmYeye alijikaanga mwenyewe bunge la katiba ata bunge live kukataa kuonyesha kutakua na impact kwenye uchaguzi wao wanaona eti uchaguzi uko mbali
Nashindwa kupata nia halisi ya magu juu ya ushindi wa ccm mwaka 2020Halafu kuna mtu anasema eti kaleta nidhamu Serikalini. Halafu kwa jinsi alivyo na visasi kaamua kupunguza bajeti ya CAG kwa 50%. Sasa utadhibiti vipi ufisadi nchini wakati unampunguzia CAG uwezo wake wa kufanya kazi kwa kukata bajeti yake kwa 50%?
Wewe anakuamini nani?Nowadays hawa ukawa siwaamini kabisa.. Niliwaamini kipindi cha katiba sasa hivi nawaita ni umoja wa kususa.. Yaani yule dada anawakimbiza kinoma na kanuni kazisimamia hadi wanaombapo
Mkuu ukipewa ukaoe kwa mahari ya laki 2 utakataa??KWa sura ile?
Kwani mimi nimeomba kuaminiwa?Wewe anakuamini nani?
Naona matendo anayo ruhusu kufanywa na serikali yake ni sawa na kuichonganisha na watanzaniaWatapora tu Mkuu, ndiyo sababu wakaichakachua rasimu ya Tume ya Warioba.
Nini laki mbili?hata bureMkuu ukipewa ukaoe kwa mahari ya laki 2 utakataa??
yaani Jimbo Bi Tuli ni I.K.U.L.U!?Baba ***** anahemka sana. Inabidi atulie . aliache Bunge liwe huru. Halafu Mamlaka ya Rais kuteua wabunge yawekewe kikomo kwa wateule hao kutokuwa Spika au Naibu Spika. Huyo mama Tulia hana cha kupoteza kwani siku zote atamtetea Rais. Na yeye ndio Jimbo lake. Yule mama Sio political leader, ni employee wa Ikulu.